kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Wakuu nina pesa kiasi nataka nianzishe biashara ya stationery ili nimkeep bize mdogo wangu, hajapata pa kujishikiza.
Naomba wauzaji na wajuvi wa vifaa hivi wanipe bei zake na ushauri ikibidi.
1. Desktop computer (Complete)
2. Photocopier
3. Printer laki
4. Camera ya picha (digital camera).
5. Photo printer (passport size).
6. Laini za m-pesa & Tigo pesa (mchanganuo wa upatikanaji na minimum ya mtaji wake wa kuendesha biashara).
Naomba mchanganuo wa hivyo vitu na kama wewe ni muuzaji basi mimi ni potential customer wako hivyo ukinisaidia itakua ni win to win stuation.
sent from Sokoro nkorambokande
Nina photo printer mpya epson l805, printer ndogo ya photocoy na camera nikon d40 zote hazijawahi kutumiwa nchini..ukihitaji nijuze..mm si mfanyabiashara wa hayo mambo nauza tu sababu nimekosa kijana wa kusimaia hiyo biashara..ukihitaji nicheki tu