Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Lyamber

Mkuu respect kwanza, am not trying to be a mere habitual offender. This is a virtual forum you can attack on any side you want, the fact remain as a fact, sikufanikiwa kusoma uchumi mkuu ila angalau shule ya duniani nimeipitia for the past 15 years nimekua kwenye business industry, business is REAL so does numbers.
 
Last edited by a moderator:
Wadau naomba msaada kuhusu mahali yanapopopatikana maduka ya jumla ya nguo jijini nairobi. Nataka kufungua duka la rejareja la nguo ktk jiji la Arusha. Pia namba ushauri kuhusu biashara hiyo.
 
Nenda katembee ukaulizie wenyeji, ama ingia hapo chini kwa Kenyen forum ndio uwaulize.
 
Unataka nguo zipi dukani or mtumba?kama za dukani kuna sehemu inaitwa Isrii..ndio zinapatikana kwa wingi.
 
Wadau naomba msaada kuhusu mahali yanapopopatikana maduka ya jumla ya nguo jijini nairobi. Nataka kufungua duka la rejareja la nguo ktk jiji la Arusha. Pia namba ushauri kuhusu biashara hiyo

Wewe ni mwanaume au mwanamke? Unataka nguo za kike, za kiume, za watoto? Unaweza kunipm nikuunganishe na nduguyangu.
 
Wana JF wasalaam

Naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya nguo hasa za kike kutoka China. Je ni vitu gani vya kuzingatia kwa mtu anaeanza kusafiri (alikua anachukua mzigo Kampala anataka kuanza kuchukua China)? Mtaji wake ni kama 10M. Je, China ndo the best place anayoweza kuleta mzigo kwa faida nzuri zaidi (duka lake lipo KKO)?

Shukrani.
 
Wana JF wasalaam

Naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya nguo hasa za kike kutoka China. Je ni vitu gani vya kuzingatia kwa mtu anaeanza kusafiri (alikua anachukua mzigo Kampala anataka kuanza kuchukua China)?. Mtaji wake ni kama 10M. Je China ndo the best place anayoweza kuleta mzigo kwa faida nzuri zaidi (duka lake lipo KKO)?

Shukrani.
basi.
Hongera. Tupe uzoefu wa Kampala
 
Mkuu embu nisaidie mtaa gani kampala kuna maduka ya jumla ya nguo. nina mtaji wa 1,500,000 Tsh. je utafaa? naishi Arusha
 
Halafu huwa ninashangaa ni kwa sababu gani KPL bei za baadhi ya vitu kama nguo iwe rahisi!!
 
Wana JF wasalaam

Naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya nguo hasa za kike kutoka China. Je ni vitu gani vya kuzingatia kwa mtu anaeanza kusafiri (alikua anachukua mzigo Kampala anataka kuanza kuchukua China)?. Mtaji wake ni kama 10M. Je China ndo the best place anayoweza kuleta mzigo kwa faida nzuri zaidi (duka lake lipo KKO)?

Shukrani.

Subiri kidogo nionne kama huyuu ndugu yangu anayechukua nguo dubai na china kama atanipa ruksa ya kukuunganisha naye.
 
Unapotaja sehemu za bidhaa rahisi duniani naamini China itakuwa ya kwanza... Karibu sana Guanzhou na hata Hongkong utapata nguo hadi za 0.5USD ukiipeleka Bongo unauza 10USD
 
Mkuu embu nisaidie mtaa gani kampala kuna maduka ya jumla ya nguo. nina mtaji wa 1,500,000 Tsh. je utafaa? naishi Arusha

mitaa ya Arua Park, Ben kiwanuka street, jiran na Owino market, Tax park. etc hizo sehemu zimekaribiana pia ukiambiwa 10000 ujue ni 5000 utaangalia na nguo yenyewe
 
Back
Top Bottom