Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAPENDEKEZA SULUHISHO: Iwe ni marufuku mtu kuonekana hadharani iwe usiku au mchana akiwa amavalia mavazi ya kikahaba!! Tukubaliane kuwa:
1. Hadharani maana yake ni mbele ya watu wengine. Hata kwenye kumbi za starehe ni hadharani! Hata kwenye bar na vilabuni ni hadharani!!
2. Mavazi ya kikahaba ni:
mwanamke haupaswi kuonekana
- Vazi lolote la kike ambalo halifiki nchi 6 chini ya magoti.
- Vazi lolote ambalo mpasuko wako wa nyuma unazidi sehemu ya mgoti na kuonesha mapaja wakati mhusika anatembea.
- Vazi lolote lililochanwa kwenye sehemu ya mapaja hivyo kuonesha mwili kupitia michaniko hiyo.
- Vazi lolote linaloonesha sehemu ya matiti/maziwa ya mwanamke. Ule mfereji unaotenganisha matiti/maziwa ya
3. Atakayepatikana kuvaa mavazi ya kikahaba achapwe viboko hadharani.
- Vazi lolote linaloshikamana na mwili/linalobana mwili kiasi cha kutokutenganisha mwili na vazi (skin tight)
- Vazi lolote linaloacha mgongo wazi. Kusiwe na uwazi chini ya mabega.
- Vazi lolote linaloangaza/transparent na kuonesha nguo za ndani!
4. Kama makahaba wanadai wako kwenye biashara, wakubali kufanya biashara zao bila kuleta kero kwa wengine. Kama makahaba nikikutana nao wakati narudi nyumbani usiku nikiwa na watoto wangu, lakini hawajavaa mavazi ya kikahaba, hakutakuwa na athari kwa wanangu!
Na wengine tuongeze makubaliano::
Ni vigumu.Sasa viongozi wa dini watakemeaje makahaba wasio na dini?
Chadema hakuna makahaba?Haya yote ni matokeo ya sera mbovu za serikali ya CCM.
Upo sahihi, yanayotamalaki bungeni ni ushahidi tosha ...wabunge wanazungumzia zaidi ngono kuliko maendeleoWanao paswa kukomesha hiyo hali nao ni wateja wa hao makahaba, nawambieni hali hiyo sio dar tu ni kote nchini,
Kote sawa isipokuwa kwenye red, awe mwanamke tena mjedaWakuu wa vituo vyote vya polisi wawe wanawake. Hao wote chini ya mkuu wa mkoa wa Dar MWANAUME bila shaka watafanya kazi nzuri!
Kuna mamlaka fulani zinatakiwa kufutwa kabisa zinatumia fedha ya umma bila tijaManispaa siku hizi inatoa vibali bila kujali kuwa hayo ni makazi ya watu, kuanzia bar na haya Makanisa fulani yanayopiga mziki 24/7 katikati ya makazi ya watu,ni kero sana.........
Serikali ya ccm imeingiaje hapo??
Unaonekana wakati unasoma, ilikuwa ni kawaida kwako kuingia chaka! Yaani kwenda O.P.Chadema hakuna makahaba?
Kenya , South Africa, Dubai, UK, USA kote kuna madada poa, huko ni CCM pia?
Serikali iifumue NEMC na kuunda chombo kingine chenye nguvu na kiwe na askari wa kudhibiti hali hiyo au vinginevyo SUMA JKT wakabidhiwe jukumu hilo la kuwatoza faini wanaosababisha hiyo adha kwa wananchi na siyo Dar tu
Unakaza shingo hujui kama CCM wanahusika ktk hili jambo?Serikali ya ccm imeingiaje hapo??