Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

Hivi Tanzania sisi ni lini tuta Export? Ni sawa kuimport kutoka huko kwa sababu ya Bei yake ila tutambue kwamba tua kuza uchumi wa Dubai na si Tanzania ni kama ilivyo China, Huwa najiuliza kama hadi Milango tunaagiza nje ni huzuni sana wakati tuna mbao na hata Milango inayo tengenezwa na Wabongo ni Bora zaidi ya hiyo ya Kutoka Nje ....

Wewe akili yako ni ndogo kama puwa yako. wewe ulikuwa unadhani Wabongo hawapendi kupanda ndege? ona Fastjet walivyotoa offer ya shilling 32,000/= ticket zinavyogombewa. Na wewe kama ni mzalendo kweli shusha bei ya hizo bei ziwe chini ya bei za Dubai uone kama kuna mtu ataagiza bidhaa nje.

wewe ndo kuku kabisa na hakuna unacho jua, na ndo wale wl wanao apply CIVICS kwenye maswala ya Uchumi wa Nchi, kwani wao waliaanzia wapi? au unazani na nwao walianza kwa kushusha bei? China yenyewe bidhaa zake zamani zilkuwa ni ghali tu kama za Ulaya, tatizo unatumia Masaburi tu,

Ishu kama Milando au thamani za Ndani, Mbona za Kitanzania ni Bora kabisa kimataifa, ulisha wahi ona Thamani zinazo tengenezwa na Jeshi la Magereza? Ni bora kimataifa, Ila wabongo bora tukanunua zile za maghumashi kutoka Dubai,

😛layball: Dah! ... Haya majibu ya JF unaweza kujikuta unacheka peke yako.
.
 
Habari za leo JF..Watu wengi wanasema wana mitaji lakini hawajuhi wafanye nini,mimi naishi dubai ila sitaki kufanya biz na mtu maana najua watakuja watu na comments kwamba wanataka kuibiwa..kuna hii biz ya vifaa vya ujenzi,napenda kuwaambia kuwa hivi vifaa vinauzwa bei rahisi kuliko bidhaa zote hapa dubai,mfano mfuko mmoja wa cement wa kiwango cha juu kuununua na kuutuma mpaka dar unakugharimu tsh 4500 ndio maana unaona mifuko ya cement toka arabuni ni mingi Tz kiufupi inawalipa sana wafanya biashara,mbali na cement vifaa vingine kama tiles..vitasa..milango..sinks..vyoo..nk ni bei ndogo sana milango mizuri ambayo wahindi wanatuuzia laki 4 hapa inauzwa elfu 85..zaidi ya hapo vifaa vyote vya ujenzi mbali ya cement uwa vina ushuru mdogo sana bandarini...utumaji pia si ghari wawezatumia container kama una mzigo mkubwa,ambalo litakuwa $1700 lenye futi 20 ambalo wawezajaza vitu vyovyote utakavyo...lakini kabda hujafanya hivi mtafute agent yoyote mwenye ofisi ili akupe maelezo ya jinsi ya kuvitoa bandarini..hii si kwa wafanyabiashara tu ata kama unatakajenga nyumba yako wawezanunua kwa kiasi utakacho..suala la cement kuna wazoefu wa biz hiyo mimi nilinunua mwaka jana kwa ajiri ya matumizi binafsi mifuko 150 utoaji bandarini haukua bei kubwa lakini walinisumbua sana..hivyo kama una mtaji wawezajaribu hii..kuna sehemu kubwa zaidi ya kariakoo ambayo imetengwa maalumu kwa ajiri ya vifaa vya ujenzi...so kama umeipenda ijaribu hii..nawasilisha

Ni kweli mkuu, ila sio lazima uwe mfanya biashara tu hata kama ni ujenzi pia unaweza tumia njia hiyohiyo,

Kuna watu siku hizi wanajenga boma, halafu vifaa vyake vyote wanaenda chukua china, kuna mshkaji alikuwa na 15M akadumbukia zake china kununua vifaa vyake! huwezi amini nyumba yake ilivo manake alinunua milango,madirisha,rangi mpaka fenicha za ndani. jamaa anasema nyumba yake haifiki 40M ila ni nooma yaaki, akiiuza hata 200M unachukua.
 
Haya wazee, nitafanyia kazi.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nakubaliana nawe bwana dist ni kweli kabisa 100%

Kuna watu siku hizi wanajenga boma, halafu vifaa vyake vyote wanaenda chukua china, kuna mshkaji alikuwa na 15M akadumbukia zake china kununua vifaa vyake! huwezi amini nyumba yake ilivo manake alinunua milango,madirisha,rangi mpaka fenicha za ndani. jamaa anasema nyumba yake haifiki 40M ila ni nooma yaaki, akiiuza hata 200M unachukua.[/QUOTE]
 
Ntakupa maelezo mazuri sana kama ukiwa serious yatakusaidia.

Mimi naishi dubai huu ni mwaka wa 6 sasa, siku moja nikiwa likizo Tz niliona maduka mengi yakiwa na cement toka arabuni na pakistan. Wale watu wanapata faida kubwa sana. Mfuko mmoja wa kiwango cha juu kuununua na kuutuma mpaka port Dar itakugharimu kama Tsh 3500, sasa tatizo ni kwenye kuutoa.

