Biashara ya ukahaba imekithiri Sinza na kusababisha wakazi kuhama nyumba zao

Biashara ya ukahaba imekithiri Sinza na kusababisha wakazi kuhama nyumba zao

Nilitembelea rufiji hapo ikwiriri hali ni mbaya sana nikabahatika kufika mloka nako mambo ni fire..hakika huduma hii kabambe imewafikia...ni mwendo wa ulipo wapo.

#MaendeleoHayanaChama
Watu wameamua kutumia rasilimali walizo kuwa nazo kurahisisha maisha. Wale ndugu zetu wa oa kijijini ndo utapata wife material,watafute mbinu mbadala.
 
Ukahaba umekithiri lkn matukio ya kubakwa watoto yanashamiri....sasa jiulize makahaba wasinge kuwepo hali ingekuwaje?...
Hapo sasa....ila hawa watu wanasaidia sana ma jobless buku 5 unakula kitu ambacho kinasevu imagine demu lodge ya bei rahisi efu 15 bado kula, posho...

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Tsh 2000 ya kijijini sio sawa na 2000 ya mjini.

Purchasing Power Parity.

Kwamba unalaumu bei elekexi kuwa 2000 kijijini
Nalaumu kwasababu wateja wao wengi hawaogopi hatari yakupata vvu wengi wanapiga kavu
 
Nilitembelea rufiji hapo ikwiriri hali ni mbaya sana nikabahatika kufika mloka nako mambo ni fire..hakika huduma hii kabambe imewafikia...ni mwendo wa ulipo wapo.

#MaendeleoHayanaChama
Kizazi hiki kinapitia changamoto nyingi sana
 
Tanzania tumefikia hatua hii?
Kwanini lakini?
Imani ipo wapi?
Utu uko wapi? Serikali haikemei??
Jamii ipo wapi?
Hiko kijiji kipo wapi?
Nikienda Mimi sh ngapi?
Hahahaaa wewe ukienda bk tu kwakuwa nia yako imeonekana... Imagine utoke huko uliko mpaka Kijiji hicho
 
Hali ni mbaya wengine wazuri adi unashagaa kimemkuta nini kama angetulia angepata mtu wa kumstiri
 
Ukahaba umekithiri lkn matukio ya kubakwa watoto yanashamiri....sasa jiulize makahaba wasinge kuwepo hali ingekuwaje?...
Ubakaji watoto wa kuchapwa bakora ni waganga wa kienyeji ndio upotosha watu
 
Siku hizi kuna ukahaba wa kidigitali, wanawake wanajiunga na App au website za kujiuza. Utamkuta online
Na mimi nilitaka kumjibu kuwa mambo yako kwenye mtandao siku hizi. Na makahaba wako wa kila daraja na bei. Kuanzia wa kuhonga chakula na vinywaji mpaka wa kuhonga ukuu wa mikoa au wilaya au hata uwaziri.
 
Back
Top Bottom