Askarimaji
JF-Expert Member
- Jan 28, 2016
- 269
- 651
Kuna wagonjwa, wajawazito, wasafiri, watoto wadogo , wasio waislamu hawa wote hawatakiwi kufunga, kwahiyo kupika ni lazima na vyakula lazima vilikeNimepita maeneo ya magomeni, ilala, kinondoni, buguruni, temeke na mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea alhamisi, ijumaa na hata leo jumamosi asubuhi.
Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za chakula hazijasitishwa mida ya mchana. Au ni kwamba waislamu ni wachache sana hapa dar?
Inategemea na mahali ulipo,kwa pemba huwezi kuthubutu kufanya hivyo hata kama wewe si muislamNi ngumu kumfungisha mama lishe mwezi mzima aziuze chakula mchana. Wanaoweza kuacha kuuza chakula mchana ni wale wenye migahawa mikubwa. Sasa mama lishe mwenye genge akiacha kuuza mwezi mzima mpaka ramadhan ipite si utamuua kwa njaa? Hizi funga kwa wengine ni mzigo mzito. Imani ibaki ni suala la mtu binafsi na mungu wake tusilazimishane kufunga
Pemba ni jamhuri ya kiislam, kule ndio kuna masultan wengi ndio maana kuna msemo wa kiswahili usemao waarabu wa pemba wanafahamiana kwa vilemba vyao. Kama si jamhuri ya muungano kale ka kisiwa kangeleta vurugu za kisiasa kaunde jamhuri yake ya kiislam. Raia wa huko watambue kuwa kuna ambao si waislam na wanatakiwa kuwa huru kula mchana hadharaniInategemea na mahali ulipo,kwa pemba huwezi kuthubutu kufanya hivyo hata kama wewe si muislam
Kuna uwezekano mkubwa ni chini ya asilimia 30.Only 34% ya wananchi ndio Muslims Tanzania. Clear fact.
Go straight to the topicNimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi.
Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za chakula hazijasitishwa mida ya mchana. Au ni kwamba waislamu ni wachache sana hapa Dar?
Wanabalansi vipi chumvi? Au wamekariri kipimo?Maisha lazima yaendeleee
Kuna wanawake wa kiislam kazi zao ni kuuza chakula.
Kufunga wanafunga swaumu. Ila biashara ya kuuza chakula milo yote kuanzia asubuhi na hata mchana wanaendelea kufanya maana ndio kazi yao inayowapa kipato
Kule ni habari nyingine!!mwaka jana mfungo ulinikuta huko!!!siku moja nimekaa vichakani napata chapati zinatengezwa kwa mchele,na juice ya bungo,bnana watoto wakapita wanatoka skuli!!nikasikia wanaanza kuimba KOBE HUYO,KOBE HUYO!!daaa niliogopa tu kuwapiga nikaona yatakuwa mengine tena ila daaa niliona aibu.Pemba ni jamhuri ya kiislam, kule ndio kuna masultan wengi ndio maana kuna msemo wa kiswahili usemao waarabu wa pemba wanafahamiana kwa vilemba vyao. Kama si jamhuri ya muungano kale ka kisiwa kangeleta vurugu za kisiasa kaunde jamhuri yake ya kiislam. Raia wa huko watambue kuwa kuna ambao si waislam na wanatakiwa kuwa huru kula mchana hadharani
acha udini wewe, ishi huru kifikraTatizo lipo kwa mtoa mada, inaonekana amefika mwaka huu dar kutoka huko unyanyembe!
Nikirudi kwenye mada, juhudi hizi za kila siku za kujaribu kuudogoisha Uislamu tatizo na chanzo ni nini?!!!!
kama ni afya si watu wangefunga kila mara?Kufunga sio ibada tu ni afya vilevile.
Tuunafunga kila Usiku.kama ni afya si watu wangefunga kila mara?
Mmongonyoko wa maadili nimatokeo ya kufa kwa diniNimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi.
Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za chakula hazijasitishwa mida ya mchana. Au ni kwamba waislamu ni wachache sana hapa Dar?
Teh teh teh Babu uislam umeweka kila kitu bayana unaruhusiwa kuonja na funga yako iko pale paleWanabalansi vipi chumvi? Au wamekariri kipimo?
Inchaji inaonekana unaumia sana kuona Ramadhan ina nguvu kuliko kwaresma.!!!Hata hao waislam kadri miaka inavyoenda wafungaji wanapungua, wameanza kuona si kitu kufunga zaidi ni imani tu. Ndio maana wengi wanaonekana wakila bila uficho.
CCM Maisara wapo wazi...Mzeebaba nipe namba ya mpishi yeyote nipo hapa mjini darajani napata tabu kinoma kupata chakula
Poa man nitacheki hapo maisaraCCM Maisara wapo wazi...
Migombani Officers Mess wapo wazi..
Nyuki Club ipo wazi...
Kama ni mtu wa mama ntilie... Hapa Chukwani wapo....