Kipindi kile ufisadi bandarini ulikuwa mkubwa wakanisumbua sana japo nilikuwa na mifuko 100 tu kwa ajiri ya kibanda changu. Pia TBS watachukua mfuko mmoja ili kupima ubora na gharama ilikuwa TSH 20,000. Ilikuwa mwaka jana, sijuhi kwa sasa. Homework unayotakiwa kuifanya ni kutafuta agent mzuri mwenye ofisi na umwulize process ya utoaji ilivyo.

Navyojua chaji za TRA si kubwa sana ila bandarini walinisumbua. Nina hakika kuna faida kubwa sana kama ukijua utoaji bandarini ulivyo na utapata faida kubwa zaidi kama utanunua mzigo mkubwa.

Nakutakia kila la kheri gharama za ujenzi kwa wenzetu huku ni ndogo sana ila wana tatizo la plots za kujengea. Sisi tatizo ni gharama za vifaa vya ujenzi wakati maeneo tunayo.

Karibu sana najisikia vizuri nionapo mtu anatafuta maisha.

kaka nashukuru kwa maelezo yako,sikuwa on line muda wote,sasa nilihitaji kujua total cost bfr tra,ya cement,, kuhusu material nyingine ya ujenzi nitakuuliza baada ya kufanikisha hii.
 
Vifaa vya ujenzi kama tiles,milango na vitasa na vifaa vingine vingi sana vya ujenzi vipo chini sana na havina ushuru mkubwa ndio maana walioshtukia deal mapema wanapiga pesa sana..mfano floor tiles zilizo 15 kqenye box wawezanunua kwa tsh 5000 na ndio maana wenye pesa wakitaka kufanya finishing ya nyumba wanafanya ahopping kubwa huku...kusafirisha container zima la fiti 20 ni kama $1700 humo wawezajaza chochote utakacho..mlango mzuri ni tsh 70000 ambao ukiukita dukani Tz watakupiga 300000/jaribu kaka

Hiyo 70,000 ni gharama za mlango ukiwa tayari Dar nyumbani right?na cement inawezekana ikasimamia kwenye 5000 kwa bag1 mpaka kuufikisha nyumbani.

By the way mkuu ntakuwekea pm for more info.
M/mungu akubariki kwa wema wako.
 
Jamani, mbona cement tunapigwa mpaka 14000 sasa ninyi mnaosema 5000 siwaelewi kabisa
You mean ndo tunapigwa!
 
kaka tueleze ni mji gani huo ili na sisi tukatembelee. hongera kwa ushirikiano
 
Nimukukubali sana na kukumbuka enzi za Nyerere na story yake ya umhimu wa Elimu. Alitoa story kuwa kulikuwa na kijiji kimoja watu wananjaa sana wakaamua wampe chakula mtu mmoja ale ili aende akalete chakula kingi. Wewe ni mfano wa mtu anayejaribu kuleta kingi home japo hakupewa chochote.
Tungekuwa na watanzania 100 walio nje ya nchi na wenye moyo kama wa kwako tungekuwa mbali sana.
Nikuombee dua tu. Mungu akuzidishie nitakuPM kwa yangu binafsi.
 
Hii biashara naipenda sana ila mtaji tu ndio hautoshi.!
 
Habari za leo JF..Watu wengi wanasema wana mitaji lakini hawajuhi wafanye nini,mimi naishi dubai ila sitaki kufanya biz na mtu maana najua watakuja watu na comments kwamba wanataka kuibiwa..kuna hii biz ya vifaa vya ujenzi,napenda kuwaambia kuwa hivi vifaa vinauzwa bei rahisi kuliko bidhaa zote hapa dubai,mfano mfuko mmoja wa cement wa kiwango cha juu kuununua na kuutuma mpaka dar unakugharimu tsh 4500 ndio maana unaona mifuko ya cement toka arabuni ni mingi Tz kiufupi inawalipa sana wafanya biashara,mbali na cement vifaa vingine kama tiles..vitasa..milango..sinks..vyoo..nk ni bei ndogo sana milango mizuri ambayo wahindi wanatuuzia laki 4 hapa inauzwa elfu 85..zaidi ya hapo vifaa vyote vya ujenzi mbali ya cement uwa vina ushuru mdogo sana bandarini...utumaji pia si ghari wawezatumia container kama una mzigo mkubwa,ambalo litakuwa $1700 lenye futi 20 ambalo wawezajaza vitu vyovyote utakavyo...lakini kabda hujafanya hivi mtafute agent yoyote mwenye ofisi ili akupe maelezo ya jinsi ya kuvitoa bandarini..hii si kwa wafanyabiashara tu ata kama unatakajenga nyumba yako wawezanunua kwa kiasi utakacho..suala la cement kuna wazoefu wa biz hiyo mimi nilinunua mwaka jana kwa ajiri ya matumizi binafsi mifuko 150 utoaji bandarini haukua bei kubwa lakini walinisumbua sana..hivyo kama una mtaji wawezajaribu hii..kuna sehemu kubwa zaidi ya kariakoo ambayo imetengwa maalumu kwa ajiri ya vifaa vya ujenzi...so kama umeipenda ijaribu hii..nawasilisha

kaka plz 77 naomba nitumie contact zako kuna issue nitaji tuzungumze zaid kabla sijaingia ktk biz hii use mine mga_son@yahoo.com natanguliza shukrani mkuu...
 
Daah!!! Iko poa sana, ila pa kupata mtaji sasa :frusty:
 
Back
Top Bottom