scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
Mfano mimi nikitaka zile nguo ambazo ntauza 500 kitaan au mnadan znapatkanaje?Tsh.175,000/=, 200,000/=, 250,000/= n.k
Unaweza pata zaidi ya 150pc lakini zenye kuvutia ni za kubahatisha.Mfano mimi nikitaka zile nguo ambazo ntauza 500 kitaan au mnadan znapatkanaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa ok sawaa.unaweza pata zaidi ya 150pc lakini zenye kuvutia ni za kubahatisha.
Unaweza kuuziwa zile ambazo haziuziki kwa faida wanaita maronyaronya n.k kwa kawaida hii biashara ni ngumu, na ugumu wake unakuja pale unaposhindwa kupata nguo nzuri ili uuze kwa bei ya juu ili urejeshe mtaji na upate faida.Ahaa ok sawaa.
Mimi nilikuwa nina hamu sana ya kuuza nguo za mtumba za watoto miaka kuanzia mmoja mpka 7,ila sasa nmejaribu kuulizia watu ambao wanafanya biashara hiyo wanasema ukienda wanapofungua mizigo mipya huwa wanauza kuna nguo znabakia.
Sasa zile zilizobakia huwa wanaziweka stoo, sasa ukiuhitaji unaupata ule mzgo kwa bei poa sana,ila sijajua hili swala kama n kwel.
Wamezd kusema hata ukiwa na 120000 unapata mzgo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuuziwa zile ambazo haziuziki kwa faida.wanaita maronyaronya n.k kwa kawaida hii biashara ni ngumu,na ugumu wake unakuja pale unaposhindwa kupata nguo nzuri ili uuze kwa bei ya juu ili urejeshe mtaji na upate faida.
Nenda siku ya ufunguzi,chagua moja moja nenda kauze.
Asnte sana kakaNenda siku ya ufunguzi,chagua moja moja nenda kauze
Kampla wanaenda bado watu
Nenda insta Kuna account za biashara za nguo utachek vizuri
Nitajie hizo account mkuu. Mimi sio mdau sana wa Insta.