Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

una cement?
 
Asanteni wachangiaji wote ila pia naombeni muweke na vifaa vya umeme

Mmebarikiwa[emoji120]
 
mkuu mi hii ndyo shuhuli yng nawafanyia shopping wadau walioko mikoan wanatumia pesa nawanunulia mzigo kisha nawatumia nina wadau mpk zambia km utakuwa na interest pliiz ni pm khs uaminifu ndyo key yng ktk hii biashara ucwe na hofu
Naomba kontact zako Mkuu!!
 
SIDO kipawa ndio wapi?
 
hii kiboko aisee yaani mfuko mmoja wa saruji utoe tofali 55 hadi 60 !!![emoji2][emoji2]
hii nyumba ikinyeshewa na mvua inamong'onyoka aisee...kwavile ni nyumba ya mchanga hii
Ndio wafyatuaji wengi wanafanya hivyo, wengine wanatoa matofali 70 kwa mfuko hasa hawa wanaotumia mashine za umeme kufyatulia
 
Very detailed, excellent
 
Mkuu najua hii habari ni ya zamani kidogo,unaweza kutupa do's and don'ts za hii biashara,wapi mali zinapatikana na kwa bei ya afadhali,atleast tuanze mwaka na idea mpya mkuu.
Have a prosperous coming year,cheers.
 
Habari wakuu,

Mimi Niko Mwanza, naomba ushauri jinsi ya kuanzisha biashara ya Hardware (vifaa vya ujenzi), mtaji wa kima cha chini kabisa, na changamoto zake ni zipi.

Mzigo ntanunua wapi, nk
 
Habari wakuu,Mimi Niko Mwanza,naomba ushauri jinsi ya kuanzisha biashara ya Hardware (vifaa vya ujenzi),mtaji wa kima cha chini kabisa,na changamoto zake ni zipi....<br />Mzigo ntanunua wapi,nk
 
Inategemeana na focus yako.

Ila kwa mil 5 unaweza anza na vitu vidogo vidogo...then nondo, cement na chuma ukaja kuongeza baadaye..
Ila hakikisha ununue vitu ambavyo vinatembea ili kuboost mtaji!

Kingine ni vizuri ukachanganya na vifaa vya umeme, maana tunachoangalia ni mzunguko..na vifaa vya umeme vinatembea na vinalipa zaidi kuliko vya ujenzi!
 
Changamoto ni mzunguko, jitahidi kupata location nzuri..maana kuna vitu unaweza weka na vikakaa hata mwaka hujauza kwahiyo inabidi uwe mpole huku unaendelea kulisoma soko linahitaji nini!!
 
Asante mkuu,wazo lako ninalifanyia kazi..ubarikiwe
 
Nalifanyia kazi wazo laki mkuu,hapa ni mahali penye mzunguko wa kutosha,watu wengi hupita kwenda mkazin na wengine kwenye mishemishe zao..kuanzia saa 11jion watu ni wengi wanaopita maeneo haya,na hasubuhi vivo hivyo mchana hupungua kiasi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…