Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majimoto..kuna siku nilikuwa naomba ulinzi wa Mungu sasa wakati niko katikati ya maombi ilikuwa kama saa tatu usiku nikasikia vishindo kama mlio wa risasi au mabomu kama umbali wa mita 20 kishindo kilikuwa mara tatu, kesho yake nikakutana na jirani zangu wakike wawili nikawapa lifti nilipowauliza kuhusu kishindo cha jana yake walisema hawakusikia cha ajabu jioni wakati narudi gari ilifel break nikagonga pikup ya mtu kwa kishindo tu ila nilisema Yesu nisaidie kilichotokea ile gari niliyogonga na yangu hamna hata moja iliyochunika hata rangi na alipokuja mtu kuichek gari ina shida gani hakugundua shida yoyote.Vita kati ya Malaika na shetani bado muda wake, siku na saa ya vita hiyo ipo, sijui ni lini.
Malaika ni walinzi wetu, kama upo vizuri na Mwenyenzi Mungu huna sababu ya kununua bastola, bunduki kwa ulinzi binafsi. Waite Malaika wa vita, huwa wanashuka na silaha nzito, anzisha vita na mamlaka zozote zilizoinuka juu yako, malaika wanagojea maelekezo yako, lolote utakalotamka hutekelezwa palepale.
Jehanum ya moto ipo moja tu, lakini mpaka leo bado ipo tupu.
Ujakosea ila sumbawanga ni kiboko unakumbuka mwaka 2007.kipanga kubeba fahari la ngombe
Matron, Ni kweli wafanyakazi wengi wa ndani ni wachawi waliokubuhu wakishirikiana na wachawi wa vijiji walikotoka. Macho ya hawa vijana huwa yanaunganishwa na vioo vya kichawi toka nyumbani kwao, akiwa nyumbani kwako nyumbani kwao wanamuona live kama vile unatazama vipindi vya ITV. Masikio yao pia yameunganishwa kwenye mtandao wa mawasiliano wa kichawi, ndiyo maana utakuta kuwa kila anapofika mgeni yeyote nyumbani, utakuta vijana hawa wanatafuta shughuli yoyote ya kufanya sitting room ili masikio yao yapeleke taarifa kwa ndugu zao.
Kama mgeni aliyefika ni kwa shughuli ya kibiashara, watahakikisha biashara hiyo haifanikiwi, kama ni shughuli ya ndoa, watazuia ndoa hiyo haitafanyika, kwa ufupi shughuli yao kubwa ni kuhakikisha maisha yenu yanarudi nyuma kwa kasi ya ajabu.
Wachawi wa kijijini alikotoka ambao wanawaona kupitia macho yao na kusikia kupitia masikio yao. ndiyo hutoa muongozo kwao wakufanyie nini usiku na chakula wanachopika waweke nini, ndiyo maana siku ambayo wameweka mavitu yao kwenye chakula, siku hiyo atasingizia anaumwa mara tu anapomaliza kupika, na hicho chakula hatakula.
Unachotakiwa kufanya ni kung'oa macho yao ya kichawi na kutia uziwi masikio yao kukata mawasiliano na kijijini. Usiku huo wachawi wote wa kijiji watahamia kwako, ukae tayari kwa vita. Niling'oa macho na masikio ya kijana mmoja, usiku wa manane walikuja kundi la wachawi zaidi ya 50, wakiwa wamevaa maumbo ya kunguru, walikutana na ulinzi mkubwa na kusambaratishwa, asubuhi yake nilimwesabia fedha yake na nauli na kumwondoa nyumbani.
Kimbunga
![]()
Majimoto, leo nilipanda basi (daladala) kutoka Mwenge kuja posta. Kufika posta mpya alipanda mwanamke mmoja nilipomuona nilishangaa kweli. alikuwa na jicho kubwa, angavu ambalo halifungi na kufumbua bali linafanya kama ilivyo kwenye avator yako. Nikamtupia jicho na mimi kwa ukali kidogo, mara akaangalia chini. Nikaomba maombi ya kuvua maumbo na kurudisha maumbo ya asilia. Akahangaika kweli. Tulipofika posta ya zamani ambapo mimi nimeshuka naye akashuka. Macho yetu yakakutana tena, na ndiyo akazidi kuhangaika. Niliposhuka nikamwangalia sikujua ameenda wapi kwa sababu alishuka. Naomba unipe maarifa zaidi!
SAVE WATER, DRINK BEER
Sizinga, mambo gani tena haya?
Gongolo, yapo majini mengi sana yanatembea barabarani yakiwa na miili ya binadamu siku hizi, masaada zaidi ni kuomba, yupo Mungu, tegua mitego ya shetani na sambaratisha watendaji wake kwa moto.
Asante Majimoto kwa jibu zuri,kiukweli hiyo connection ya macho na masikio sikuwa naijua ila ntaifanyia kazi kuhusu hiyo kuvamiwa nao sintojali maana yuko ambaye yuko (Yesu)ndiye mpiganaji uzuri/ubaya ni kuwa wakifika kwangu huwa hawakai mda .pia Efeso6:10-11 Hatimaye mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake,vaeni silaha zote za Mungu mpate kuweza kuzipinga hila zote za shetani.
Unachotakiwa kufanya ni kung'oa macho yao ya kichawi na kutia uziwi masikio yao kukata mawasiliano na kijijini. Usiku huo wachawi wote wa kijiji watahamia kwako, ukae tayari kwa vita. Niling'oa macho na masikio ya kijana mmoja, usiku wa manane walikuja kundi la wachawi zaidi ya 50, wakiwa wamevaa maumbo ya kunguru, walikutana na ulinzi mkubwa na kusambaratishwa, asubuhi yake nilimwesabia fedha yake na nauli na kumwondoa nyumbani.
Majimoto,
Je, wachawi wanaweza pia kuja katika maumbo ya mende na Tandu? Kuna wakati tumekuwa katika mapambano na wachawi lakini kwa kuwa aliye upande wetu ana nguvu zaidi yao tunashinda na tutashinda daima. Sasa kuna wakati tunavamiwa na wimbi kubwa la mende na tandu nyumbani. Hakuna uchafu nyumbani wa kuwavutia memnde na hawa tandu hatujuwi hata wanakotokea. Sasa tukawa tunajiuliza na mke wangu je yawezekana hawa wakawa ni wana wa giza wameamua kuja kwa njia hiyo?
Swali la Msingi ni kwamba hawa jamaa mbona hawajawahi kushindwa kazi sehemu yoyote ile na nyumba yoyote ile, na hata wale magwiji ambao hata wabunge na viongozi wakubwa wanawatumia basi hao nao wameondolewa uchawi na kunyolewa. So kwanini hawashindwi kitu hawa mambwana??
Na hiko kioo kina uhusiano gani coz kila mtu anambiwa aweke mkono wake juu ya kicho kioo then wanaagua, ni dhambi kuweka mkono kwenye hicho kioo??