Biashara ya Uchawi Tanzania

Biashara ya Uchawi Tanzania

Ujakosea ila sumbawanga ni kiboko unakumbuka mwaka 2007.kipanga kubeba fahari la ngombe
 
Vita kati ya Malaika na shetani bado muda wake, siku na saa ya vita hiyo ipo, sijui ni lini.

Malaika ni walinzi wetu, kama upo vizuri na Mwenyenzi Mungu huna sababu ya kununua bastola, bunduki kwa ulinzi binafsi. Waite Malaika wa vita, huwa wanashuka na silaha nzito, anzisha vita na mamlaka zozote zilizoinuka juu yako, malaika wanagojea maelekezo yako, lolote utakalotamka hutekelezwa palepale.

Jehanum ya moto ipo moja tu, lakini mpaka leo bado ipo tupu.
Majimoto..kuna siku nilikuwa naomba ulinzi wa Mungu sasa wakati niko katikati ya maombi ilikuwa kama saa tatu usiku nikasikia vishindo kama mlio wa risasi au mabomu kama umbali wa mita 20 kishindo kilikuwa mara tatu, kesho yake nikakutana na jirani zangu wakike wawili nikawapa lifti nilipowauliza kuhusu kishindo cha jana yake walisema hawakusikia cha ajabu jioni wakati narudi gari ilifel break nikagonga pikup ya mtu kwa kishindo tu ila nilisema Yesu nisaidie kilichotokea ile gari niliyogonga na yangu hamna hata moja iliyochunika hata rangi na alipokuja mtu kuichek gari ina shida gani hakugundua shida yoyote.
Je hicho kishindo ndio cha jeshi la mbinguni au ni nini?

2.Kwanini wasichana hawa wadogo wa kazi za nyumbani wamekuwa wachawi kwa sana?mimi nimeshawapata hata kumi wanafika kiasi kwamba sasa sichukui msichana bila kumshirikisha Bwana Yesu.Swali ni kwamba wanakuwa wananiwinda au ndio maana gani?
Kwa imani niliyonayo naamini Bwana Yesu ndiye mtetezi pekee anayeona sirini na kutuokoa bila hivyo wengi tungetaabika
 
Matron, Ni kweli wafanyakazi wengi wa ndani ni wachawi waliokubuhu wakishirikiana na wachawi wa vijiji walikotoka. Macho ya hawa vijana huwa yanaunganishwa na vioo vya kichawi toka nyumbani kwao, akiwa nyumbani kwako nyumbani kwao wanamuona live kama vile unatazama vipindi vya ITV. Masikio yao pia yameunganishwa kwenye mtandao wa mawasiliano wa kichawi, ndiyo maana utakuta kuwa kila anapofika mgeni yeyote nyumbani, utakuta vijana hawa wanatafuta shughuli yoyote ya kufanya sitting room ili masikio yao yapeleke taarifa kwa ndugu zao.

Kama mgeni aliyefika ni kwa shughuli ya kibiashara, watahakikisha biashara hiyo haifanikiwi, kama ni shughuli ya ndoa, watazuia ndoa hiyo haitafanyika, kwa ufupi shughuli yao kubwa ni kuhakikisha maisha yenu yanarudi nyuma kwa kasi ya ajabu.

Wachawi wa kijijini alikotoka ambao wanawaona kupitia macho yao na kusikia kupitia masikio yao. ndiyo hutoa muongozo kwao wakufanyie nini usiku na chakula wanachopika waweke nini, ndiyo maana siku ambayo wameweka mavitu yao kwenye chakula, siku hiyo atasingizia anaumwa mara tu anapomaliza kupika, na hicho chakula hatakula.

Unachotakiwa kufanya ni kung'oa macho yao ya kichawi na kutia uziwi masikio yao kukata mawasiliano na kijijini. Usiku huo wachawi wote wa kijiji watahamia kwako, ukae tayari kwa vita. Niling'oa macho na masikio ya kijana mmoja, usiku wa manane walikuja kundi la wachawi zaidi ya 50, wakiwa wamevaa maumbo ya kunguru, walikutana na ulinzi mkubwa na kusambaratishwa, asubuhi yake nilimwesabia fedha yake na nauli na kumwondoa nyumbani.
 
Asante Majimoto kwa jibu zuri,kiukweli hiyo connection ya macho na masikio sikuwa naijua ila ntaifanyia kazi kuhusu hiyo kuvamiwa nao sintojali maana yuko ambaye yuko (Yesu)ndiye mpiganaji uzuri/ubaya ni kuwa wakifika kwangu huwa hawakai mda .pia Efeso6:10-11 Hatimaye mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake,vaeni silaha zote za Mungu mpate kuweza kuzipinga hila zote za shetani.
 
