GokuOne
Senior Member
- Jan 19, 2022
- 196
- 263
kweliVanilla ya Zanzibar inauzwa 1.3m/kg.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweliVanilla ya Zanzibar inauzwa 1.3m/kg.
Yametokea tayari mkuu. Angalia hii video ya jana pale Njombe.Nisiwachoshe bure nitaandika kifupi sana. Kuna tangazo limepata airtime kubwa kwenye ITV kuhusu Vanilla International inayo promote kilimo cha vanilla wilayani Njombe. Bottom line ni bei ya soko ya kilo moja kuwa ni Tsh 850,000.
Wasiwasi wangu:
1. Kama faida ni kubwa hivyo kwa nini wasilime wenyewe kwa vile wanajuwa soko lilipo?
2. Ile methali ya kizuri chajiuza, na kibaya chajitembeza, je ina apply hapa?
3. Kuna watu wanalima vanilla Mkoa wa Kagera wanadai kuwa hata mteja wa kumuuzia kilo moja kwa Tsh 50,000 hawampati.
4. Kwa nini wanatangaza "faida" tu mfano bei nzuri na hawatangazi "changamoto" zinazoendana na biashara hii?
5. Naiona kama DESI watu wanaweza kupigwa hela hapa.
Wajuzi tufahamisheni
Niliwaambia huyo Mkondya ni tapeli, kwa vile hamsikii shauri yenuYametokea tayari mkuu. Angalia hii video ya jana pale Njombe.
View attachment 2579314
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna plot hadi za kina Joyce mhavile? Wabongo huwa mnatapeliwa kijinga mnoBei ya Vanilla iliyokaushwa sio hiyo ni zaidi ya Milioni moja, wakati Vanilla mbichi ni Laki moja kwa kilo.Mimi nimefika hadi kwenye hicho Kijiji Cha Vanilla.Ishu ilivyo ni kwamba wale jamaa wao wanadai kuwa Wana Soko la kuuzia Vanilla lkn hawana Uwezo wa kifedha kuzalisha vanilla ya kukidhi mahitaji ya Soko.Km una mtaji nakushauri nenda kachukue ploti kule utakuja kunishukuru.Mimi nimeenda nikawahoji maswali yote niliyokuwa nayo akilini mwangu wakanijibu bila shida.Kule kuna plot za Akina Joyce Mhaville mkurugenzi wa ITV na Radio one,Prof.Juma Athuman Kapuya,na wengineo.
Leo hii tunayoongea JATU wapo mbele ya pilato kwa makosa ya utapeli. Mkurugenzi ananyea debeLeo hao JATU wako Soko la Hisa la Dar-es-Salaam (DSE), wewe baki na mawazo yako negative kwenye kila kitu chenye kuzalisha pesa ambayo akili yako imeshindwa kuielewa!
AHAHAHA AHAHAHA JAMAA WEZI NA HII NCHI SABABU INA MAKENGE WENGI NDIO HIVYO TENANamuomba Mungu, makampuni ya kitapeli kama hayo yaendelee kuwepo na kujitokeza nchini kwa wingi ila kuwanyoosha wapumbavu. Ikiwezekana wawe wanapewa vibali siku hiyo hiyo bila kuwachelewesha
Mkuu, yn mm hua nafurahi sana kuona Watanzania wakitapeliwaAHAHAHA AHAHAHA JAMAA WEZI NA HII NCHI SABABU INA MAKENGE WENGI NDIO HIVYO TENA
Hata mimi hii video naenda kumwonyesha maza, Mama mzazi mdogo wangu alitakaga kuinvest heavily kwenye hiyo project mimi ndio nliingilia kati, alienda mpaka njombe kuchukua maelekezo.... Ikabidi mimi niingie mzigoni kufanya research why vanilla is expensive na kwanini haipo nyingi... Nikagundua kuizalisha ni mziki inahitaji hela na manpower yakutosha.... Nilipiga kelele mpaka akaarisha.. Ivi kesho inabid atume hata laki mbili nikajilipue ma Heineken mitaa yangu ya kujidai kale ka 20,000,000 kangeenda nlimwokoa pakubwa sanaMkuu, yn mm hua nafurahi sana kuona Watanzania wakitapeliwa
Alas!! this is a punishment rather than a business.[emoji86]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vibali Bila kucheleweshaNamuomba Mungu, makampuni ya kitapeli kama hayo yaendelee kuwepo na kujitokeza nchini kwa wingi ila kuwanyoosha wapumbavu. Ikiwezekana wawe wanapewa vibali siku hiyo hiyo bila kuwachelewesha
Usisahau kumpiga kofi moja la kichwa ili kumuweka sawa ht kama n bimkubwaHata mimi hii video naenda kumwonyesha maza, Mama mzazi mdogo wangu alitakaga kuinvest heavily kwenye hiyo project mimi ndio nliingilia kati, alienda mpaka njombe kuchukua maelekezo.... Ikabidi mimi niingie mzigoni kufanya research why vanilla is expensive na kwanini haipo nyingi... Nikagundua kuizalisha ni mziki inahitaji hela na manpower yakutosha.... Nilipiga kelele mpaka akaarisha.. Ivi kesho inabid atume hata laki mbili nikajilipue ma Heineken mitaa yangu ya kujidai kale ka 20,000,000 kangeenda nlimwokoa pakubwa sana
Ndio mkuu, ht wasilipe Kodi waachiwe wafanye kazi zao bure na iwekwe sheria kwamba kwenye media zote nchini wapate free airtime mpaka pale watakapo maliza kuwanyoosha wapumbavu watanzania.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vibali Bila kuchelewesha
Wewe ni shujaa, unastahili kabisa kujidai na Heineken zako na kitimotoHata mimi hii video naenda kumwonyesha maza, Mama mzazi mdogo wangu alitakaga kuinvest heavily kwenye hiyo project mimi ndio nliingilia kati, alienda mpaka njombe kuchukua maelekezo.... Ikabidi mimi niingie mzigoni kufanya research why vanilla is expensive na kwanini haipo nyingi... Nikagundua kuizalisha ni mziki inahitaji hela na manpower yakutosha.... Nilipiga kelele mpaka akaarisha.. Ivi kesho inabid atume hata laki mbili nikajilipue ma Heineken mitaa yangu ya kujidai kale ka 20,000,000 kangeenda nlimwokoa pakubwa sana