Bibi zake mke wangu wakikosa pesa ya kulipa ada wanaanza kutumia mabavu nilipe mahari

Are really that weak? Unalizimishwa vipi, hauna confidence ya kusimama firm katika mambo yako?
Waambie pesa hauna, period. Kwani watakuua, au waambie wamchukue mjukuu wao mpaka utakapopata pesa kwani hapa inaonyesha mkeo hayuko upande wako otherwise wasingekuwa na guts za kukufanyia huo upumbavu.
 
Fursa kama hii mbona hainipati mimi waje wachukue mtoto wao mi nimenye ktu kipya.
 
Mila na desturi za makabila mengi ya kitanzania. Ukimaliza mahari unakuwa kama umeua undugu kati ya hizo familia mbili
Mpaka wanakutoza mahari tangu siku ya kwanza kwa akili yako hapo waliutengeneza huo undugu?
 
Wewe nawe. Kuambiwa kuwa mahari haiishi haimaanishi uache deni kubwa kiasi hiko. Malizia au bakiza pesa isiwe zaidi ya laki 1.
 
Wewe nawe. Kuambiwa kuwa mahari haiishi haimaanishi uache deni kubwa kiasi hiko. Malizia au bakiza pesa isiwe zaidi ya laki 1.
Ndio maana hapo nimekwambia huwa nalipa kidogo kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…