Biashara ya samaki

Biashara ya samaki

Nina bwawa la samaki 5000-5500 waliokomaa aina ya trapia/ngege/sato, samaki hawa wana uzito kati ya kilo 1.2 hadi kilo 5, naombeni mniunge na masoko niweze ziuza, niingize mpya. Bwawa lipo Kigoma mjini.

Asanteni sana
 
Sijawai ona mfugaji wa sanaki kafuga sato kafika zaid ya kilo. Naomba nkutafte nje nishuhudie. Na mimi ni mfugaji pia.
 
Mdau,
Hakuna ndoto nimekua nikiota kama biashara ya kufuga samaki hata nilikuwa najipanga nikasome somo hili, Aquaculture.
Sasa imenitokezea picha mpya! Kumbe masoko ni ya shida?
Lakini, samaki hakosi soko. Je wanauzikaje kwa piece au kwa uzito tuweze kukusaidia kutafuta masoko?
Ila changa moto kubwa hapa ni usafiri kigoma!
Let us put the initiative we shall win.
 
sikuvunji moyo ila ukifuga fugia jirani na viwanda mimi ninahata tani 100 nikivua zote ila ndo hivyo soko liko mbali halafu kuwalisha ni ghali sana wakiwa wakubwa
 
Sijawai ona mfugaji wa sanaki kafuga sato kafika zaid ya kilo. Naomba nkutafte nje nishuhudie. Na mimi ni mfugaji pia.
hao sato wa mwanza asili yao ni kigoma huku tunao hadi kilo 7 ,ila wanaitwa ngege
 
Naongelea wanaofugwa sio wa ziwani. Hta mwaza sato kilo zaid ya 10 wanapatkana ziwan
Sasa mimi si mtani wako rafiki nikisema amini ,au nataka kufanya utapeli nini ?? nitafutie soko kaka ninao na watakuwa zaidi maana soko linazingua
 
Alfu soko la sato sio lakutafta.
upload_2016-8-11_10-38-58.png
 
Back
Top Bottom