Ni kweli miss chagga inaweza kufika mimi nimesemea kwa bei ya zamani make hawa Chinese ndo wamefanya soko liwe juu.Siku ukija Mwanza nenda soko kuu kuna soko la samaki la jioni unaweza nunua sangara 40000 but bondo si mali yako unaliacha kwa muuzajiMe niliuza nikaambia laki moja kilo moja tena lubichi kuna wachina wanafanya bei inaenda juu sana
Sent using Jamii Forums mobile app