Ni simple kwani mashine yenyewe inahesabu copy zilizotoka kwa siku. Mwambie karatasi itakayoharibika hisitupwe na oanisha na no ya photocopy
Ninayo stationary, ina canon ir 2018 na Nashuatec 2000,
Kwa Nashua inaonyesha umetoacopy ngapi umeprint ngapi.
Canon inaonyesha umetoa copy ngapi printing ngapi scan ngapi. Hivyo monitoring ni simple.
Tukija kwenye binding lamination hiyo pia inajulikana pesa ya hivyo vitu isichanganywe na ya copy,
Kujua namna ya kusoma hivyo vitu canon na Nashuatec unapaswa uiweke kwenye network amasivyo kuna kaprocess kidogo ambako nnaweza kukutrain au kukusetia kwagharama kidogo isiozidi 50,000 tu.
Pia ukitaka mashine za copy unaweza uziwa machine bora kabisa ya nashua mp 2000 kwa 2,000,000 hii ni mashine bora kabisa inauwezo wa kuprint mbele na nyuma ya karatasi haiitaji usimamizi wakati wa kucopy inavutakaratasi yenyewe na ni alamost mpaya imetoa copy 60,000 tu. Contact pm
Hivi ThinkPad wewe ni mtu wa kunambia nikuPM??
Dah... Kwanza nisamehe make nilishasahau kama wewe ni mdau wa mambo hayo!!!
Nitakutafuta tukae kama kamati wangu....
:A S-eek: mama wee kumbe ni wewe loh siku soma nani kapost nilikuwa nachangamkia dili siunajua tena.
wewe itakuwa free.
wakuu kwa anaefahau sehemu pa kuchukulia vifaa vya stationary kwa jumla kama rims wino flash disks madaftari na bidhaa nyingine za stationary. Ambapo bei ni affordable mm nipo Mwanza. Nawasilisha.
Oky ngoja nimuulize kuna mtu yeye anawatumia sana hawa alibaba na ebay nitakufahamisha zaidi acha nicheki nao
Wakuu Mimi naumizwa na namna ya kufanya monitoring kwenye mapato ya photocopy! Kijana Wa kazi ananipiga maboblish siyo kidogo! Hebu aliyefanikiwa kudhibiti wizi kwenye hii kazi anisaidie mbinu, mwisho nitafunga kijiwe wakuu!