yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,228
- 2,234
🙏Soma Kutoka 21 : 20 – 21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏Soma Kutoka 21 : 20 – 21
You're trying to defend the indefensible. I don't know if those are the verses that Salman Rushdie referred to as the Satanic Verses in his book that came to be condemned by many muslims worldwide.In order to comprehend these verses, read them carefully and finish the lines, not just to separate them for your own purposes.
What is the relationship between Muslims and satanic verses, can you explain it?You're trying to defend the indefensible. I don't know if those are the verses that Salman Rushdie referred to as the Satanic Verses in his book that came to be condemned by many muslims worldwide.
😂😂🙌🙌Habari wadau.
Kuna mistari ya biblia inanichanganya. Mungu mwenye upendo anatoa maagizo kupitia biblia yasiyoendana na upendo wake.
View attachment 3023751
The old testament was incomplete and the new testament came to complete it so those verses in the old testament are overruled by the new testament. I hope that is in order.What about the New Testament?
Unfortunately, there is no equality between human beingsin Christianity! Christians like to think that the Bible honors all human beings andloves all human beings, but the reality proves otherwise.
Let us look at Galatians 4:28-31 "Now you, brothers,like Isaac, are children of promise. At that time the son born in the ordinary way persecuted the son born by the power of the Spirit. It is the same now. But what does the Scripture say? 'Get rid of the slave woman and her son, for the slave woman's son will never share in the inheritance with the free woman's son.' Therefore, brothers, we are not children of the slave woman, but ofthe free woman."
This verse from the New Testament despises children who are born from slave mothers. This verse doesn't recognize children born from slave mothers as normal sons because they are not allowed toinherit. This verse doesn't recognize slaves as equal to normal human beings. This verse agrees fully 100% with slavery and enslaving people.
Let us look at Philemon 15-19
"Perhaps the reason hewas separated from you for a little while was that you might have him back for good nolonger as a slave, but better than a slave, as a dear brother. He is very dear to me but even dearer to you, both as a man and as a brother in the Lord. So if you consider me a partner, welcome him as you would welcome me. If he has done you any wrong or owes you anything, charge it to me. I, Paul, am writing this with my own hand. I will pay it back not to mention that you owe me your very self."
This verse is another proof that the Bible
(1) Looks as slaves assub humans or animals as was shown in Exodus 23:12 andLeviticus 25:46,
(2) A slave is a despised person that he will never ever be recognized as a normal human being unless he becomes a Christian. If the slave refuses to become a Christian, then he will never gain his freedom, and he will never be even looked at as a human being; he must always be treated as an animal by the Christians.
Let us look at 1 Corinthians 7
"Were you a slave whenyou were called? Don't let it trouble you although if you can gain your freedom, do so. For he who was a slave when he was called by the Lord is the Lord's freedman;similarly, he who was a free man when he was called is Christ's slave." In this verse, Paul was asking the person "Were you aslave?" meaning Were you something bad and not normal?
Also "...if youcan gain your freedom, do so... (1 Corinthians 7)" which means that the New Testament will not help anyone nor will call any Christian to fight for the rights of any slave to be freed. The slave will simply have to either live as a slave and die as a slave,or fight for his freedom against Christians.
Let us look at 1 Timothy 6:1
"All who are under the yoke of slavery should consider their masters worthy of full respect, so that God's name and our teaching may not be slandered."
Matthew 10:24
"A student is not greater than the teacher. A slave is not greater than the master."
Let us look at 1 Peter 2:18
"Slaves,submit yourselves to your masters with all respect, not only to those who are good and considerate, but also to those who are harsh."
Let us look at Colossians 3:22
"Slaves,obey your earthly masters in everything; and do it, not only when their eye is on you and to win their favor, but with sincerity of heart and reverence for the Lord."
Well, you can get the answer from your quoted verses in the Quran.What is the relationship between Muslims and satanic verses, can you explain it?
Waafrika ni bogus sana yaani mnadanganywa sana na hizo hadithi kama za sungura na kobe na kuamini utamaduni wa wengine na kuacha wa wenu.Kwanini wayahudi sio wakristo ,wao Wana Soma Torah yao na sio biblia haf nyinyi mnasema agano la kale Ni lao?
Ndo Mana huwa nawwambia wakristo biblia ilikuwa Ni biblia Ni injili iliyogeuzwa na iliwahusu wayahudi tu mnabisha .mungu katuma mtume kwa wayahudi nyinyi mnamng'ang'ania.
Amri kumi zikuwa za wayahudi ,wale vichwa vigumu nyinyi mnazing'ang'ania .
Bora sisi qurani yenyew inasema mtume MUHAMMAD Ni rehema kwa walimwengu wote kutoka kwa mungu manake anawahusu watu wote,pia inasema na hatukumtuma mtume MUHAMMAD Ila Ni kwa ulimwengu mzima.
That will be a wastage of time because it won't change the gist inherent in the verses.In order to comprehend these verses, read them carefully and finish the lines, not just to separate them for your own purposes.
Ok, but Quran is the Holy book and it doesn't have any relation to what you call satanic, if you believe that, it's up to you MrWell, you can get the answer from your quoted verses in the Quran.
