Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida




😛layball: Dah! ... Haya majibu ya JF unaweza kujikuta unacheka peke yako.
.
 

Ni kweli mkuu, ila sio lazima uwe mfanya biashara tu hata kama ni ujenzi pia unaweza tumia njia hiyohiyo,

Kuna watu siku hizi wanajenga boma, halafu vifaa vyake vyote wanaenda chukua china, kuna mshkaji alikuwa na 15M akadumbukia zake china kununua vifaa vyake! huwezi amini nyumba yake ilivo manake alinunua milango,madirisha,rangi mpaka fenicha za ndani. jamaa anasema nyumba yake haifiki 40M ila ni nooma yaaki, akiiuza hata 200M unachukua.
 
Haya wazee, nitafanyia kazi.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nakubaliana nawe bwana dist ni kweli kabisa 100%

Kuna watu siku hizi wanajenga boma, halafu vifaa vyake vyote wanaenda chukua china, kuna mshkaji alikuwa na 15M akadumbukia zake china kununua vifaa vyake! huwezi amini nyumba yake ilivo manake alinunua milango,madirisha,rangi mpaka fenicha za ndani. jamaa anasema nyumba yake haifiki 40M ila ni nooma yaaki, akiiuza hata 200M unachukua.[/QUOTE]
 

kaka nashukuru kwa maelezo yako,sikuwa on line muda wote,sasa nilihitaji kujua total cost bfr tra,ya cement,, kuhusu material nyingine ya ujenzi nitakuuliza baada ya kufanikisha hii.
 

Hiyo 70,000 ni gharama za mlango ukiwa tayari Dar nyumbani right?na cement inawezekana ikasimamia kwenye 5000 kwa bag1 mpaka kuufikisha nyumbani.

By the way mkuu ntakuwekea pm for more info.
M/mungu akubariki kwa wema wako.
 
Jamani, mbona cement tunapigwa mpaka 14000 sasa ninyi mnaosema 5000 siwaelewi kabisa
You mean ndo tunapigwa!
 
kaka tueleze ni mji gani huo ili na sisi tukatembelee. hongera kwa ushirikiano
 
Nimukukubali sana na kukumbuka enzi za Nyerere na story yake ya umhimu wa Elimu. Alitoa story kuwa kulikuwa na kijiji kimoja watu wananjaa sana wakaamua wampe chakula mtu mmoja ale ili aende akalete chakula kingi. Wewe ni mfano wa mtu anayejaribu kuleta kingi home japo hakupewa chochote.
Tungekuwa na watanzania 100 walio nje ya nchi na wenye moyo kama wa kwako tungekuwa mbali sana.
Nikuombee dua tu. Mungu akuzidishie nitakuPM kwa yangu binafsi.
 
Hii biashara naipenda sana ila mtaji tu ndio hautoshi.!
 

kaka plz 77 naomba nitumie contact zako kuna issue nitaji tuzungumze zaid kabla sijaingia ktk biz hii use mine mga_son@yahoo.com natanguliza shukrani mkuu...
 
Daah!!! Iko poa sana, ila pa kupata mtaji sasa :frusty:
 
hii ni taarifa nzuri kwa tunaojenga vibanda vyetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…