Majimoto, leo nilipanda basi (daladala) kutoka Mwenge kuja posta. Kufika posta mpya alipanda mwanamke mmoja nilipomuona nilishangaa kweli. alikuwa na jicho kubwa, angavu ambalo halifungi na kufumbua bali linafanya kama ilivyo kwenye avator yako. Nikamtupia jicho na mimi kwa ukali kidogo, mara akaangalia chini. Nikaomba maombi ya kuvua maumbo na kurudisha maumbo ya asilia. Akahangaika kweli. Tulipofika posta ya zamani ambapo mimi nimeshuka naye akashuka. Macho yetu yakakutana tena, na ndiyo akazidi kuhangaika. Niliposhuka nikamwangalia sikujua ameenda wapi kwa sababu alishuka. Naomba unipe maarifa zaidi!
 
iqags7.jpg

Ee bana majimoto hembu nisaidie hii kitu...
Hizo picha hapo juu ni majamaa flani waganga wa kienyeji almaarufu kama mafagio na jina lao la kikazi ni Kimbunga, sasa hawa jamaa kwa sasa wapo mkoani Mtwara tena Mtwara Mjini na shunghuli yao kubwa ni kutoa uchawi kampeni wanayoifanya nyumba kwa nyumba.

At the time wanavyotoa uchawi mbele ya kadamnasi la watu, huwa hawatumii jina la Yesu au Mungu. So sina shaka kwamba hawa jamaa ni zaidi ya wachawi na wanaupiga vita sana uchawi na ngoma wanazozitoa kutoka kwa nyumba za wachawi ni nzito na za kutisha, na mara nyingi wasaidizi wao huwa wanazimia sana pale mambo yanapokuwa magumu.

Sasa swali la msingi ni Je hawa watu ni kweli wana nguvu hizo za kutoa uchawi? Na Je uwezo huo wa kutoa uchawi ni kweli na wao ni wachawi?? Na kama kweli wao ni zaidi ya wachawi inakuaje wanamsaliti mkubwa wao au Mfalme wao(coz wachawi wote wanamwabudu Mfalme mmoja) sasa inakuaje wanaumbuana??

Na zile kafara wanazofanya za kuchinja mbuzi huwa mantiki yake ni nini hasa?? na wanajuaje kwamba ndani ya nyumba hii bila kuchinga mbuzi ama kuku basi kuna uwezekano wa mtu mmoja kufa??

E e bana nina maswali mengi lakini nitashukuru ukianza kunijibu hayo hapo juu. Nawakilisha.
 
Sizinga, wote hao ni wachawi. Wachawi kwa wachawi huwa wanazidiana katika taaluma ya kichawi, wachawi wote huwa wanafanya ibada za kichawi usiku, mara nyingi ibada hizi huwa zinafanyika katika eneo lililoinuka juu, kama juu ya kichuguu, juu ya mlima, juu ya miti mikubwa kama mibuyu nk.

Kwa kawaida ili ibada ifanyike ni lazima iwepo madhabahu, wachawi nao wanazo madhabahu zao na pia wana kiongozi wa madhabahu na walinzi wa madhabahu, ndani ya madhabahu zao huwa wanatoa kafara ya madhabahu kwa kawaida ni lazima iwe ni damu ya ndege, damu ya mnyama au damu ya binadamu. Kafara inayotolewa inavyokuwa kubwa, ndivyo na nguvu ya utendaji ya wachawi wake inavyokuwa na nguvu ya ajabu. Ndiyo maana utakuta watu wengi hukimbilia maeneo ambako madhabahu zake zina nguvu nyingi kama Bagamoyo, Tanga, Lindi, Mtwara, Sumbawanga nk.

Wanapochinja wanyama au ndege wanachotaka ni damu, bila damu wachawi hawawezi kufanya chochote. Wachawi huwatumia sana majini kama wafanyakazi wao, wanapotaka kuwaita kwa ajili ya kazi yeyote, kwanza huangalia uzito wa kazi, kazi ikiwa nyepesi huitwa jini mdogo na hunyweshwa damu ya kuku au damu ya wanyama wadogo wadogo. Lakini kazi inapokuwa nzito huitwa jini mkubwa na damu ya kulitosha ni lazima iwe ya damu ya ng'ombe au damu ya binadamu. Jini likisha lishwa damu huelekezwa kazi ya kutenda.

