mwasipenjele
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 771
- 450
Biashara ya mitumba inalipa tena ukengua wafungashia Kenya, kuna soko lamitumba tena mitumba first class.kama unahela ya kutosha hata kama laki 5 ivi kianzio, ila hii inataka uwe na sehemu waitundika au hata kijibanda chako cha kufanyia biashara
Vipi kuhusu mipakani kaka. Huwa wanatoza kodi yao vipi?
Kanunue mitumba quality first class uganda ulete bongo
Nijulishe aina za nguo unazotaka. Nikiyuma mzigo nitakufungia huo mzigo wako na ukifika Dar utapigiwa simu ukaangalie mzigo wako. Nipo Canada na sehemu ninayosushia mzigo ni machinga complex. Nimekuwa nikileta viatu tu lakini container inayofuata sasa itakuwa na nguo grade 1.
Email yangu ni faoincredible@yahoo.ca
Karibuni wote
Hapana mkuu huwa hawatozi kodi hyo kitu...
Duh! Kweli? natafuta wa kufanya nae ushirika kwenda nae huko.
Nijulishe aina za nguo unazotaka. Nikiyuma mzigo nitakufungia huo mzigo wako na ukifika Dar utapigiwa simu ukaangalie mzigo wako. Nipo Canada na sehemu ninayosushia mzigo ni machinga complex. Nimekuwa nikileta viatu tu lakini container inayofuata sasa itakuwa na nguo grade 1.
Email yangu ni faoincredible@yahoo.ca
Karibuni wote
Uko wap kamanda?
Hapana mkuu huwa hawatozi kodi hyo kitu...