Njex nashukuru japo kunifumbua kidogo ila kwenye upande wa madalali bado sijaelewa changamoto yake ni nini?nimesoma majuzi kuna mtu alisema humu jukwaani alikata mtaji kwa kuuziwa viazi vya mbegu badala ya viazi vya chipsi.viazi vya mbegu ni vile vidogovidogo ambavyo havina soko.kwa hiyo hilo laweza kuwa angalizo mojawapo.pili kuna changamoto ya madalali n.k. wenye info zaidi karibu mtiririke
changamoto ni kuuziwa viaz mixer vidogovidogo ambavyo hutumika kwa MbeguNdugu wana JF habari ya majukum...?,Nianze na samahani kwa wale ambao watanielewa tofauti,
Mimi natamani kujihusisha na biashara ya viazi mvingo/nyanya maji kwa maana ya kununua aidha mbeya/njombe kisha niuze dar es salaam, Lakin ndugu wana JF bado sijafahamu wapi nianzie hivyo naomba ushauri juu ya biashara hii katika mambo yafuatayo
- Je ni mtaji kiasi gani walau kwa kuanzia inaweza kutosha kwa maan ya kununua mzigo ,usafiri na ushuru mfano viazi mviringo niaze na gunia 50 /nyanya maji nianze na sanduku 50
- Pia bei ya viazi mviringo kwa gunia ni kiasi gani au bei ya nyanya maji ni kiasi gani pia
- Najuaje ikiwa nahitaji viazi mviringo/nyanya maji ambazo ni nzuri kwa mahitaji ya soko ukilinganisha zipo aina nyingi nyingi
- je hapa dar es salaam napataje masoko kwa maana ni wapi ambapo soko lake limekaa vizuri hapa dar au zanzibar na vipi naweza kupata wateja?
- Pia changa moto ya hii biashara yaani ni mambo yepi yapasa kujiepusha na yepi yapasa kuyazingatia
- pia nakama yupo mtu mzoefu na biashara hizo naomba anitumie namba ili nizungumze naye kwa kina
- Hivo ndugu wana JF naomba ushauri wenu ipi ni biashara nzuri katika viazi mvingo au nyanya maji na mambo niliyo tanguliza hapo juu
Mr.Henry gunia itakua kiasi gani?changamoto ni kuuziwa viaz mixer vidogovidogo ambavyo hutumika kwa Mbegu
Nimelima Arusha Mwez wa 9 nitavuna!!!
Ni kweli kaka ni biashara ambayo naipenda lakin inaniumiza kichwa jinsi ya kuianza kufanya coz bado nilikua sizifahamu changamoto zake ila nitajitahidiJaribu kufanya research physical mkuu usitegemee sana kusoma mawazo humu ukaingia field kwa hayo mawazo itaumia...tenga mda na pesa uingie kutazama mwenyewee biashara ilivyo maana itajifunza mengi kuliko kutegemea mawazo humu...kumbuka hivyo vyote ni vyakula kuoza unaweza kuambiwa labda Dar wanavisaka ukaenda navyo kumbe kule vimejaa soo ndani ya wiki mbili vinaoza utafanyaje check soko na changamoto leta mzigo uelewee unamuuzia nani unatimua zako kufata mwingine!!!
nina chache tu ka 50 tu ila Zaidi ya Hapo vipoMr.Henry gunia itakua kiasi gani?
Mr.Henry naomba kuuliza gunia moja yaweza kama tsh. ngapi?,na je kusafirisha gunia moja kutoka arusha to dar es salaam ni tsh. ngapi pia kama unauzoefu(msaada!)nina chache tu ka 50 tu ila Zaidi ya Hapo vipo
Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
MR NEBART NAJA PM TUONGEE MKUUViazi mviringo vinauzwa.
Bei ni Tsh.35000 tu kwa gunia.
Eneo ni Mbeya mjini.
kiasi utakachotaka..
Aina:Tigon,Meru,Alka,n.k.
Mawasiliano:0655333432:::WAHI NA CHANGAMKIA FURSA HII SI YA KUKOSA.
okMR NEBART NAJA PM TUONGEE MKUU
Mkuu vipi bei ya viazi kwa sasa..?Viazi mviringo vinauzwa.
Bei ni Tsh.35000 tu kwa gunia.
Eneo ni Mbeya mjini.
kiasi utakachotaka..
Aina:Tigon,Meru,Alka,n.k.
Mawasiliano:0655333432:::WAHI NA CHANGAMKIA FURSA HII SI YA KUKOSA.
Tatizo usafirshaj tu kufika Dodoma mkuu niliulzia sana viazi ila bas tuViazi mviringo vinauzwa.
Bei ni Tsh.35000 tu kwa gunia.
Eneo ni Mbeya mjini.
kiasi utakachotaka..
Aina:Tigon,Meru,Alka,n.k.
Mawasiliano:0655333432:::WAHI NA CHANGAMKIA FURSA HII SI YA KUKOSA.
nadhani rahisi uchukue viazi vya morogoro,kisha chukua gari zinazokuja dodoma.Tatizo usafirshaj tu kufika Dodoma mkuu niliulzia sana viazi ila bas tu
Au usafir upo?kwa gunia kumi?
Morogoro sehemu gani wanalima viazi..?nadhani rahisi uchukue viazi vya morogoro,kisha chukua gari zinazokuja dodoma.