Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

Subiri kidogo wanakuja wataalamu wenyewe watakujuza.
 
biashara hii iko vzuri ukiwa sehemu iliyochangamka inategemea na vifaa vyenyewe vitu kama ream paper, lamination paper+machine, binding etc mm nanunuaga kariakoo na vyote viko fresh ukitaka photocopy machine ambayo iko vzuri wacheki MASASI PHOTOCOPIERS wako mtaa wa masasi pembeni na mobile plaza wanazo photocopy nzuri sana na uhakika za canon kwa mkoani wenyewe wanasema wako na branch mwanza waeza ncheki PM nkupe namba yao
 
mkuu ondoa hofu na used machine mpya labda ununue zile za bei kali(8mil kuendelea) lakini ukinunua za kichina za 1.4mil utajuta ikitokea imeharibika hutapata spare zko mashine nzuri sana hasa canon 1600, 1018,1010, 2016,2018 na bora zaidi inayokubalika na wengi ni IR3300 zote hz used czan kama mpya zko bongo. ukieza nunua mpya 3300 na sio hzo zinazong'aa
 
Habari zenu wadau!

Naomba kufahamu bei za mashine kurudufisha yaani photocopy machine, printer, Desktop,scanner na vifaa vngine muhimu vya stationary. Natanguliza natanguliza shukrani za dhati.
 
Zinaanzia laki tatu kupanda.

Ila tatizo zipo za aina nyingi mno, na pia zipo za kwa ajili ya biashara ambazo zinakuwa heavy duty na za kwa ajili ya ofisi.

Sijui unataka za matumizi gani.
 
Habari zenu wadau!
Naomba kufahamu bei za mashine kurudufisha yaani photocopy machine, printer, Desktop,scanner na vifaa vngine muhimu vya stationary.. natanguliza natanguliza shukrani za dhati

Mkuu sina jibu la moja kwa moja ila kukusaidia tu, ingefaa kama ungetoa unataka hivyo vifaa viwe na vigezo au sifa zipi? Mfano printer ya rangi au black and white, iwe na uwezo wa kurpint karatasi za size gani?

Hali kadhalika kwenye photocopy machine nako ungeweka specs ingekusaidia sana kupata habari za kukusaidia kufanya maamuzi. Desktop computer nazo unataka ziwe na uwezo gani? Ikiwemo windows, Storage memory na vitu kama hivyo.

Shukrani
 
Daaah cjawa na uwezo kuzitambua vizuri na specific zao ila nitakuwa na kazi nyng kama za oda za kuchapa mitihani za wanafunzi hivyo ningehitaji zenye uwezo wa kustahimili kazi nyingi!!
 
Habari zenu wadau!

Naomba kufahamu bei za mashine kurudufisha yaani photocopy machine, printer, Desktop,scanner na vifaa vngine muhimu vya stationary.. natanguliza natanguliza shukrani za dhati
0769600067 ntafute
 
Ulifanikiwa kupata? Kama bado tuwasiliane ninayo photocopy heavy duty itakufaa sana
 
Uko wapi Mkuu hiyo heavy duty ni mpya au used na waiuza kiasi gani?
 
Acheni uwoga namba za nini? toeni bei watu waingie mnadani panua fursa
 
Hello wana JF

Nina idea ya kuanzisha biashara ya stationary (vifaa vya jumla jumla), kwa wazoefu wa hii biashara naombeni ushauri, niandae sh ngapi kama mtaji? ondoa gharama za nyumba na thamani za ndani kama meza, shelf na vifaa vingine kama computer, copy, scanner, printer.

yani naitaji kufahamu gharama ya kuagiza mzigo kwa kuuza jumla jumla tu. naweza pata msaada?

Niko Mkoani Arusha
 
Salam, naomba ushauri wana JF. Nina biashara ya stationery ila nataka nijiongeze kwa kuuza rim paper e.g mond kutoka south afrika kwa jumla na rejareja.

Msaada 1. Ni wapi zinajumliwa hapo dares salaam au mpaka niagize nje.

2. Nikitaka niuze kwa jumla, nikienda kwa wafanya biashara wakubwa wataniuzia kuanzia idadi gani na kwa shilingi ngapi. Kwa sababu za kuuza rejareja huwa nauziwa tsh 7200/- kwa moja.

Nipo Lushoto, Tanga. Samahani kama kiswahili changu kitakuwa siyo kizuri ila namaanisha karatasi za kuandikia A4.
 
EMPOWER STATIONERY - THE UNIVERSITY OF DODOMA

TUNAPATIKANA MKOANI DODOMA KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA ALI MAARUFU UDOM

COLLEGE OF EDUCATION (COED)

ENEO LA UJASI

TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:-

PRINTING - 50/=

PHOTOCOPY 25/=

SCANNING - 300/=

BINDING - 500/=

SPIRAL - 1500/=

INTERNET CAFE

PIA TUNA EDIT KAZI ZA MASTERS NA KUWEKA VIPIMO


UMEME NI WA UHAKIKA HATA UMEME UKIKATIKA TUNATUMIA SOLAR POWER

KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU

0752074090

0784387983

AU

e-mail empowerstationary@gmail.com

GODBLESS EMPOWER
 
Back
Top Bottom