Ok hata huko sio mbaya nichek PM maana huko pia nina watejaNipo mbeya mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok hata huko sio mbaya nichek PM maana huko pia nina watejaNipo mbeya mkuu
kigoma mjini zinaweza toka kama tan 15 ambazo ziko tayari (zimekomaa)Upo wapi?
Sijawai ona mfugaji wa sanaki kafuga sato kafika zaid ya kilo. Naomba nkutafte nje nishuhudie. Na mimi ni mfugaji pia.Nina bwawa la samaki 5000-5500 waliokomaa aina ya trapia/ngege/sato, samaki hawa wana uzito kati ya kilo 1.2 hadi kilo 5, naombeni mniunge na masoko niweze ziuza, niingize mpya. Bwawa lipo Kigoma mjini.
Asanteni sana
Mdau,Nina bwawa la samaki 5000-5500 waliokomaa aina ya trapia/ngege/sato, samaki hawa wana uzito kati ya kilo 1.2 hadi kilo 5, naombeni mniunge na masoko niweze ziuza, niingize mpya. Bwawa lipo Kigoma mjini.
Asanteni sana
sikuvunji moyo ila ukifuga fugia jirani na viwanda mimi ninahata tani 100 nikivua zote ila ndo hivyo soko liko mbali halafu kuwalisha ni ghali sana wakiwa wakubwaMdau,
Hakuna ndoto nimekua nikiota kama biashara ya kufuga samaki hata nilikuwa najipanga nikasome somo hili, Aquaculture.
Sasa imenitokezea picha mpya! Kumbe masoko ni ya shida?
Lakini, samaki hakosi soko. Je wanauzikaje kwa piece au kwa uzito tuweze kukusaidia kutafuta masoko?
Ila changa moto kubwa hapa ni usafiri kigoma!
Let us put the initiative we shall win.
hao sato wa mwanza asili yao ni kigoma huku tunao hadi kilo 7 ,ila wanaitwa ngegeSijawai ona mfugaji wa sanaki kafuga sato kafika zaid ya kilo. Naomba nkutafte nje nishuhudie. Na mimi ni mfugaji pia.
Tshs 4500Tan moja sato wauzaje?
Picha tafadhali. Bado sijaamin vile.hao sato wa mwanza asili yao ni kigoma huku tunao hadi kilo 7 ,ila wanaitwa ngege
Naongelea wanaofugwa sio wa ziwani. Hta mwaza sato kilo zaid ya 10 wanapatkana ziwanhao sato wa mwanza asili yao ni kigoma huku tunao hadi kilo 7 ,ila wanaitwa ngege
Hehehe aweke kapicha nami bado cjaminiPicha tafadhali. Bado sijaamin vile.
Alfu soko la sato sio lakutafta.Hehehe aweke kapicha nami bado cjamini
Sasa mimi si mtani wako rafiki nikisema amini ,au nataka kufanya utapeli nini ?? nitafutie soko kaka ninao na watakuwa zaidi maana soko linazinguaNaongelea wanaofugwa sio wa ziwani. Hta mwaza sato kilo zaid ya 10 wanapatkana ziwan
Sasa mimi si mtani wako rafiki nikisema amini ,au nataka kufanya utapeli nini ?? nitafutie soko kaka ninao na watakuwa zaidi maana soko linazinguaNaongelea wanaofugwa sio wa ziwani. Hta mwaza sato kilo zaid ya 10 wanapatkana ziwan
Alfu soko la sato sio lakutafta.
si la kutafuta ukiwa mwanza mimi nipo kigoma hakuna kiwanda namtafuta mnunuzi mkubwa
Mi nilitegemea utatuma pic ya samak wapo bwawani maybe ukiwa unawalisha.si la kutafuta ukiwa mwanza mimi nipo kigoma hakuna kiwanda namtafuta mnunuzi mkubwa