That is your opinion, I respect it and I had nothing to say about it.That will be a wastage of time because it won't change the gist inherent in the verses.
You're very right because any book is considered holy only by those who believe in it.Ok, but Quran is the Holy book and it doesn't have any relation to what you call satanic, if you believe that, it's up to you Mr
Absolutely, we must respect others beliefs even though they differ with oursYou're very right because any book is considered holy only by those who believe in it.
Mtume aliwagonga na nini hao watumwa jamani ebu fafanua..?
ur talk non sence agano la kalena jipya ni tafaut sana tu labda we umenakilishwa i have big bible agano la kale na iyo wakristo wenye mahaba hawatak kuisoma ina vtu vng sana vyakufanana na waislam mfano sinagog yesu aliosha mikon miguu kchwa akavua viatu kuna makataxo ya kula nguruwe yan agano la kale ht wale kina mazinge km ushawah skia mihadhara km ulkua mkubwa kpnd cha 97 to 2003 mkapa alipga marufuk mihadhara ya wakristo na waislam ajil wakristo walkua wanapgwa maswal na kitab chao iko iko na kina mazinge wanashindwa ndiomana kuna maagano mapya kila siku nia ni ku edit mamb magum...mr si coment tena nmekuelez vng km mwelew utaelew download playstre ipo biblia agano la kale uwe unaptia ptia utaon jns gn inapngan na mamb meng ya wakrsto wa leo wanaosoma iz mpya mfano mzur mze wa upako msklize utaona ana tafaut na wakristo wenzie ajil ye anafat agano la kale san....dalil kubw iko ktab ni cha kuletw n jahaz kina version mpya kila miaka na dalil kubwa iko kitb kina wa fea wana wa islael ajil ndio waandsh mfan mdog tafta askof kbs au padri mweny digrii mia awez kukalili page mbil za biblia ila wapo watoto wa miaka mi5 amecrem juzuu nzima na wapo waliobeba msahaf mzima kichwan anasoma apitish hat heruf 1 iyo ni dalil kubwa kitab hakina shida kinabadilishwa karatas tu na cover ila maandsh yle yle na likitiw andish ht 1 mwandsh akikosea kweny kukop wakisoma watu wa2 tu wanaona tafaut ipo wapMachapisho mapya hayaondoi maana bali urahisishwa katika lugha nyepesi ili watu wayaelewe maandiko but hakuna kinachobadilishwa bali ni tafsiri tu yenye maana ile ile.
Mfano nani leo anaweza elewa maana ya Manteno haya bila tafsiri.
.Jimbi akawika.....jogoo
.Kenda........
Baada ya kuchwa tatu... Baada ya siku tatu
.Ikawa asubuhi ikawa jioni,merikebu,mshipi,ngamia,sinagogi,kadhi,liwali,daari nk.
Maandiko hayakatazwi kutafsiriwa lengo watu wapate injili
Akibaki hai siku moja au mbili mchizi hata adhibiwa.
Tusharuhusiwa tuwapige ilimradi wasidediKusoma Biblia na kuielewa kunahitaji mtu awe na uwezo mkubwa kichwani.
Kwa tasfiri ya kileo mtumwa ni mtumishi, je watumidhi hawaadhibiwi kadiri ya taratibu?
Na pia kutokutoa adhabu stahiki si kipimo cha upendo ndg.
Kuna tofauti ya jew na chistian? Kama ipo wepi wako wengi huko israel?Jesus was not killed by Jews he judged by a Roman Judge Ponsio Pilate and was killed by Romans soldiers revise your notice
No jew judged him or killed him
Revise your classroom notice
Bado hujafafanua huo mstari wa kuwadunda ili mradi wasife, na lengo la mtoa mada ni ufafanuzi tu, mkuu tufafanulie hiyo basi.Usisome biblia kama gazeti,unapotea, bible isome na ujue muktadha wa kilichoandikwa, ilikuwa mazingira gani! Hapo ndio kuna pastors wenye theologia, wanakufafanulia.
Nikupe mfano, imeandikwa mamlaka zote zinatoka juu, alisema Paul!
Ukusoma kama ulivyo, utasema hata Idi amini,au taliban ni mamlaka kutoka juu!
Paul aliandika hivyo,akiwa amekamatwa anaperekwa Rome, ili kujiokoa na utawala dhalimu, ikabidi awe chawa tu, amwage misifa kwa Warumi! Kwamba kila mamlaka zinatoka juu! Lazima zieshimiwe
Narudia kusema tena kama biblia ni ya kwel nina asilimia 99 wazungu wangekiweka mbal sana na mwafrica! Kama wanavyotufichia vitab vyo vya technology! Huwez kuona kitabu chochote cha maana nilichotengezewa na mzuku kikawa translated na All african language utona biblia na vyengine mchwara iyo biblia ni program wanayolishwa africa weus kuuusahau uwezo wakeHabari wadau.
Kuna mistari ya biblia inanichanganya. Mungu mwenye upendo anatoa maagizo kupitia biblia yasiyoendana na upendo wake.
View attachment 3023751