Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiba nao ni harusiDah! Msiba mzito sana huu. Badala ya harusi, unakua msiba!! 🙁 All in all mashimo siyo kuyakwepa hata kidogo uwapo barabarani. Ni bora ufukie tu au upunguze mwendo.
Hii kwangu ni best comment kwa huu uzi. Ukiwa speed ukakwepa shimo inakutaka uwe na hesabu za haraka sana tofauti na hapo unaingia Lane ingine unakutana nachoDah! Msiba mzito sana huu. Badala ya harusi, unakua msiba!! 🙁 All in all mashimo siyo kuyakwepa hata kidogo uwapo barabarani. Ni bora ufukie tu au upunguze mwendo.
....Mkuu, Jitahidi kuelewa Kilichoandikwa. House girl wa mdogo wake ....[emoji120]Bibi harusi ana miaka 37, halafu house girl ana miaka 15.
Bibi harusi mzee, house girl katoto. Wapumzike kwa amani
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
KumbeUnashangaa Nini wakati umesema Bibi+harusi
Sheria zipo za nchi na za umma.Ni sheria ya wapi?
Kazi ya kuziba mashimo barabarani ni ya nani? Kodi si zinalipwa hili mashimo yazibwe? Je, ujenzi wa barabara ni wa viwango?Ajali hiyo iliyotokea baada ya Rehema aliyekuwa dereva wa gari hilo kukwepa shimo na kugongana na lori, pia imesababisha kifo cha mfanyakazi wa ndani wa mdogo wake, Irene Shija (15), huku wanafamilia wengine wawili wakijeruhiwa.
Vipi kama dereva nae angefanya maamuzi hayo hayo?Wapumzike kwa amani Marehemu wote,sema ilikuwa watafute Dereva,wewe ndiyo muhusika na bado msukani unashika wewe,sema kazi ya Mungu haina makosa.Poleni wafiwa.
Ni kweli, kuna utamaduni wa kuendesha mjini, ambao ni tofauti na ule wa highway. Ukute hata hakumuwashia taa dereva wa lori na inaonekana alikuwa mwendo mkali sana, ingawaje yawezekana lori ndio lilikuwa kibati.Pole sana kwa familia sema bibi harusi hakutakiwa kuendesha gari umbali mrefu huo bora wangekodi dereva tu kwa ajali nazokutana nazo bara barani hasa hii ya Dodoma kwenda Iringa wengi ni wale madereva wa nyumbani mjini harafu wanataka kuvuka mkoa bila hata ABC za Road...
Kila unapopishana na gari iwe kubwa au ndogo inatakiwa kupunguza mwendo pindi ikitokea ajali isiwe na impact kubwa na kila unapolipita gari kubwa unatakiwa umsumtue kwa honi nae pia atakuruhusu kwa honi sio anaona gari limepita tu kama kicheche harafu mazingira mengine ni ya hatarishi ukiwa na abc za safari labda gari kubwa lije upande wako likugonge lakini kwa mazingira ya kawaida utakua salama sana...huwa naogopa sana kuwaona hawa madereva wa mjini wapo na Subaru harafu mwendo bati huku wamefunga vioo aisee...Ni kweli, kuna utamaduni wa kuendesha mjini, ambao ni tofauti na ule wa highway. Ukute hata hakumuwashia taa dereva wa lori na inaonekana alikuwa mwendo mkali sana, ingawaje yawezekana lori ndio lilikuwa kibati.
Apumzike kwa amani, ni Mungu tu anaetulinda mwaka jana nlisafiri toka nilipo hadi Songea 716Km kuhudhuria send off ya mamiloo.Wakati wa bwana ufikapoo .....RIP
Mara nyingi shughuli za sendoff /harusi zikaribiapo wanashauri wahusika wasisafiri safiri ama kuendesha vyombo vya motooo
Mashimo kwenye barabara zetu ni changamoto wiki mbili zilizopita Almanusra Toyota wish igongane na lorry maeneo ya dakawa kutoka Morogoro kwenda Dodoma.Ingekuwa nchi za wanaojielewa, hilo shimo barabarani lingeinyoosha serikali. Kwa Tz matatizo, kadhia ndio maisha ya WaTz na yanapelekea mauti yao, na tumekubaliana nayo!
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Sahihi highway ajali ni kufumba na kufumbua ni hatari sana usipokuwa timamu Yani ukizembea kidogo tu hukawii kukutana na dhahama.Salamu za pole kwa wanafamilia...
Wito:
Madereva wasio wazoefu wa safari ndefu za mkoa hadi mkoa si vyema kusafiri kwa kuendesha gari mwenyewe...
Hizi safari ndefu huwa zinahitaji umakini sana na muda wote akili inapiga kila aina ya hesabu uwapo barabarani kuepukana na majanga...
Kudance na mashimo barabarani kama sio mzoefu unaweza hata ukapindua gari au ukachochora...
Nimeelewa vizuri naongelea kuhusu age, bi harusi umri umeenda sana (RIP) halafu house girl umri wake sio wa kuajiriwa ni mtoto sana alitakiwa kuwa shule....Mkuu, Jitahidi kuelewa Kilichoandikwa. House girl wa mdogo wake ....[emoji120]
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app