Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

Kaka natumia simu inasumbua kukuwekea link but you can look on my threads
Habari Mkuu,v ipi Kampala bado unaenda kuleta Mizigo na pia vipi mazingira ya biashara huko hayajabadilika hususani kwenye bei na upatikanaji wa bidhaa bora?
 
Habari Mkuu,vipi Kampala bado unaenda kuleta Mizigo na pia vipi mazingira ya biashara huko hayajabadilika hususani kwenye bei na upatikanaji wa bidhaa bora?
Mkuu last business trip ilikuwa last year, lakini this year nimeenda mara nne, last time ni July mwishoni. Hakuna kilichobadilika sana kwa upande wa mizigo kwani kule mizigo mizuri ni ya kutosha. Kitu ambacho sijui ni ushuru wa border tu. Cha msingi before a trip tafuta makondakta wa mabasi yanayokwenda kule wao wanajua mengi hasa ushuru na hata kama kuna usumbufu. Mwezi desemba mwanzoni nitaenda Inshallah kwani nilisimama kidogo so i want to resume it soon before 2017
 
Mkuu last business trip ilikuwa last year, lakini this year nimeenda mara nne, last time ni July mwishoni. Hakuna kilichobadilika sana kwa upande wa mizigo kwani kule mizigo mizuri ni ya kutosha. Kitu ambacho sijui ni ushuru wa border tu. Cha msingi before a trip tafuta makondakta wa mabasi yanayokwenda kule wao wanajua mengi hasa ushuru na hata kama kuna usumbufu. Mwezi desemba mwanzoni nitaenda Inshallah kwani nilisimama kidogo so i want to resume it soon before 2017
Ok much respect Mkuu.
 
Mwendelezo,
Hapa nitazungumzia machache tu yafuatayo:

1. USALAMA: Kampala ni jiji ambalo liko poa kwa usalama. Kuna polisi wanafanya sana doria. Zingatia kutembea na passport au Hati ya dharura ya kusafilia kwani polisi wa Uganda wana tabia ya usumbufu pale wanapokukuta huna passport kwa wageni. Wanaweza kukupeleka sero au kudai kitu kidogo. Wengi unaweza sema umeacha hotel wakakuelewa au wasikuelewe. Point ya msingi tembea na passport yako. Kwa mfano kwa wale wapenda kujirusha, unaweza ukawa unarudi from club usiku kwenye pikipiki afu ukakutana nao wakakusimamisha afu uwe hauna passport hapo shida sana.

2. CHAKULA: Hapa mimi ndio sehemu yangu maana katika safari zangu hata saa moja asubuhi nitakula mishikaki na chapati na yai za kutosha. Kwa vyakula wako vizuri. Mimi kwa bahati mbaya huwa sili hoteli kubwa au migahawa ya gharama. Mama ntilie wengi chakula ni elfu 3000 au hata pungufu. Baadhi ya migahawa bei ni zile zile tu ila msosi wake mzuri. Samaki, nyama, matoke etc. Hapa usiwe na wasiwasi it's like home TZ. Ila kwa bahati mbaya ndugu zetu mapishi ya wali kidogo shida kwani hapa utatajikuta unakumbuka mapishi ya wali ya Kitanga, kizaramo, kilugulu etc.

3. PERSONAL SHOPPING: Hapa sio kibiashara bali mwendo wa kununua upendeze binafsi. Ukitaka kuenjoy zaidi hapa ujue luganda kidogo hata ya kuibia kama ifuatavyo:
*1000 Lukumi
*1500 Lukumi mu bitano
*2000 nkumi bili
*2500 nkumi bili mu bitano
*3000 nkumi Satu
*3500 nkumi Satu mu bitano
4000 nkumi nnya
*5000 nkumi tano
*6000 kakaga
*7000 kasamvu
*8000 kanana
*9000 kenda
*10000 mtwalo
*11000 Mtwalo gumu mu lukumi
*12000 mtwalo gumu mu nkumi bili
*13000 Mtwalo gumu mu nkumi satu
*14000 mtwalo gumu nkumi nnya
*15000 mtwalo gumu mu kitundu (hii kitundu inatamkwa Chitundu)
*16000 mtwalo gumu mu kakaga
*17000 mtwalo gumu mu kasamvu
*18000 mtwalo gumu mu kanana
*19000 mtwalo gumu mu kenda
*20000 mitwalo ebili or bili
*21000 mitwalo ebili mu lukumi
*22000 mitwalo ebili mu bili
*23000 mitwalo ebili mu satu
*24000 mitwalo ebili mu nnya
*25000 mitwalo ebili Chitundu au mitwalo ebili mu etano
*30000 mitwalo esatu
*35000 mitwalo esatu Chitundu
*40000 mitwalo enaa
*50000 mitwalo etano
*60000 mitwalo mkaga
# pardon my poor luganda

*How much - sente meka
*Discount /nipunguzie - nkendelezako. Hapa anaweza kukuuliza una shilingi ngapi - oina sente meka?
*I want - njagala
*webale - thank you, maana ukiwa Uganda hasa Kampala utakaribishwa kw kuvutwa au kushikwa mikono we mpaka basi, wenzetu kama ni biashara wanajua.
*I will give you - njakuwa
#ni mengi ya kuandika

You can mix luganda and English Unapo ulizia bei za vitu iwe mtumba, special au hata vitu vingine.

4. Kampala Nightlife: Hapa ndio shida Sana. Wanawake wa Kiganda wameumbika bhana so if ukiwa on business trip for men uwe makini maana Kampala mdudu HIV wa kumwaga. Shida nyingine dadaz with UG wakopenda sana WaTZ yaani wakijua MTZ shida. Vipo viwanja vingi sana kama Club Ambiance, Ange Noir etc. Kuna sehemu inaitwa Kabalagala huko Kuna bar na night clubs nyingi. Kiwanja kizuri ni Club Ambiance. So if you make a trip fanya kwanza kilichokupeleka then kama ni mtu wa bata ule bata ila zile totozi usipojipanga utakosa hata nauli us kurudi TZ

Yako mengi, haya ni machache tu. KARIBU KLA CITY
 
Back
Top Bottom