Kwa sababu kila mchawi huwa na ulinzi wa majini, unapotuma jini hukutana na upinzani mkali wa majini wenzake, majini yaliyotumwa yakizidiwa hurudi kwa aliyeyatuma na kile walichoambiwa wakafanye humfanyia kitu hicho hicho mchawi aliyeyatuma, mara nyingi kama hakupata msaada wa haraka wa wachawi wenzake, basi majini hayo huwanyonga hadi kuwauwa.
 
Majimoto, leo nilipanda basi (daladala) kutoka Mwenge kuja posta. Kufika posta mpya alipanda mwanamke mmoja nilipomuona nilishangaa kweli. alikuwa na jicho kubwa, angavu ambalo halifungi na kufumbua bali linafanya kama ilivyo kwenye avator yako. Nikamtupia jicho na mimi kwa ukali kidogo, mara akaangalia chini. Nikaomba maombi ya kuvua maumbo na kurudisha maumbo ya asilia. Akahangaika kweli. Tulipofika posta ya zamani ambapo mimi nimeshuka naye akashuka. Macho yetu yakakutana tena, na ndiyo akazidi kuhangaika. Niliposhuka nikamwangalia sikujua ameenda wapi kwa sababu alishuka. Naomba unipe maarifa zaidi!

Gongolo, yapo majini mengi sana yanatembea barabarani yakiwa na miili ya binadamu siku hizi, masaada zaidi ni kuomba, yupo Mungu, tegua mitego ya shetani na sambaratisha watendaji wake kwa moto.
 
Mkuu Majimoto
Mimi maranyingi sana usiku huwa nahisi kama vile nimevamiwa na mwili huwa mzito sana huwa nahisi kabisa kuna wachawi wananichezea na huwa siwezi hata kutikisika na sometimes huhisi kukabwa ila cha ajabu nikiwa kwenye hali hii huwa najikuta nakemea bila kujijua kwa kutumia jina la Yesu na nikiona mpambano umekuwa mkali huomba msaada wa damu ya YESU na moto wa roho mtakatifu hapo hata kama walikuwa wengi kiasi gani na wakali kiasi gani lazima watoke nduki na nikishtuka naona kabisa mwili wangu upo tofauti na najihisi tofauti ninachoshangaa ni kuwa huwa nipo usingizini akili ya kukemea huwa naitoa wapi? huwa inakuja automatic? na kwanini? Na cha kushangaza mimi sijasimama sana katika imani japokuwa naamini Mungu ndo kila kitu na sina kinga zozote za kiganga!!!!! na hii huwa inatokea sana siku nikijisahau kulala bila kusali
Maelezo tafadhali
 
Swali la Msingi ni kwamba hawa jamaa mbona hawajawahi kushindwa kazi sehemu yoyote ile na nyumba yoyote ile, na hata wale magwiji ambao hata wabunge na viongozi wakubwa wanawatumia basi hao nao wameondolewa uchawi na kunyolewa. So kwanini hawashindwi kitu hawa mambwana??

Na hiko kioo kina uhusiano gani coz kila mtu anambiwa aweke mkono wake juu ya kicho kioo then wanaagua, ni dhambi kuweka mkono kwenye hicho kioo??
 
Gongolo, yapo majini mengi sana yanatembea barabarani yakiwa na miili ya binadamu siku hizi, masaada zaidi ni kuomba, yupo Mungu, tegua mitego ya shetani na sambaratisha watendaji wake kwa moto.

Asante sana Majimoto. Nilikuwa sijawahi kukutana na haya niliyoyaona jana. Nimejifunza sasa kwa kuona. Mungu wangu aliye hai ana makusudi yake. Nitaendelea kumsambaratisha shetani na wakala wake mpaka kieleweke. Mwendo mdundo.
 
Asante Majimoto kwa jibu zuri,kiukweli hiyo connection ya macho na masikio sikuwa naijua ila ntaifanyia kazi kuhusu hiyo kuvamiwa nao sintojali maana yuko ambaye yuko (Yesu)ndiye mpiganaji uzuri/ubaya ni kuwa wakifika kwangu huwa hawakai mda .pia Efeso6:10-11 Hatimaye mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake,vaeni silaha zote za Mungu mpate kuweza kuzipinga hila zote za shetani.

