kama hautojali mkuj mwagika changamoto za ufugaji samakimimi nimefuga samaki nikiwa mbeya ni rahisi kuriko iyo ya mashine kununua sijui ukodishe na dogo yupo dar anafuga vizur tuu nimehamia Ar pia ntafuga..
Nina kibanda changu kiko mbeya mitaa flan ya utulivu ya makazi ya watu. Sasa ninawaza nianzishe biashara ya fresh food, ntaweka na dagaa wa kukaanga wa mwanza, pia mayai (kuku nafuga), pamoja na asali kwa packaging nzuri na lebelling
Nawasilisha. Naomba muongozo upatikanaji wa samaki na handling yake.
Ulifanikiwa kuanza?Poa.
Biashara ya mabondo ina pesa sana bei ya kilo moja kwa sasa inaweza kufika 50000 huko visiwani ndani ya ziwa Victoria hasa kwa mabondo ya sangara wakubwa ni bei sana,zamani hayakuwa na bei kubwa but Wachina wameingilia hii biashara na kuifanya iwe juu sana miaka 2007 kilo ilikuwa kati ya 5000 hadi 25000 but sasa ipo juu sana ht zaidi hiyo 50000Kutengenezea nyuzi za kushonea binadamu,na inasemekana ndo nyuzi bora sana,siku ukishonwa nyuzi hospital na ukaambiwa hakuna haja ya kurudi hospital kutolewa nyuzi ujue ulishonewa Uzi wa bondo kwani nyuzi zake uwa zinaoza na kukatika zenyewe ukipona jeraha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata baadhi ya condom hutengenezwa na fish mawsKutengenezea nyuzi za kushonea binadamu,na inasemekana ndo nyuzi bora sana,siku ukishonwa nyuzi hospital na ukaambiwa hakuna haja ya kurudi hospital kutolewa nyuzi ujue ulishonewa Uzi wa bondo kwani nyuzi zake uwa zinaoza na kukatika zenyewe ukipona jeraha
Sent using Jamii Forums mobile app