Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

Anyway
kama upo jiji la kuu la kibiashara Tanzania yaani Dsm.

Ukitaka bidhaa zenye ubora nenda mtaa wa jamhuri kwenye maduka ya ZamZam na Masumin. Hawa wanauza bidhaa nyingi za stationery. Lakini kama mfuko wako mdogo unaweza kwenda pale kariakoo opposite na mtaa wa uhuru, kuna maduka mengi yanayouza stationaries kwa bei cheap zaid ukilinganisha na kule masumin au zamzam.
 
NENO SAHIHI NI STATIONERY SIO stationary.
Huenda yupo sahihi. Ungeanza kwa kumuuliza, aliilenga ipi haswa?.

Pia ungetumia "Utaalamu" wako kumtofautishia hizo terminologies mbili. Hapo umuhimu wa msaada, ungechukua mkondo wake.

Nirudi kwenye mada. Mkuu, Jilatu jilatu . Nakushauri utembelee sehemu husika ili kupata bei elekezi ya vifaa unazozihitaji. Ushauri wa Fasiliteta unaweza kufana sana.

Kila la kheri.
 
Stationery au stationeries ni vitu mbalimbali tunavyovitumia katika shughuli za maofisini kama vile pen vitabu madaftari rula plain papers flip charts punching machines pencils manila papers chalk and the likes.

Stationary kama inavyotumiwa na wengi ni adjective inayomaanisha something is not moving au incapabale of moving kisambaa maana yake kitu ambacho kimesimama sehemu moja yaan hakiend mbele wa nyuma.

Arifu umenisoma?
 
Ningependa wakuu mnisaidie bei za vifaa kama
Machine ya kuprint picha
Machine ya kupigia lamination
Pia laptop
Vyote hata kama kunamtu anavyo used poa tunawasiliana vzr.

Wapigie Masumin Stationeries and Print ways kwa simu namba 0800110024 (BURE).
Ni wauzaji wakubwa wa vifaa vya Stationeries kwa ajili ya mashuleni na ofisini!
 
Huenda yupo sahihi. Ungeanza kwa kumuuliza, aliilenga ipi haswa?.

Pia ungetumia "Utaalamu" wako kumtofautishia hizo terminologies mbili. Hapo umuhimu wa msaada, ungechukua mkondo wake.

Nirudi kwenye mada. Mkuu, Jilatu jilatu . Nakushauri utembelee sehemu husika ili kupata bei elekezi ya vifaa unazozihitaji. Ushauri wa Fasiliteta unaweza kufana sana.

Kila la kheri.
Poa mkuu nashukru
 
Ningependa wakuu mnisaidie bei za vifaa kama
Machine ya kuprint picha
Machine ya kupigia lamination
Pia laptop
Vyote hata kama kunamtu anavyo used poa tunawasiliana vzr.

mkuu sijui umeshawaza yapi katika biashara unayotaka kufungua. ila ningependa kukushauri jambo moja kabla hujakimbilia kununua lamination machine na laptop nk..
kwa mwelekeo ulio anza nao naona itakua a very begginer approach yani uwe na stationery afu na mashine mbili tatu, uuze 10,000 paka 20,000 kwa siku afu basi.

kama ndo lengo lako kutest na kujifunza hio biashara sawa ila..
kama una malengo makubwa na kama umejiandaa na unataka upambane kweli na kujikwamua ktk uchumi huu.. jaribu kutafuta kwanza “a stronghold approach” ambayo unahisi inaweza kuonesha u seriousness kdg..

kwa mfano uniambie nimefanya tafiti nimeona professionals aina flani labda wanasheria wanahitaji huduma abcd za stationeries au mashule wanachapisha mitihani mamia kila muhula, au maeneo ya vyuo wanafunzi wanahitaji vitu flani vya stationeries, au nimetembelea kumbi za starehe kila siku sherehe kadi wanatoa wapi.. au maofisi mengi kwanini nisiwapunguzie usimbufu wa ku print na copy nk.

ukiwaza hivyo itakusaidia kujua angle gani uingie kwenye hio biashara, utajua unahitaji vifaa gani, mtaji gani, uwaone watu gani.. na naamini utafanikiwa zaidi kwa namna hiyo!

tumia audience ambayo tayari wengine wamekutengenezea.. mfano we muuza jezi unajua wapenda mpira ndo wanunuzi wako, unajua mechi ya simba na yanga jmosi kwann usitumie audience ambayo tff imekutengenezea kupata hao wateja!
tafakari.. !
 
Back
Top Bottom