Biashara ya Vanilla, Tshs 850,000 kwa kilo; Kuna nini nyuma ya tangazo hili?

Yametokea tayari mkuu. Angalia hii video ya jana pale Njombe.
Your browser is not able to display this video.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna plot hadi za kina Joyce mhavile? Wabongo huwa mnatapeliwa kijinga mno
Haya leo tuambie mmefikia wapi?
 
Mkuu, yn mm hua nafurahi sana kuona Watanzania wakitapeliwa
Hata mimi hii video naenda kumwonyesha maza, Mama mzazi mdogo wangu alitakaga kuinvest heavily kwenye hiyo project mimi ndio nliingilia kati, alienda mpaka njombe kuchukua maelekezo.... Ikabidi mimi niingie mzigoni kufanya research why vanilla is expensive na kwanini haipo nyingi... Nikagundua kuizalisha ni mziki inahitaji hela na manpower yakutosha.... Nilipiga kelele mpaka akaarisha.. Ivi kesho inabid atume hata laki mbili nikajilipue ma Heineken mitaa yangu ya kujidai kale ka 20,000,000 kangeenda nlimwokoa pakubwa sana
 
Namuomba Mungu, makampuni ya kitapeli kama hayo yaendelee kuwepo na kujitokeza nchini kwa wingi ila kuwanyoosha wapumbavu. Ikiwezekana wawe wanapewa vibali siku hiyo hiyo bila kuwachelewesha
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vibali Bila kuchelewesha
 
Usisahau kumpiga kofi moja la kichwa ili kumuweka sawa ht kama n bimkubwa
 
Wewe ni shujaa, unastahili kabisa kujidai na Heineken zako na kitimoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…