Siendagi izo maeneo. Kusema kweli siku hizi places za kwenda hamna kabisa. Naishiaga kwenda beach nakunywa uku natembea ufukweni.Kitambaa naisikia tu. Vijana starehe zenu mnaweza wenyewe. Yaani watu wamejaa kama sisimizi wanakunywa bia tu.
Ndio maana sisi wazee tukiuchoka mji tunaenda vijijini huko maporini ku relaxSiendagi izo maeneo. Kusema kweli siku hizi places za kwenda hamna kabisa. Naishiaga kwenda beach nakunywa uku natembea ufukweni.
Hahaaaaa kumbe ndio wewe ulikiwa unayakata mauno na kutikosa makalio siku ile? Unayajua sana mauno mkuu, ulikuwa unakata kama feni huku unatiksa mkia na umeweka bia juu ya tako. 😀😃😄😁😆😅🤣Balaa aisee mimi napenda sana mziki mzuri nimemiss club kunazimwa taa inabaki moja niliwahi cheza mziki mpaka walinipigia makofi wadau
Du ...kucheza muziki ni uchwawi wa afya ni zaidi ya mazoezi jim ...tusi mdharau mtu akiwa anacheza muziki ni kitu kizuri sana kwa afya.Balaa aisee mimi napenda sana mziki mzuri nimemiss club kunazimwa taa inabaki moja niliwahi cheza mziki mpaka walinipigia makofi wadau
Kuna kipindi band zilishija hatamu. Wamezeeka saa hizi hamna band za kizazi kipya.Vipi na bendi za wakongo siku hizi nazo hazipigi kwenye kumbi zao zile kama wakati ule Makumbusho?
Band zimepauka mbaya. Yaan huruma. Na mchezo wa Karaoke nao umefika tamati.Kuna kipindi band zilishija hatamu. Wamezeeka saa hizi hamna band za kizazi kipya.
Usipige shati la draft draft umechomekea na mkanda wa brown chini umevaa jeans😂😂Mafaza wanavaaje mkuu? Nipe code nisije kuonekana mmasai nimeingia Disco 🤣🤣
Ngoja nikukaishie tu nisije kula banHahaaaaa kumbe ndio wewe ulikiwa unayakata mauno na kutikosa makalio siku ile? Unayajua sana mauno mkuu, ulikuwa unakata kama feni huku unatiksa mkia na umeweka bia juu ya tako. [emoji3][emoji2][emoji1][emoji16][emoji38][emoji28][emoji1787]
Bongo vitu vinakuja kwa msimu. Karaoke miaka michache nyuma ilikuwa kila mahaliBand zimepauka mbaya. Yaan huruma. Na mchezo wa Karaoke nao umefika tamati.
Hahaaaaa, nilikuwa nakutania tu mkuu. Nimecheka kwa comment yako😀😃😄😁😆😅🤣😂. Samahani kwa hilo.Ngoja nikukaishie tu nisije kula ban
maison haipo tena sahiviClub zipo mkuu sema hazijazi kama hizo bar kubwa, nenda Maison masakiz angalau hapo panapendeza ila panajaa sana kuanzia saa 6 kuendelea.
Watufungulie sehemu sisi watu wazima tuwe tunakwendaBongo vitu vinakuja kwa msimu. Karaoke miaka michache nyuma ilikuwa kila mahali
Hapo Velvet nasikia kuna siku ya oldies na dj Dillon na John PeterWatufungulie sehemu sisi watu wazima tuwe tunakwenda
Tukasikilize maflash back mambo ya old is gold 😄
Ova
Wewe ni mzee?Time really flies aisee. Miaka Ile Bills, Mambo Club hatari na nusu. Sio kwamba hizi open bar hazikuwepo. Weekend imefika jioni unajongea Jolly pale au Qbar unaanza mdogo mdogo moja moja hadi saa 6 unazama bills hadi alfajiri. Dah maisha yake hawawezi kujirudia. Watu wastaarabu wanajua muziki mzuri. Enzi hizo ukitaka oldies unazama Blue Palms unakula oldies balaa hadi kiu inakata unasuuzika moyo kabisa.
Sio sasa hivi ujinga mtupu, open bar lounge ni amapiano tu. Yan unaweza kukaa masaa 5 hujasikia oldies hata moja ni maujinga ya amapiano tu watu wako kama kuku anakata roho ndo styles za kucheza eti.
Morogoro sehemu nzuri kwa watu wastaharabu ni Harris tu.Kweli kabisa, Samaki samaki au Terminal Pub Morogoro yaani ni mpaka majogoo...
Siku izi ratiba za bar nyingi zinafanana.. zitapigwa ngoma tofauti tofauti ila ikifika tu saa saba au nane usiku apo ni amapiano mpk kukuche[emoji28][emoji28]Dj mwenyewe unakuta kazaliwa 2006 anamiaka 18 unategemea asipige amapiano mwanzo mwisho
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa mkuu never mind haaaaaaahHahaaaaa, nilikuwa nakutania tu mkuu. Nimecheka kwa comment yako[emoji3][emoji2][emoji1][emoji16][emoji38][emoji28][emoji1787][emoji23]. Samahani kwa hilo.