Biashara ya samaki

Biashara ya samaki

mimi nimefuga samaki nikiwa mbeya ni rahisi kuriko iyo ya mashine kununua sijui ukodishe na dogo yupo dar anafuga vizur tuu nimehamia Ar pia ntafuga..
kama hautojali mkuj mwagika changamoto za ufugaji samaki
 
Wadau naombeni kujua mwenye uzoefu wa biashara ya samaki kwa kutembeza mitaani kama ina weza kuwa na changamoto zipi na faida zipi
Nataraji kufanya hiyo biashara kwa kununua wabichi na kuwatembeza
Karibuni[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Habari zenu nyote,

Wadau mi ni mkazi wa Mwanza na nitafuta waenyeji wa mikoa tofauti tofauti ambapo mahitaji ya samaki ni adimu ili tufanye biashara kwa atakaevutiwa ni idea anicheki kwa namba 0758255256 au 0688644047 for more serious talk.

Sent from my GT-S7275R using JamiiForums mobile app
 
Nina kibanda changu kiko mbeya mitaa flan ya utulivu ya makazi ya watu. Sasa ninawaza nianzishe biashara ya fresh food, ntaweka na dagaa wa kukaanga wa mwanza, pia mayai (kuku nafuga), pamoja na asali kwa packaging nzuri na lebelling

Nawasilisha. Naomba muongozo upatikanaji wa samaki na handling yake.
Ulifanikiwa kuanza?
 
Ukihitaji dagaa wa kukaangwa wa Mwanza pamoja na samaki karibu UKARA FISH GROUP 0759292980
FB_IMG_1498140646111.jpeg
tapatalk_1497130560705.jpeg
tapatalk_1497130577848.jpeg


Sent from my H7 using JamiiForums mobile app
 
Mimi naishi mwanza,nahitaji kufanya biashara na mtu alie tiyari awe wa kike ama kiume,awe nje ya mkoa sio mbaya. Ninacho weza kusema biashara ya samaki na dagaa mwanza ni biashara nzuri ukiwa na watu makini ambao watashirikiana na kufikia mafanikio.changamoto ni mtaji mimi tukielewana ukiwa popote nanunua kama ni kukaangaa unaletewa bila shida .
Kama unahitaji nitafute.
0764239124

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutengenezea nyuzi za kushonea binadamu,na inasemekana ndo nyuzi bora sana,siku ukishonwa nyuzi hospital na ukaambiwa hakuna haja ya kurudi hospital kutolewa nyuzi ujue ulishonewa Uzi wa bondo kwani nyuzi zake uwa zinaoza na kukatika zenyewe ukipona jeraha

Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ya mabondo ina pesa sana bei ya kilo moja kwa sasa inaweza kufika 50000 huko visiwani ndani ya ziwa Victoria hasa kwa mabondo ya sangara wakubwa ni bei sana,zamani hayakuwa na bei kubwa but Wachina wameingilia hii biashara na kuifanya iwe juu sana miaka 2007 kilo ilikuwa kati ya 5000 hadi 25000 but sasa ipo juu sana ht zaidi hiyo 50000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutengenezea nyuzi za kushonea binadamu,na inasemekana ndo nyuzi bora sana,siku ukishonwa nyuzi hospital na ukaambiwa hakuna haja ya kurudi hospital kutolewa nyuzi ujue ulishonewa Uzi wa bondo kwani nyuzi zake uwa zinaoza na kukatika zenyewe ukipona jeraha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata baadhi ya condom hutengenezwa na fish maws
 
Me niliuza nikaambia laki moja kilo moja tena lubichi kuna wachina wanafanya bei inaenda juu sana
 
Back
Top Bottom