Biblia inasema ni ruksa kumpiga mtumwa wako. Mungu mwenye upendo ananichanganya

In order to comprehend these verses, read them carefully and finish the lines, not just to separate them for your own purposes.
You're trying to defend the indefensible. I don't know if those are the verses that Salman Rushdie referred to as the Satanic Verses in his book that came to be condemned by many muslims worldwide.
 
You're trying to defend the indefensible. I don't know if those are the verses that Salman Rushdie referred to as the Satanic Verses in his book that came to be condemned by many muslims worldwide.
What is the relationship between Muslims and satanic verses, can you explain it?
 
The old testament was incomplete and the new testament came to complete it so those verses in the old testament are overruled by the new testament. I hope that is in order.
 
Waafrika ni bogus sana yaani mnadanganywa sana na hizo hadithi kama za sungura na kobe na kuamini utamaduni wa wengine na kuacha wa wenu.

Naamini kabisa kile kipimo cha IQ RATING kinachosema kwamba IQ ya mtu mweusi ndio ndogo sana kushinda ya jamii zote duniani. That research is 100% correct.
 
In order to comprehend these verses, read them carefully and finish the lines, not just to separate them for your own purposes.
That will be a wastage of time because it won't change the gist inherent in the verses.
 
Well, you can get the answer from your quoted verses in the Quran.
Ok, but Quran is the Holy book and it doesn't have any relation to what you call satanic, if you believe that, it's up to you Mr
 
Ok, but Quran is the Holy book and it doesn't have any relation to what you call satanic, if you believe that, it's up to you Mr
You're very right because any book is considered holy only by those who believe in it.
 
ur talk non sence agano la kalena jipya ni tafaut sana tu labda we umenakilishwa i have big bible agano la kale na iyo wakristo wenye mahaba hawatak kuisoma ina vtu vng sana vyakufanana na waislam mfano sinagog yesu aliosha mikon miguu kchwa akavua viatu kuna makataxo ya kula nguruwe yan agano la kale ht wale kina mazinge km ushawah skia mihadhara km ulkua mkubwa kpnd cha 97 to 2003 mkapa alipga marufuk mihadhara ya wakristo na waislam ajil wakristo walkua wanapgwa maswal na kitab chao iko iko na kina mazinge wanashindwa ndiomana kuna maagano mapya kila siku nia ni ku edit mamb magum...mr si coment tena nmekuelez vng km mwelew utaelew download playstre ipo biblia agano la kale uwe unaptia ptia utaon jns gn inapngan na mamb meng ya wakrsto wa leo wanaosoma iz mpya mfano mzur mze wa upako msklize utaona ana tafaut na wakristo wenzie ajil ye anafat agano la kale san....dalil kubw iko ktab ni cha kuletw n jahaz kina version mpya kila miaka na dalil kubwa iko kitb kina wa fea wana wa islael ajil ndio waandsh mfan mdog tafta askof kbs au padri mweny digrii mia awez kukalili page mbil za biblia ila wapo watoto wa miaka mi5 amecrem juzuu nzima na wapo waliobeba msahaf mzima kichwan anasoma apitish hat heruf 1 iyo ni dalil kubwa kitab hakina shida kinabadilishwa karatas tu na cover ila maandsh yle yle na likitiw andish ht 1 mwandsh akikosea kweny kukop wakisoma watu wa2 tu wanaona tafaut ipo wap
 
Kusoma Biblia na kuielewa kunahitaji mtu awe na uwezo mkubwa kichwani.
Kwa tasfiri ya kileo mtumwa ni mtumishi, je watumidhi hawaadhibiwi kadiri ya taratibu?
Na pia kutokutoa adhabu stahiki si kipimo cha upendo ndg.
Tusharuhusiwa tuwapige ilimradi wasidedi
 
Jesus was not killed by Jews he judged by a Roman Judge Ponsio Pilate and was killed by Romans soldiers revise your notice

No jew judged him or killed him

Revise your classroom notice
Kuna tofauti ya jew na chistian? Kama ipo wepi wako wengi huko israel?
 
Bado hujafafanua huo mstari wa kuwadunda ili mradi wasife, na lengo la mtoa mada ni ufafanuzi tu, mkuu tufafanulie hiyo basi.
 
Habari wadau.

Kuna mistari ya biblia inanichanganya. Mungu mwenye upendo anatoa maagizo kupitia biblia yasiyoendana na upendo wake.

View attachment 3023751
Narudia kusema tena kama biblia ni ya kwel nina asilimia 99 wazungu wangekiweka mbal sana na mwafrica! Kama wanavyotufichia vitab vyo vya technology! Huwez kuona kitabu chochote cha maana nilichotengezewa na mzuku kikawa translated na All african language utona biblia na vyengine mchwara iyo biblia ni program wanayolishwa africa weus kuuusahau uwezo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…