Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

Shida biashara ya vitu vya dukani imeshamiri ushirikina sana. Hasa mkoa wa Mbeya bila ushirikina hufanyi biashara labda uwe unasali sana, bahati mbaya biashara na sala ni ngumu sana kwenda pamoja.
Mkuu unachokiamini ndio hicho ila siyo ukweli kuwa biashara ya viatu bila ushirikina aufanyi mimi naamini naweza kuja mkoa wowote ata hapo mbeya

Na nikafanya biashara vizuri bila kutumia ushirikina na nikapata mafanikio makubwa biashara ina sheria zake za ukuwaji

Fata sheria tu mengine achana nayo nakuakikishia uchawi wa biashara ni mali nzuri huduma nzuri na bei nzuri hapo akuna uchawi
 
Hivyo viatu belo unachukulia wapi?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Mchina anauza kuanzia pcs ngapi?
Wanauza kwa carton sio kwa pisi moja moja, ukinunua kwa machinga nje ni bora maana utaweka fleva tofauti tofauti, wao dukani wananunua 3200 zikiwa kwenye carton, halafu nje wanauza 3500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…