Biashara ya ukahaba imekithiri Sinza na kusababisha wakazi kuhama nyumba zao

Mimi naiomba Serikali yetu sikivu ihalalishe Ukahaba, ili kuwe na Madanguro halali ili Idara za Afya na NGOs ziweze kuwasaidia ili wafanye Ngono salama.
 
Tanzania tumefikia hatua hii?
Kwanini lakini?
Imani ipo wapi?
Utu uko wapi? Serikali haikemei??
Jamii ipo wapi?
Hiko kijiji kipo wapi?
Nikienda Mimi sh ngapi?
Issues ni Maadili, social media, internet, role models, wazazi kukaa pamoja Kulea watoto, ugumu mkubwa wa maisha Kwa vijana.

Zamani hata kama mlikuwa maskini kijiji kizima, mtaa mzima wote mlisaidiana. Dini pia ilisaidia.
 
Wanasema mtaji ni smartphone

Smart phone inaweza kuwa mtaji au hasara inategemeana na anayeitumia.

Anaweza kuangalia porno siku nzima, na vitu vingine vya ajabu badala ya kutafuta opportunities, connections, fursa za biashara, kazi, kusoma vitabu, video zitakazomwelimisha.
 
Hii biashara ipo kabla Yesu hajaja duniani
Itakuwepo hadi atakaporudi. Muhimu kuidhibiti kwa maeneo fulani tu. Mbali na makazi ya watu.

Imagine watoto wako wawili (mvulana na msichana) wanatoka shule wanaona wanawake na mashoga wanajiuza mtaani kwenu.

Wakifika mbele kidogo wanaona condoms barabarani, watu wakivuta bangi, heroins, cracks, ugoro, gongo.

Wengine wakifanya mapenzi Kwa kificho Giza likiingia ukiwatuma dukani wanaona yote.

Unawatengezea mazingira gani. Usalama gani, utakuwa na uwepo gani wa kuwafundisha chochote cha maana kwenye mazingira hayo?

Sinza imezidi utapata mashoga na makahaba wengi kuliko sehemu zingine zenye mazingira rafiki kwa watoto.
 
Mimi naiomba Serikali yetu sikivu ihalalishe Ukahaba, ili kuwe na Madanguro halali ili Idara za Afya na NGOs ziweze kuwasaidia ili wafanye Ngono salama.
Hii sasa nsio akili
 
CCM imewaletea ugumu wa maisha. Inadhibiti wananchi kujiajiri hivyo wanageukia ushenzi ushenzi kama.huo na panyaroad.

Serikali imefeli
 
maisha yamekuwa magumu sana ndiyo maana jamii inajiingiza kwenye vitendo vichafu.

vitu kupanda bei inawagusa wananchi wa kipato cha chini
 
Nilikuwa namaanisha kuwa hio ndio akili. Tukbaliane tuu hii biashara ipo ila serikali uweke maeneo mahususi watu kuoata huduma hiyo na kodi ilipwe huku tukiangalia afya zao
Madanguro yatafanya wauzaji wa K kuwa salama na pia watachaangia pato la Taifa kwa kulipa kaushuru kadogo.
 
Ukahaba ni Service ambayo wote tunaihitaji maana Nyumbani mara nyingine vitimbi vitimbi mara unaambiwa nimechoka unatoka unaenda kuteleza kwa Kahaba.
Ila sasa ishu ipo kama ukisema hawa watu walipe kodi hapo itakuwa ngumu maana hawatataka kulipa kodi. Na sie wateja nao tutaona bei kubwa. Tigo ya buku sasa itauzwa buku mbili🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…