Biashara za chakula kuendelea kushamiri mchana hapa Dar mwezi wa Ramadhani ni uthibitisho kwamba waislamu ni wachache?

Biashara za chakula kuendelea kushamiri mchana hapa Dar mwezi wa Ramadhani ni uthibitisho kwamba waislamu ni wachache?

Status
Not open for further replies.
Kuna rafiki yangu huku znz ana miaka kama 50 na kaka ake Ana miaka kama 60 wote wamefunga lakini awaeleweni awaongei hata salamu hakuna ibada awafanyi hizo chuki mpaka kwenye familia zao cha kushangaza nao wanafunga
 
Inchaji inaonekana unaumia sana kuona Ramadhan ina nguvu kuliko kwaresma.!!!
Ina nguvu gani zaidi ya watu kufuata mkumbo tu wa kufunga bila kujua wanamfungia nani? Yaani Mungu gani huyo wa kufurahishwa na funga ya kila mwaka?
 
Kuna rafiki yangu huku znz ana miaka kama 50 na kaka ake Ana miaka kama 60 wote wamefunga lakini awaeleweni awaongei hata salamu hakuna ibada awafanyi hizo chuki mpaka kwenye familia zao cha kushangaza nao wanafunga
Ndo unafiki wa wengi ulipo..!!
 
Kuna rafiki yangu huku znz ana miaka kama 50 na kaka ake Ana miaka kama 60 wote wamefunga lakini awaeleweni awaongei hata salamu hakuna ibada awafanyi hizo chuki mpaka kwenye familia zao cha kushangaza nao wanafunga
hii funga ya waislam ni kituko, bora wale wanaofunga bila kupiga kelele kila mtu ajue wamefunga.
 
Nimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi.

Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za chakula hazijasitishwa mida ya mchana. Au ni kwamba waislamu ni wachache sana hapa Dar?

Sasa wakisitisha huduma ya chakula katika maeneo hayo huoni kwamba hiyo itakuwa ni karaha kwa watu wasiofunga??

Funga ya Ramadhani ni kwa mtu mwenye afya, mgonjwa, msafiri (mtu aliyetoka safari) mama mjamzito, mzee kikongwe, mtoto mdogo, mwanamke katika siku zake hao wote hawaruhusiwi kufunga, juu ya yote kuna watu ambao sio waisilamu ambao kimsingi funga haiwahusu sasa ukifunga huduma ya chakula huoni kwamba kundi hilo utakuwa umelikaharahisha??!!.
 
Kuna chaneli moja ya tv ya chama fulani kila siku usiku wazee wa dini hii wanazungumzia funga hii kana kwamba ni utakaso wa dhambi. Hawaoni athari za kufunga kula japo wanajua kuna ambao hawawezi kufunga hata kidogo. Kuna imani ambazo ni mzigo mzito kwa watu kuaminishwa vitu vya ajabu vinavyoweza kuwaletea athari miilini mwao. Kisayansi ya maumbile mtu anatakiwa ale chakula kwa kadiri mwili unavyohitaji. Kuunyima mwili chakula kwa muda mrefu ni kujitakia matatizo ya kiafya.s

Science ipi sijui hata kama shule ipo kichwani? Kama ulizoea kuiba mitihani huwezi kuelewa.

Kipind cha kufunga insulin ya mwili inapungua ambayo inasaidia kuyeyusha na kuvunja mafuta yote ili iwe rahisi kutumika kuleta mwili nguvu...Unakula daily ukiachana na haja kubwa na ndogo unafikiria mwili unabaki Kapa ? Kuna nutrients zinakuwa stored hivyo mda mwingine zinatakiwa zitumike ndo maana Kuna 'kufunga ila mpate afya"
 
hii funga ya waislam ni kituko, bora wale wanaofunga bila kupiga kelele kila mtu ajue wamefunga.
Unajitahidi sana kuonyesha chuki😂😂ila mwili hautaki ..kwani ukitulia bila kufuatilia waislamu unaumia nn.

Kale bada na pombe akili itulie
 
Kwa mtazamo wa kawaida mbona wengi huwa wanaonekana kukonda baada ya kumalizika mwezi wa mfungo? Au kukonda ni uimara wa afya? Labda kama funga hii inasaidia wale wenye unene hatari na uzito mkubwa kupunguza kula ili ku regulate miili yao
Kijana mbona unatumia nguvu wewe ndo umekonda kwa chuki mpaka sura Ina makunyazi kwa ulevi na chuki😂😂.

Kila point unayotoa ni trash ..Toa point moja watu waelewe kila mda unakuja na point yako mbona kwaresma watu Wanafunga husemi ?
 
Nimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi.

Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za chakula hazijasitishwa mida ya mchana. Au ni kwamba waislamu ni wachache sana hapa Dar?
Dini za kuletewa zinatesa sana waafrika pumbavu kama sisi
 
Nimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi.

Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za chakula hazijasitishwa mida ya mchana. Au ni kwamba waislamu ni wachache sana hapa Dar?
Dini haienezwi Kwa upanga bali diplomacy

Huwa nawashangaa waislam siasa kali..... binafsi kwangu kufunga Ramadhani hakuna wakati maalum....

Wew funga Kwa Imani yako usimchunguze SHABAN NA AISHA...

We live once, We die once 🔂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom