Biashara ya ukahaba imekithiri Sinza na kusababisha wakazi kuhama nyumba zao

Biashara ya ukahaba imekithiri Sinza na kusababisha wakazi kuhama nyumba zao

Ni kukuambia kuwa hizo ni tabia za binadamu dunia nzima, huwezi kuzizuia..hazitokanani na CCM uchumi mkubwa ama mdogo kitu gani. Ni kukosa uelewa kudhani kuiwa chama cha upinzani kikiingia eti matatizo yote ya kimaadili yataisha
Hio biashara sio rahis kuizia lakin kuwe na utararibu huwez ruhusu bar na guest zikajengwa jengwa hovyo kwenye makazi ya watu huo ni udhaifu wa serekali
 
Huko wamejiwekea utaratibu wao. Hao makahaba wametengewa maeneo yao maalum kwa kazi hiyo! Na wanalipa kodi.

Pia nyumba za starehe, nyumba za kulala wageni, nyumba za ibada, nk. zina maeneo yao maalum! Na wanatumia pia sound proof.

Ni tofauti na Bongo, ambako hakuna utaratibu wowote ule wa kueleweka. Baa, nyumba za wageni, nyimba za ibada na kumbi za starehe zimechangayana na makazi ya watu.
Ww avha urongo...wapi kenya malaya wana lipa kodi ? Kenya ukahaba ni illegal business kama ilivyo Tz tu
 
Haya yote ni matokeo ya sera mbovu za serikali ya CCM.

Biashara ya ukahaba haitokani na CCM, hiyo biashara ni moja ya biashara kongwe duniani ipo tangu enzi za Yesu (miaka 2,000 iliyopita), CCM imekuja juzi tu hapa.


Kifupi hiyo biashara iko dunia nzima na haiwezi kuisha.

Lastly siku moja jaribu kununua kahaba, usipokuwa makini hutaacha kila day utaenda kununua[emoji23][emoji23]
 
Yeye anadai kuwa ukipata mke kule anakuwa hana mambo mengi sababu amemaliza uhuni wote hana kipya cha kufanya so, mke atatulia
Jichanganye etiii atatulia ni Mwendo wa jet, ulishawahi kuona kimondo kinavyokatiza usikuu yaani ni Shaaaaa kimepita,,, imeisha iyooo Nina mifano kama miwili ya haoo people ni noma sana.
 
Tatizo wanaopaswa kushughulikia tatizo la makahaba na wao huenda ni wateja wa makahaba hao!! Ni sawa na kupeleka kesi ya ngedele kwa nyani ukimshitaki kula mahindi shambani kwako, wakati ngedele alikuwa na nyani wakila mahindi hayo!

NAPENDEKEZA: Wakuu wa wilaya zote za Dar wawe wanawake. Makamanda wote wa polisi mikoa yote ya kipolisi Dar wawe wanawake. Wakuu wa vituo vyote vya polisi wawe wanawake. Hao wote chini ya mkuu wa mkoa wa Dar MWANAUME bila shaka watafanya kazi nzuri!
Mantiki yako ya hao makamanda wa Polisi kuwa ni wanawake ni nini?
 
Habari zenu wana jf

Kwakweli hii sasa imezidi sana nimekaa mikoa mingi nimeishi kwenye majiji makubwa hapa bongo lakini ukahaba ulichukuliwa ni tabia za watu wa mjini ,ambazo hufanywa wazi wazi hasa nyakati za usiku.

Kilicho ni shangaza zaidi ni hali niliyoikuta Kijiji X mikoa ya kusini ,kuna ukahaba unaotisha tena mbaya zaidi wanajiuza kwa bei rahisi sana kuanzia elfu 2 endapo ukilipa kuanzia elfu 5/4 yupo tiali kukuruhusu upige kavu bila salama , story hizi nimepewa na wakazi wa hapa kijijini nimebaki nikishangaa sana.
 
Back
Top Bottom