wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,825
- 2,292
Ina nguvu gani zaidi ya watu kufuata mkumbo tu wa kufunga bila kujua wanamfungia nani? Yaani Mungu gani huyo wa kufurahishwa na funga ya kila mwaka?Inchaji inaonekana unaumia sana kuona Ramadhan ina nguvu kuliko kwaresma.!!!
Ndo unafiki wa wengi ulipo..!!Kuna rafiki yangu huku znz ana miaka kama 50 na kaka ake Ana miaka kama 60 wote wamefunga lakini awaeleweni awaongei hata salamu hakuna ibada awafanyi hizo chuki mpaka kwenye familia zao cha kushangaza nao wanafunga
HaswaaaasNi vema kukimbia topic zisizo na tija
hii funga ya waislam ni kituko, bora wale wanaofunga bila kupiga kelele kila mtu ajue wamefunga.Kuna rafiki yangu huku znz ana miaka kama 50 na kaka ake Ana miaka kama 60 wote wamefunga lakini awaeleweni awaongei hata salamu hakuna ibada awafanyi hizo chuki mpaka kwenye familia zao cha kushangaza nao wanafunga
Nimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi.
Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za chakula hazijasitishwa mida ya mchana. Au ni kwamba waislamu ni wachache sana hapa Dar?
Kuna chaneli moja ya tv ya chama fulani kila siku usiku wazee wa dini hii wanazungumzia funga hii kana kwamba ni utakaso wa dhambi. Hawaoni athari za kufunga kula japo wanajua kuna ambao hawawezi kufunga hata kidogo. Kuna imani ambazo ni mzigo mzito kwa watu kuaminishwa vitu vya ajabu vinavyoweza kuwaletea athari miilini mwao. Kisayansi ya maumbile mtu anatakiwa ale chakula kwa kadiri mwili unavyohitaji. Kuunyima mwili chakula kwa muda mrefu ni kujitakia matatizo ya kiafya.s
Unajitahidi sana kuonyesha chuki😂😂ila mwili hautaki ..kwani ukitulia bila kufuatilia waislamu unaumia nn.hii funga ya waislam ni kituko, bora wale wanaofunga bila kupiga kelele kila mtu ajue wamefunga.
Kijana mbona unatumia nguvu wewe ndo umekonda kwa chuki mpaka sura Ina makunyazi kwa ulevi na chuki😂😂.Kwa mtazamo wa kawaida mbona wengi huwa wanaonekana kukonda baada ya kumalizika mwezi wa mfungo? Au kukonda ni uimara wa afya? Labda kama funga hii inasaidia wale wenye unene hatari na uzito mkubwa kupunguza kula ili ku regulate miili yao
Dini za kuletewa zinatesa sana waafrika pumbavu kama sisiNimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi.
Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za chakula hazijasitishwa mida ya mchana. Au ni kwamba waislamu ni wachache sana hapa Dar?
Dini haienezwi Kwa upanga bali diplomacyNimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi.
Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za chakula hazijasitishwa mida ya mchana. Au ni kwamba waislamu ni wachache sana hapa Dar?
Kijana mbona unatumia nguvu wewe ndo umekonda kwa chuki mpaka sura Ina makunyazi kwa ulevi na chuki