Biblia inasema ni ruksa kumpiga mtumwa wako. Mungu mwenye upendo ananichanganya

Biblia inasema ni ruksa kumpiga mtumwa wako. Mungu mwenye upendo ananichanganya

Bado hujafafanua huo mstari wa kuwadunda ili mradi wasife, na lengo la mtoa mada ni ufafanuzi tu, mkuu tufafanulie hiyo basi.

Haijasema ni ruksa kupiga mtumwa, acheni kupindisha.
Sio kama nyie kwenye ugaidi wa kiislamu mumepewa maagizo kabisa ya kuchinja kwa kukata kichwa yeyote asiyeabudu matambiko ya mwarabu.
Hii hapa tena ipo wazi bila kupindisha
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
 
Attachments

  • IMG_3446.png
    IMG_3446.png
    6.3 MB · Views: 5
ur talk non sence agano la kalena jipya ni tafaut sana tu labda we umenakilishwa i have big bible agano la kale na iyo wakristo wenye mahaba hawatak kuisoma ina vtu vng sana vyakufanana na waislam mfano sinagog yesu aliosha mikon miguu kchwa akavua viatu kuna makataxo ya kula nguruwe yan agano la kale ht wale kina mazinge km ushawah skia mihadhara km ulkua mkubwa kpnd cha 97 to 2003 mkapa alipga marufuk mihadhara ya wakristo na waislam ajil wakristo walkua wanapgwa maswal na kitab chao iko iko na kina mazinge wanashindwa ndiomana kuna maagano mapya kila siku nia ni ku edit mamb magum...mr si coment tena nmekuelez vng km mwelew utaelew download playstre ipo biblia agano la kale uwe unaptia ptia utaon jns gn inapngan na mamb meng ya wakrsto wa leo wanaosoma iz mpya mfano mzur mze wa upako msklize utaona ana tafaut na wakristo wenzie ajil ye anafat agano la kale san....dalil kubw iko ktab ni cha kuletw n jahaz kina version mpya kila miaka na dalil kubwa iko kitb kina wa fea wana wa islael ajil ndio waandsh mfan mdog tafta askof kbs au padri mweny digrii mia awez kukalili page mbil za biblia ila wapo watoto wa miaka mi5 amecrem juzuu nzima na wapo waliobeba msahaf mzima kichwan anasoma apitish hat heruf 1 iyo ni dalil kubwa kitab hakina shida kinabadilishwa karatas tu na cover ila maandsh yle yle na likitiw andish ht 1 mwandsh akikosea kweny kukop wakisoma watu wa2 tu wanaona tafaut ipo wap
Upako sio biblia,agano la kale ni maisha kabla ya Yesu jipya ni baada ya Yesu.toka lini asiye Mkristo akailewa biblia, Biblia sio kitabu cha kukariri bali kujifunza na kuelewa na kuishi.lugha ubadilika kulingana na wakati na mazingira ya eneo hivyo tafsiri haiwezi kuwa sawa tafsiri haibadilishi maana ya awali.
 
Kiazi toka pande za kilifi, biblia haijasema muwadunde bali imesema nini? Wewe unaweza kuongea na mtu hadi akafa kwa maneno? Ndiomaana kuna padri katoa mchongo wa kuuwa albino

Back
Top Bottom