las Casas
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 575
- 720
By desemba mwanzoni 8-10unaenda lini tena mkuu tufungue kijiwe chetu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
By desemba mwanzoni 8-10unaenda lini tena mkuu tufungue kijiwe chetu?
mbona cheap sana60000 or 40000 for robota ila ni kitambo kwa Sasa sijui
Kaka natumia simu inasumbua kukuwekea link but you can look on my threadsNaomba link ya part one mkuu
0676463047 na 0757463047Nitumie namba yako nikuulize kitu
Yes by mwisho wa Mwaka naenda mi niko Bukoba mkuuSafi mkuu nawezaje kukupata unipe maelekezo ikiwezekana kama unatarajia kwenda siku za karibuni twende wote
Habari Mkuu,v ipi Kampala bado unaenda kuleta Mizigo na pia vipi mazingira ya biashara huko hayajabadilika hususani kwenye bei na upatikanaji wa bidhaa bora?Kaka natumia simu inasumbua kukuwekea link but you can look on my threads
Mkuu last business trip ilikuwa last year, lakini this year nimeenda mara nne, last time ni July mwishoni. Hakuna kilichobadilika sana kwa upande wa mizigo kwani kule mizigo mizuri ni ya kutosha. Kitu ambacho sijui ni ushuru wa border tu. Cha msingi before a trip tafuta makondakta wa mabasi yanayokwenda kule wao wanajua mengi hasa ushuru na hata kama kuna usumbufu. Mwezi desemba mwanzoni nitaenda Inshallah kwani nilisimama kidogo so i want to resume it soon before 2017Habari Mkuu,vipi Kampala bado unaenda kuleta Mizigo na pia vipi mazingira ya biashara huko hayajabadilika hususani kwenye bei na upatikanaji wa bidhaa bora?
Ok much respect Mkuu.Mkuu last business trip ilikuwa last year, lakini this year nimeenda mara nne, last time ni July mwishoni. Hakuna kilichobadilika sana kwa upande wa mizigo kwani kule mizigo mizuri ni ya kutosha. Kitu ambacho sijui ni ushuru wa border tu. Cha msingi before a trip tafuta makondakta wa mabasi yanayokwenda kule wao wanajua mengi hasa ushuru na hata kama kuna usumbufu. Mwezi desemba mwanzoni nitaenda Inshallah kwani nilisimama kidogo so i want to resume it soon before 2017
Poa your welcomeI will call you bro
Unamaanisha Gulioni Katerero?Huko ni hatari sana kwa Mambo ya gulioni