Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

Hii ni siri watu wengi hawaifahamu...nakuunga mkono ndugu, mm nimeifanya kwa kipindi fulani inalipa sana
 
Nimekuwa interested na hii biashara ,kuna mdogo wangu ashawah kuifanya anasema iko poa sana haina longolongo kwa sababu unayepanga bei n ww kulingana na mteja amekujaje,

hapa nina 1.2m ,je inaweza ikatosha??
 
Safi sana
Haya ndio mambo watu wanatakiwa kuleta hapa.
Sio mambo ya kula tuna kimasihara
 
nimekuwa interested na hii biashara ,kuna mdogo wangu ashawah kuifanya anasema iko poa sana haina longolongo kwa sababu unayepanga bei n ww kulingana na mteja amekujaje,

hapa nina 1.2m ,je inaweza ikatosha??
Inatosha kabisa
 
Kama nilivyoahidi, utafiti wangu umeshaanza kuzaa matunda na soon nitaleta hapa mrejesho. Hakika sijutii kujiunga Jamii Forums
 
Yani kuna watu wa ajabu sana mimi sijawaita watu wala kuwaambia nitawauzia mimi nikauonyesha njia wewe ukanunuwe mwenyewe unapojua uje upige pesa mtu anaona anatapeliwa
Achana naye mkuu, mindset za failures ndivyo zilivyo, kila kitu anakitazama in a negative way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…