Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
ongeza,cable za klach,side mirror,tairi,tube,indicator za sanlg na boxer,gia liva(chuma cha kupigia kiki) bolt nati za saizi kumi bulbu kubwa na ndogo,betri dry,cheni,reflekta,kava za taa za nyuma,honi,switch ya taa za bleki hizi nazo ni fast moving speaKwa uzoefu wangu kwakuwa hii biashara, ya spares za pikipiki especially bajaj nishawahi kufanya. Vitu vya msingi at list dukani kwako visikosekane ni kama vifuatavyo:- oil,Bering,gasket, bleckshoe,sporkect ,blag,rings,block, cilinder head ivyo kwa uchache.Kwa ushauri lazima uwe na fundi pembeni na ofic yako .
Mimi nipo Dar na deal sana na vifaa vya bajaj kwa sasa ila nishafanya biashara iyo hapo mwanzo
Ya kiongoz bolt size zote pamoja na washell ila changamoto kwa saizi kampuni ni nyingi za speareongeza,cable za klach,side mirror,tairi,tube,indicator za sanlg na boxer,gia liva(chuma cha kupigia kiki) bolt nati za saizi kumi bulbu kubwa na ndogo,kava za taa za nyuma,honi,switch ya taa za bleki hizi nazo ni fast moving spea
hapo ndo anatakiwa akaulize kampuni geniune wakiwemo "SFQZ" kama sijakosea jinaYa kiongoz bolt size zote pamoja na washell ila changamoto kwa saizi kampuni ni nyingi za speare
Thanks mkuuongeza,cable za klach,side mirror,tairi,tube,indicator za sanlg na boxer,gia liva(chuma cha kupigia kiki) bolt nati za saizi kumi bulbu kubwa na ndogo,betri dry,cheni,reflekta,kava za taa za nyuma,honi,switch ya taa za bleki hizi nazo ni fast moving spea
Sawa MkuuMimi nipo Dar na deal sana na vifaa vya bajaj kwa sasa ila nishafanya biashara iyo hapo mwanzo
Kwa uzoefu wangu kwakuwa hii biashara, ya spares za pikipiki especially bajaj nishawahi kufanya. Vitu vya msingi at list dukani kwako visikosekane ni kama vifuatavyo:- oil,Bering,gasket, bleckshoe,sporkect ,blag,rings,block, cilinder head ivyo kwa uchache.Kwa ushauri lazima uwe na fundi pembeni na ofic yako .
ongeza,cable za klach,side mirror,tairi,tube,indicator za sanlg na boxer,gia liva(chuma cha kupigia kiki) bolt nati za saizi kumi bulbu kubwa na ndogo,betri dry,cheni,reflekta,kava za taa za nyuma,honi,switch ya taa za bleki hizi nazo ni fast moving spea
Mimi nipo kwenye magari ila nitakushauri hapo number 2,usikose kuweka vimiminika hasa oils za kupima hii unanunua dumu la 20 litter unapima kwenye kopo bodaboda wengi ndo wanazotumia pamoja na brake fluids,pia oil kama Mogas,Oryx International na Total ndo nyingi wanazotumia.oil zinachangamsha sana biashara.
Pia ni vizuri umpate fundi mzuri wa kukaa eneo lako la biashara,coz wateja wengi wakinunua spare huwa wanapenda wafungiwe pia fundi atakuuzia vitu vyako kwa wateja waliomzoea ambao atawaita alipo.
Good luck!
Sent using Redmi Note 5
Mkuu kwny spea za magari used toka Japan tunaomba msaada wa abcd angalau mtaji kiasi gani wa kuanzia,fast moving items na mzigo unapatikama hapa hapa Bongo au mpk kwenda kufunga mzigo japan/Dubai mkuu?
Sent from my iPhone using JamiiForums
SFQZ, SP SANLING na Tire KINGSTONE hivi ni vitu vya kampuni ya 7 General ni imara sana ila ukinunua inategemea na eneo kama wateja ni waelewa maana sehemu nyingine wateja wanapenda vitu vya bei vya bei rahisi tu bila kujali uimara wa kitu.hapo ndo anatakiwa akaulize kampuni geniune wakiwemo "SFQZ" kama sijakosea jina
Asante mkuu kwa ushauriFundi ni muhimu sana kuliko kitu kingine
1.uwe na fundí
2.uwe na location
3.Mtaji kias
Kkoo mtaa wa donge,swahili etc ndo mitaa ambayo tunapatikana wauzaj Wa jumla, usisite kututembelea
Bidhaa muhimu ni nyingi na zinategemeana na location na msimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kaka kwa ushauri maridhawaMimi nipo kwenye magari ila nitakushauri hapo number 2,usikose kuweka vimiminika hasa oils za kupima hii unanunua dumu la 20 litter unapima kwenye kopo bodaboda wengi ndo wanazotumia pamoja na brake fluids,pia oil kama Mogas,Oryx International na Total ndo nyingi wanazotumia.oil zinachangamsha sana biashara.
Pia ni vizuri umpate fundi mzuri wa kukaa eneo lako la biashara,coz wateja wengi wakinunua spare huwa wanapenda wafungiwe pia fundi atakuuzia vitu vyako kwa wateja waliomzoea ambao atawaita alipo.
Good luck!
Sent using Redmi Note 5
Biashara ya spare za used nimeiacha mwaka wa pili huu mkuu kipindi hiko nilikuwa nadili hasa na body parts ila mchina alitoa copy vitu vingi soko likavurugika.
Kwa sasa naogopa kumshauri mtu kuingia ktk biashara hii ila mtaji wake at least uwe na $30,000 hii nimekadiria kwa mjasiliamali wa kawaida wakushirikiana na wenzake kujaza kontena maana container kulijaza peke yako linataka mtu uwe na pumzi kweli kweli.
Ile biashara ilikuwa nzuri sana ila tatizo spare mpya zikaivuruga,unakuta mfano headlight ya Raum new au IST used inauzwa 250K mchina anaitoa taa hiyo hiyo japo kwa low quality ila bei ni rafiki 120K tu so kwa uchumi huu wa Magu mtu atakimbilia plan b ambayo ni Chinese na wewe uliyeenda kuchukua mzigo Dubai unabaki unaifuta taa yako vumbi tu haiuziki kwa wakati japo wapo ambao bado wanavumilia maumivu kwa kununua spare used.
Niwe mkweli mkuu kwa sasa siwezi kusema vitu vinavyotembea faster coz nipo nje ya chuck kwenye hiyo kazi kwa muda kidogo.
Yes kaka,wengi sasa hivi wananunua vitu vipya kutokana na bei iko chini na vinakuwa na uhakika wakupatikana japo wapo ambao bado wanapenda bidhaa za used.Thnxs sana for the info mkuu,so mtu anaeza kuendana na soko kwa kununua hizo spares za kichina ili akidhi mahitaji ya walaji sio mkuu?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yes kaka,wengi sasa hivi wananunua vitu vipya kutokana na bei iko chini na vinakuwa na uhakika wakupatikana japo wapo ambao bado wanapenda bidhaa za used.
Mimi Nataka kufungua kyela mbeya duka la spea za pikipiki naomba muongozoNimekupata mkuu
Mnaptkana wp weka mawasiliano plzTunauza spea za pikipiki za kijapani yeyote mwenye kuhitaji anakaribishwa