Biblia inavyosema juu ya kuinuka kwa Uislam

Khan...!
Ana mguu kwani ?
Si wanasema hana mfano.
 
Nikupe tafsiri yake kutoka mtandao gani unaoamini nikuonyeshe kwamba we ni kilaza unatafsiri uongo na hauna elimu?


MAJINI yanakamata akili.

UNAULIZWA hili UNAJIBU Lile.

VITABU VILIVYO tangulia vipo WAPI????...


KUWENI MAKINI na Majini yanaharibu vichwa.
 
Kabla ya Muhammad Allah alidai alikuwa na mitume
Je Kuna mtume watu walikuwa wanatanguliza sadaka kabla ya kunuona

Yani muhammad alikuwa na consultation fee 😂🤣😂
 
MAJINI yanakamata akili.

UNAULIZWA Hili UNAJIBU Night.

VITABU VILIVYO tangulia vipo wapi???...


KUWENI MAKINI na Majini yanaharibu vichwa.
Mbona nimejibu na nimesoma ile ayah uliyatafsiri uongo.
vitabu ni vinne torat, zaburi, injili na quran.

Niambia bible ina vitabu vingapi ? na vimetoka wapi?
 
Kabla ya Muhammad Allah alidai alikuwa na mitume
Je Kuna mtume watu walikuwa wanatanguliza sadaka kabla ya kunuona

Yani muhammad alikuwa na consultation fee 😂🤣😂
je hizo sadaka walengwa ni wakina nan? na je mtume alipokea sadaka👇

Qur an 9:70

"Wa kupewa sadaka ni mafakiri, na masikini, na wanao zitumikia, na wa kutiwa nguvu nyoyo zao, na katika kukomboa watumwa, na wenye madeni, na katika Njia ya Mwenyezi Mungu, na wasafiri. Huu ni waajibu ulio faridhiwa na Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua Mwenye hikima"

 
Wakristo Kwa kudanganyana hamjambo

mbona historia na mandiko yapo Kwa nini Sasa mnadanganyana?

Bibilia yenyewe inakubali kuwa limechakachuliwa alafu wewe unakataa Kwa hiyo unapinga maandiko ya bibilia

Agano la kale limechakachuliwa

Yeremia 8:8
Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya Bwana tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.

NA AGANO JIPYA PIA LIMECHAKACHULIWA

kama ingekuwepo Injili yenye maneno original ya Yesu Luka asinge andika Injili Kwa kuuliza uliza watu na kutunga maneno ya kwake

Luka 1:1
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
Luka 1:2
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Luka 1:3
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,


KATIKA NJILI ZILIPO HAPA DUNIANI KWA SASA HAKUNA HATA INJILI MOJA ILIYOANDIKWA NA MWANAFUNZI WA YESU

We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning “seen together”—the parallels are clear when they are looked at side by side. Matthew and Luke follow the version of events in Mark, which is thought by scholars to be the earliest and most historically accurate Gospel. John, however, does not include the same incidents or chronology found in the other three Gospels, and the fact that it is so different has spurred a debate over whether John’s Gospel is historical or not, something that has been noted in Gospel of John commentary for hundreds—even thousands—of years.

Several hypotheses have attempted to explain why so much of Jesus’ life not portrayed in the Synoptics is present in John and vice versa. One hypothesis claims that John recorded many of the events that occurred before the arrest of John the Baptist, while the Synoptics all have Jesus’ ministry beginning only after the arrest. Another holds that John was written last, by someone who knew about the other three Gospels, but who wished to write a spiritual gospel instead of an historical one. This would mean that the person who wrote the Gospel of John would not have been a contemporary of Jesus, and therefore would not have been an eyewitness as the author claims. There is also the possibility that the author of John did not know of Mark and hence did not have the same information.


Kitabu Cha Luka kimeandikwa na mganga wa kienyeji

Kitabu Cha Mathayo kimeandikwa na Paulo maana kinafanana na kitabu Cha Matendo

Kitabu Cha Mariko kimeandikwa na mtu tu lakini sio Mariko yule mwanafunzi wa Yesu

Aliye andika kitabu Cha Yohana Hadi Leo hi hajulikani ni ametafutwa Dunia mzima hawakufanikiwa kujua jina lake Wala mahali alipoishi
Kitabu Cha Yohana kiliokotwa Egypt miaka 30 Baada ya Yesu kupaa

Kama wewe unamjua mwandishi aliyeandika kitabu Cha Yohana mtaje Dunia ikupe zawadi maana bado anatafutwa Hadi leo


Source ni website ya Cambridge university
 
Kumbuka baada ya Muhammad Kuweka consultation fee watu wakagoma kwenda kumuona

Akashusha verse nyingine kuwaambia kama hawana Allah anawaona miyoyoni 😂🤣🤣😂
 


MOHAMED ALILOGWA.
 
