Bible Error: Mwanzo 1:1-3a Kosa kubwa la Milenia, kutafsiri kutoka kwenye lugha ya Kiebrania

Bible Error: Mwanzo 1:1-3a Kosa kubwa la Milenia, kutafsiri kutoka kwenye lugha ya Kiebrania

Hebu ngoja kwanza tuanze na maamuzi yaliyotokea kwenye kikao cha kwanza cha Nicaea
The Nicene Creed
We believe in one God,
the Father almighty,
maker of heaven and earth,
of all things visible and invisible.

And in one Lord Jesus Christ,
the only Son of God,
begotten from the Father before all ages,
God from God,
Light from Light,
true God from true God,
begotten, not made;
of the same essence as the Father.
Through him all things were made.
For us and for our salvation
he came down from heaven;
he became incarnate by the Holy Spirit and the virgin Mary,
and was made human.
He was crucified for us under Pontius Pilate;
he suffered and was buried.
The third day he rose again, according to the Scriptures.
He ascended to heaven
and is seated at the right hand of the Father.
He will come again with glory
to judge the living and the dead.
His kingdom will never end.

And we believe in the Holy Spirit,
the Lord, the giver of life.
He proceeds from the Father and the Son,
and with the Father and the Son is worshiped and glorified.
He spoke through the prophets.
We believe in one holy catholic and apostolic church.
We affirm one baptism for the forgiveness of sins.
We look forward to the resurrection of the dead,
and to life in the world to come. Amen.

Tunaanze na hiki hapa ambacho ndio msingi wa Ukristo. Hakikuwepo kabla
Nini kilisababisha maamuzi ya council of Nicaea?
 
Moja ya maelengo ya council of Nicaea was Condemnation of Arianism

The council condemned the teachings of Arius, a priest from Alexandria who argued that Jesus Christ was not divine but a created being. Arius and his followers were declared heretics, and their teachings were rejected by the council.
Sababu ya hiyo council kutoa maamuzi hayo ni ipi?, walisimamia maandiko gani ku justify maamuzi yao?

Je kabla ya muumuzi ya council of Nicaea kusema kuna utatu mtakatifu, wewe binafsi unaelewa nini kuhusu Mungu alijifunua kwa wanadamu kwa njia tatu, muumba, mwokozi, na baba.?
 
Nini kilisababisha maamuzi ya council of Nicaea?
Kuna mambo makuu ambayo yalisababisha kuwepo kwa council of Nicaea
1. Kutokana na mafundisho mengi ya kuhusu Yesu Kristo kuwa tofauti tofauti wakaamua kuwa na The Nicene Creed ambayo ndiyo ilikuwa msingi wa ukristo.

2. Date of Easter Makubaliano ya tarehe ya Easter kuwa inatakiwa iwe inafanana kwa wakristo wote duniani na itakuwa tofauti na Jewish Passover

3. Canonical Laws he council established various canonical laws regarding the organization of the Church, the role of bishops, and the handling of heresies and schisms. These included regulations on the ordination of clergy and the administration of sacraments.

4. Kulaani Arianism The council condemned the teachings of Arius, a priest from Alexandria who argued that Jesus Christ was not divine but a created being. Arius and his followers were declared heretics, and their teachings were rejected by the council.

Hayo ni kwa uchache tu. Kama kuna swali jingine nipo tayari kujibu
 
Pls jibu kuhusu holy trinity pekee. Haya mengine ni nje ya mada.
 
Sababu ya hiyo council kutoa maamuzi hayo ni ipi?, walisimamia maandiko gani ku justify maamuzi yao?

Mungu alijifunua kwa wanadamu kwa njia tatu, muumba, mwokozi, na baba.
Hii unayoelezea hapa ni Idea ya Tertullian Kipindi hicho kila mmoja alikuwa anajaribu kuibua mafundisho yake kumuelezea Yesu ni nani.

Tertullian's Trinity ndiyo iliyoweza kupenya kwa maaskofu wengi na kueleweka. Yeye alikuwa amesimamia msitari mmoja wa kwenye biblia Matthew 28:19. Idea yake inajulikana kwa kilatin una substantia, tres personae ambayo inatafsiriwa kwa kingereza One Substance, Three Persons

Ndio msingi mkubwa kabisa of First Council of Nicaea
 
Tupate kibao kidogo tuendelee na mjadala
 
  • Nzuri
Reactions: 511
Hii unayoelezea hapa ni Idea ya Tertullian Kipindi hicho kila mmoja alikuwa anajaribu kuibua mafundisho yake kumuelezea Yesu ni nani.

Tertullian's Trinity ndiyo iliyoweza kupenya kwa maaskofu wengi na kueleweka. Yeye alikuwa amesimamia msitari mmoja wa kwenye biblia Matthew 28:19. Idea yake inajulikana kwa kilatin una substantia, tres personae ambayo inatafsiriwa kwa kingereza One Substance, Three Persons

Ndio msingi mkubwa kabisa of First Council of Nicaea
Endelea kujifunza kuna sehemu hujafika, ukifika hapo utanielewa.
 
