Wadau naomba msaada kuhusu mahali yanapopopatikana maduka ya jumla ya nguo jijini nairobi. Nataka kufungua duka la rejareja la nguo ktk jiji la Arusha. Pia namba ushauri kuhusu biashara hiyo
Unataka nguo zipi dukani or mtumba? Kama za dukani kuna sehemu inaitwa Isrii..ndio zinapatikana kwa wingi.
Wewe ni mwanaume au mwanamke? unataka nguo za kike, za kiume, za watoto? Unaweza kunipm nikuunganishe na nduguyangu.
basi.Wana JF wasalaam
Naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya nguo hasa za kike kutoka China. Je ni vitu gani vya kuzingatia kwa mtu anaeanza kusafiri (alikua anachukua mzigo Kampala anataka kuanza kuchukua China)?. Mtaji wake ni kama 10M. Je China ndo the best place anayoweza kuleta mzigo kwa faida nzuri zaidi (duka lake lipo KKO)?
Shukrani.
basi.
Hongera. Tupe uzoefu wa Kampala
Kampala nguo bei ni nafuu zaidi na zipo nyingi. Ukiwa na swali uliza
Upo kampala, marekani, uk au?
upo kampala, marekani , uk au?
Wana JF wasalaam
Naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya nguo hasa za kike kutoka China. Je ni vitu gani vya kuzingatia kwa mtu anaeanza kusafiri (alikua anachukua mzigo Kampala anataka kuanza kuchukua China)?. Mtaji wake ni kama 10M. Je China ndo the best place anayoweza kuleta mzigo kwa faida nzuri zaidi (duka lake lipo KKO)?
Shukrani.
Subiri kidogo nionne kama huyuu ndugu yangu anayechukua nguo dubai na china kama atanipa ruksa ya kukuunganisha naye.
samahani cousin hivi unajua wewe ni ndugu yetu?
Mkuu embu nisaidie mtaa gani kampala kuna maduka ya jumla ya nguo. nina mtaji wa 1,500,000 Tsh. je utafaa? naishi Arusha