Nyumbani kwangu pia tumekuwa na mfululizo wa wasichana wa kazi kuja na kuondoka haraka. Mpaka nikawa najiuliza hawa wasichana wana matatizo gani? Tunakaa nao na kuwa-treat kama wadogo zetu lakini wanafika mahali wanaibua mambo ya ajabu na kutoa visingizio visivyo na maana kisha wanakimbia. Ila huyu wa mwisho MUNGU alimweka hadharani kwani tulinasa mawasiliano yake na mama yake ambaye tulikuja kugundua kuwa ni mchawi wakifanya mipango yao. Na siku moja akatupikia chakula akagoma kula tukajua hapa si bure kuna jambo. Ilibidi tum-suprise kwa jioni moja kumfungshia na kumrudisha kwao haraka sana.
 
Unachotakiwa kufanya ni kung'oa macho yao ya kichawi na kutia uziwi masikio yao kukata mawasiliano na kijijini. Usiku huo wachawi wote wa kijiji watahamia kwako, ukae tayari kwa vita. Niling'oa macho na masikio ya kijana mmoja, usiku wa manane walikuja kundi la wachawi zaidi ya 50, wakiwa wamevaa maumbo ya kunguru, walikutana na ulinzi mkubwa na kusambaratishwa, asubuhi yake nilimwesabia fedha yake na nauli na kumwondoa nyumbani.

Majimoto,
Je, wachawi wanaweza pia kuja katika maumbo ya mende na Tandu? Kuna wakati tumekuwa katika mapambano na wachawi lakini kwa kuwa aliye upande wetu ana nguvu zaidi yao tunashinda na tutashinda daima. Sasa kuna wakati tunavamiwa na wimbi kubwa la mende na tandu nyumbani. Hakuna uchafu nyumbani wa kuwavutia memnde na hawa tandu hatujuwi hata wanakotokea. Sasa tukawa tunajiuliza na mke wangu je yawezekana hawa wakawa ni wana wa giza wameamua kuja kwa njia hiyo?
 
Wakati mwingine wadudu kuingia na kukaa ndani ya nyumba ni kwa sababu nyumba na mazingira yake ni machafu.
Wakati mwingine utakuta nyumba ni safi na sumu za kuulia wadudu hupulizwa maeneo yote ya nyumba na viwanja vinavyozunguka nyumba, lakini hawa wadudu hawaondoki, kwani dawa inapopulizwa hujiondoa kwa muda na kurudi dawa inapoisha nguvu.

Kimsingi wadudu wengine ni roho kamili toka kuzimu. Mara nyingi wachawi hutengeneza wadudu hawa na kuwahamishia nyumbani kwako, lengo lao ni kukuhamisha kwenye nyumba au kuondoa maelewano ndani ya familia na zinapotumwa zinakuwa zimelekezwa jambo la kufanya, unaweza kufikiri ni jambo dogo lakini mara nyingi madhara yake ni makubwa.
 
Swali la Msingi ni kwamba hawa jamaa mbona hawajawahi kushindwa kazi sehemu yoyote ile na nyumba yoyote ile, na hata wale magwiji ambao hata wabunge na viongozi wakubwa wanawatumia basi hao nao wameondolewa uchawi na kunyolewa. So kwanini hawashindwi kitu hawa mambwana??

Na hiko kioo kina uhusiano gani coz kila mtu anambiwa aweke mkono wake juu ya kicho kioo then wanaagua, ni dhambi kuweka mkono kwenye hicho kioo??

Sifa moja ya wachawi ni watu wanaoishi maisha ya siri sana, siyo rahisi sana kumjua mchawi mke/mume anaweza kuwa mchawi wa kutupwa na mwenzi wake anayelala naye asifahamu kabisa, sifa ya pili ya wachawi wanatumia silaha ya kwanza ya kukutisha na kukutia woga, ndiyo maana wanakuja kama paka na kupiga kelele nje ya dirisha la chumba chako usiku, au wanakuja kama bundi na kutua juu ya paa la nyumba yako na kupiga kelele wakutie woga.

Kama wewe ni jasiri wazomee, kwa mfano unaweza kumwambia nje kuna ufagio fagieni uwanja asubuhi nikiamka nikute uwanja ukiwa msafi, kisha vuta shuka yako yako na endelea kulala, ukiwaambia maneno kama hayo huchukia kweli kweli na huondoka kimya kimya, shetani akikutia woga ni rahisi sana sana kukufunga na kukufanya lolote atakalo.

Hawa wachawi wa kufichua wenzao ndivyo hivyo hivyo wanavyofanya, wanawatia HOFU wachawi wenzao, na kutumia kioo au TV ya kichawi kuonea mambo ya wenzao katika ulimwengu usioonekana.

Siyo kuweka mikono tu, bali hutakiwi kabisa kusogelea vikao vya wachawi.
 
Hili ni darasa murua kwa jamii zinazothamini na kuabudu ufukara na kutojiamini.
 
Back
Top Bottom