MJUE AISHA MKE MTOTO WA MIAKA SITA ALIYEOLEWA NA MWAMEDI. ANASIMULIA KABAMIA KA MWAMEDI.

'Aisha (Mwenyezi Mungu amrehem) aliripoti:
Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) alinioa
nikiwa na umri wa miaka sita, na nilipelekwa
nyumbani kwake nilipokuwa na umri wa miaka
tisa.

mengine mazito siwezi kuyaandika yote ikiwemo kumuendea Aisha kongwe akiwa na miaka sita.


('Aisha akiwa na umri wa miaka tisa ) Alikuwa akiingiliwa..........

HIVI HIZI NI AKILI KWELI?????
MTUME ALIKUWA NA AKILI KWELI.
 
Kumbuka baada ya Muhammad Kuweka consultation fee watu wakagoma kwenda kumuona

Akashusha verse nyingine kuwaambia kama hawana Allah anawaona miyoyoni 😂🤣🤣😂
Duh mzee wa sadaka ya kujimaliza hauna jipya kazi utapeli tu😅😅
 
MOHAMED ALIKUWA HAJUI KUSOMA.



Tatizo la kusoma.
AKAWASOMEA uongo.


هُوَ الَّذِي بَعَثَ فِي الْأُمِّيِّينَ رَسُولًا مِّنْهُمْ يَتْلُو عَلَيْهِمْ آيَاتِهِ وَيُزَكِّيهِمْ وَيُعَلِّمُهُمُ الْكِتَابَ وَالْحِكْمَةَ وَإِن كَانُوا مِن قَبْلُ لَفِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ

[ AL - JUMUA' - 2 ]
Yeye ndiye aliye mpeleka Mtume kwenye watu wasio jua kusoma, awasomee Aya zake na awatakase, na awafunze Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya haya walikuwa katika upotofu ulio dhaahiri.
 
Duh mzee wa sadaka ya kujimaliza hauna jipya kazi utapeli tu😅😅
Huyu alidanganya watu anagawana Mali na Allah 😂😂🤣🤣

Koran 58:12. Enyi mlio amini! Mnapo sema siri na Muhammad, basi tangulizeni sadaka kabla ya kusemezana kwenu.....

Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....
 
Bible ndo nn? Si kitabu cha kutunga kila mtu anasema yake[emoji28][emoji28][emoji28]yaani kila siku kinabdilishwa .

Ulion wapi huyo Mungu wenu akisali na wanafunzi wake?
Kimebadilishwa wapi? Nani amebadilisha? Amebadilisha lini na amebadilisha nini?

Nikikuambia uweke hapa mahali palipobadilishwa utaanza danadana zenu kama kawaida.
 
Yesu alisoma bible?[emoji28][emoji28]

Mbona mnakuwa wajinga angalia wenzio wanaenda kuhiji vatican na uingereza (aglican) badala ya israel ..


Huoni ujinga kabisa hapo unashikilia ujinga..[emoji28][emoji28]
Bible ni nini?
 
Qur an 8:1

"Wanakuuliza juu ya Nyara za vita. Waambie: "Nyara za vita ni za Mwenyezi Mungu na Mtume. Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na suluhisheni mambo yenu baina yenu, na mt'iini Mwenyezi Mungu na Mtume wake, ikiwa nyinyi ni waumini wa kweli."


Hoja yako ipo wapi? na hapa tunaongelea sadaka nishakuonyesha walengwa wanaopewa sadaka mbona unaruka-ruka yaani hoja za kitoto.

Ile ayah kwamba Bwana ni mume wenu ulikimbia ebu njoo na hoja za nguvu s😅😅
 
Kimebadilishwa wapi? Nani amebadilisha? Amebadilisha lini na amebadilisha nini?

Nikikuambia uweke hapa mahali palipobadilishwa utaanza danadana zenu kama kawaida.
Kuna ayah mpya sinakuja na old version sio ya sasa kamuulize mchungaji wake sio wewe mfuata mkumbo(kondoo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…