Naona unakubali kiaina. Basi poa. 🤣 🤣 🤣 🤣
Nimekubali nini kama umeshindwa kunijibu sababu ya kuwepo kwa maamuzi ya hicho kikao kuhusu utatu Mtakatifu? Kabla ya maamuzi yao tayari Mungu alikuwepo, na alishajitambulisha kwa wanadamu kama Muumba, baba na mwokozi kabla ya council of Nicaea.

Council of Nicaea walichofanya ni kutoa jina tu, sio kwamba ndio walianzisha huo utatu.
 
Nimekubali nini kama umeshindwa kunijibu sababu ya kuwepo kwa maamuzi ya hicho kikao kuhusu utatu Mtakatifu? Kabla ya maamuzi yao tayari Mungu alikuwepo, na alishajitambulisha kwa wanadamu kama Muumba, baba kwenye na mwokozi kabla ya council of Nicaea.

Council of Nicaea walichofanya ni kutoa jina tu, sio kwamba ndio walianzisha huo utatu.
Sasa leta reference ya hiki unachokiongea.
 
Reference kuhusu kuwepo kwa Mungu kabla ya Council of Nicaea? Au kuhusu Mungu kujitambulisha katika njia tatu, muumbaji, baba na mwokozi?
Kwani hapa tunaongelea kuwepo kwa Mungu? Kwani Council of Nicaea iliongelea kuwepo kwa Mungu? Mzee kama hujui vitu hebu tulia uweze kujifunza. Kwanza hapa tunaongelea Genesis 1:1-3a.

Umeelewa?
 
Umeshindwa kutueleza Kuwa kabla ya kuumba Mbingu na Dunia Mungu alikuwa anafanya nini?
Umeshindwa kutueleza Giza lilitoka wapi?
Anaefuatilia mambo ataona makosa yaliofanyika kutokana na kutafisiri biblia kutoka lugha yake ya asili kwenda lugha nyingine. Sababu za makosa hayo ziko wazi.

Ukiacha makosa ya kutafisiri pia sio maneno yote yaliyomo katika biblia ni maneno ya Mungu. Mengine ni maneno ya mwandishi mwenyewe.

Kwa hiyo ni muhimu unaposoma vitabu vya biblia kujua mwandishi wa hicho kitabu ni nani: historia yake. Kitabu kiliandikwa wakati gani na aliwaandikia kina nani, ujumbe wake ni nini.

Wayahudi ndio watu pekee duniani wenye utalaamu wa dini. Ndio wanaojua dini. Hatahivyo, katika historia yao ya dini mpaka leo wayahudi hawataji jina la Mungu.

Kitabu cha Kutoka kinaeleza kuwa Musa alipewa consonant "YHWH" - kama jina la Mungu. Matamshi hayo kwa yenyewe hayatamkiki kama neno lenye maana.

Kwa sababu wayahudi hawaruhusiwi kutaja jina la Mungu (YHWH), ili kuepuka kutaja jina hilo wanataja maneno Adonai, Elohim, kueleza sifa na ukuu; uwezo na matendo ya Mungu.

Kitabu cha Mwanzo 1:1, pamoja na kwamba kinaeleza tokeo la ulimwengu lakini fundisho lake kuu ni kuanguka kwa mtu. Kitabu hiki kinaeleza mambo msingi ili kuweza kujua si tu biblia, lakini pia uumbaji kwa ujumla.

Kumbe katika msingi huo ni muhimu kujua muhusika mkuu, ambaye biblia inamtaja kuwa muumbaji wa vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, yaani Mungu.

Mungu maana yake ni nini?

Pili ni vitu vilivyoumbwa:-

Dunia ni nini?

Mbinguni ni nini?

Mtu ni nini?

Ulimwengu ni nini?

Maswali haya yatatuwezesha sio tu kuacha kushughulika na mambo madogo badala yake kushughulikia mambo ya juu na kuwa na maarifa ya vitu na ushahidi wao wa ndani.
 
Kwani hapa tunaongelea kuwepo kwa Mungu? Kwani Council of Nicaea iliongelea kuwepo kwa Mungu? Mzee kama hujui vitu hebu tulia uweze kujifunza. Kwanza hapa tunaongelea Genesis 1:1-3a.

Umeelewa?
Hujui hata unachosema.
Swali langu ni kutokana na reference uliyoomba, ambayo inahusu nilichokujibu. Wewe unaejua sana kasome tena ulipoomba reference kulikuwa na Gen 1:1??

Wewe mwelevu hiyo Gene 1:1 inaongelea council of Nicaea?
Jenga hoja, usilazimishe unachotaka kusikia.
 
Acha hasira jikite kwenye mjadala.
 
Unaweza kunionyesha hata neno moja la hasira kwenye hiyo quote.?
Jibu swali Gene 1:1 imeongelea Council of Nicaea??
Tatizo lako mzee unarukia tu bila hata context. Unajua issue na Council of Nicaea ilitokea wapi?
Check Screenshot hii kutoka kwenye page 1. Nenda kasome #13
Napia acha kurukia mada tu bila hata kujua context ya mtu alichokuwa anakiuliza. Mbona aliyetoa hoja hiyo baada ya kumjubu alilidhika na ku LIKE comment yangu?

Hebu naomba nieleze shida yako ni nini hasa

1721059192011.png
 
Back
Top Bottom