Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WIFI ndo nini jamani wengine tuna simu za tochi tufafanulieni..ndo uwanja wenyewe huu...Ukiwa na WIFI kwenye Internet Cafe inakuwaje??na gharama zake zikoje na zinapatikana wapi?? mana na mimi Computer ninazo nafikiria kufungua shule kwa ajili yaTraining ya Computer hivyo naweza nkaitumia na hiyo WIFI nkiielewa vizuri...Thnx Appoh kwa kuileta hii mada jukwaani...Ngoja tusikie ushauri kutoka kwa wenzetu...
Khaa, hii biashara ni ngumu kama vile kuendesha kampuni ya ndege. Nilifungua nikafunga ndani ya mwezi. Rent 300,000, TTCL bundle Tsh 200,000, umeme 100,000, salary ya mhudumu 150,000, bado ulinzi na gharama nyingine jumla unajikuta unabidi uspend kama 700,000 kama fixed cost. Sasa na vile wateja wa kudunduliza. Bora ufungue mahali amabapo population ya watu ni kubwa, kama wanafunzi wa chuo vile.
Hii biashara imekuwa ngumu sana baada ya kuja kwa smartphone na tablet,kwa hapa mjini siku hizi watu wengi wana access na internet kupitia simu au tablet
kuna fursa nataka niitumie kuhusu kodi hakuna shida kwani ni nyumbani eneo ni barabarani so hilo bundle hakuna la bei ya chini zaidi ya hilo
Nataka nifanye na biashara nyingine hapo hapo kama tigo pesa kuuza vocha za jumla mpesa na kuuza umeme ila sasa nimemamliza kujenga ofisi hizo zingine ni ideas naanza na cafe ya net kwanza
nunua bundle ya tccl ya elfu arobaini na nane cafe haihitaji speed sana ila zuia watu ku stream na kudownload movies au unaweza nunua bundle ya voda ya mwezi ni elfu arobaini.
nasisitiza uzuie watu ku stream na kudowload movies. Najua haya kwasababu nina internet cafe.
Nunua bundle ya tccl ya elfu arobaini na nane cafe haihitaji speed sana ila zuia watu ku stream na kudownload movies au unaweza nunua bundle ya voda ya mwezi ni elfu arobaini. Nasisitiza uzuie watu ku stream na kudowload movies. Najua haya kwasababu nina internet cafe.
Kila kitu kipo tayari computer kama kumi tatizo sijajua gharama za bundle ntanunuaje wakuu msaada.
Siku hizi hata application za kazi nyingi zinafanywa online tofauti na zamani,kuna smartphone unafanya attachment like unatumia computer.Kwa mikoani still biashara hii bado inalipa but hapa Dar hailipi,kuna jamaa wana internet tangu zamani mitaa ya Mwenge walikuwa wanafanya sana biashara last week nimeenda jamaa analalamika biashara imekuwa ngumu sana.Jamaa walikuwa wana internet,stationary,download music,movie,games na kuwauzia watu kwa sasa imekuwa robo ya mapato aliyokuwa anapata huko nyumahuduma kama cv kuprint na kucheki kaanda email pamoja na attachment computer muhimu
WIFI ndo nini jamani wengine tuna simu za tochi tufafanulieni..ndo uwanja wenyewe huu...Ukiwa na WIFI kwenye Internet Cafe inakuwaje??na gharama zake zikoje na zinapatikana wapi? Maana na mimi Computer ninazo nafikiria kufungua shule kwa ajili yaTraining ya Computer hivyo naweza nkaitumia na hiyo WIFI nkiielewa vizuri...Thnx Appoh kwa kuileta hii mada jukwaani. Ngoja tusikie ushauri kutoka kwa wenzetu.
Nunua bundle ya tccl ya elfu arobaini na nane cafe haihitaji speed sana ila zuia watu ku stream na kudownload movies au unaweza nunua bundle ya voda ya mwezi ni elfu arobaini.
Nasisitiza uzuie watu ku stream na kudowload movies. Najua haya kwasababu nina internet cafe.
Sasa kakosea nn? Mbona mambo ya techn yanabadilika kila siku.mm mwenyew.muelimishe tuHahahahaha utani mwingine kiboko,
Yaani wewe unatarajia kufungua shule ya kompyuta na hujui maana ya WIFI?
Ebo! Hao utakaowafundisha wataishia kuangalia filamu na nyimbo za kina Diamond.
Ngoja nikuambie jambo, jambo lolote ukiwa na nia ya dhati waweza kulifanya na kupata faida. Mfano angalia udhaifu uliopo kwa wengi wanaoendesha biasharara hiyo ya Internet cafe kama vile.
1. Desktop Computer kutokua na uninterruptible power supply (UPS)- incase of power interruption, every thing that has been done lost.
2. Speed ya Internet kuwa ya chini sana.
3.Chumba chenye ufinyu kisichokua na mpangilio ,hewa nk.
4. Cafe za mitaani nyingi hata kufagiliwa na kufutwa vumbi hamna, N.k nk.
Ukiweza kuwa na plan nzuri na usimamizi mzuri utapata biashara , kwa kua sio kila mtu ana uwezo wa kununua hayo ma-smart/ Adroid Phone.