Biblia inavyosema juu ya kuinuka kwa Uislam

Kuna ayah mpya sinakuja na old version sio ya sasa kamuulize mchungaji wake sio wewe mfuata mkumbo(kondoo)
Unachekesha.

Yaani shutuma unaleta wewe halafu nikikuuliza ushahidi unadai nikamuulize mchungaji wangu?

Kwa nini usilete hapa huo ushahidi?

Niletee hapa Ushahidi.
Ni kina nani walibadili? Walibadili wapi? Walibadili nini? Mwanzo ilikuwaje na sasa wamebadili imekuwaje?

LETA USHAHIDI HAPA. Nausubiri
 
Unajua bible imeandikwa agano la kale na jipya unalijua hilo?
 
Jibu nilichokuuliza.

BIBLIA NI NINI?
Mshamba nn unaliza swali mara ngapi ? soma huko juu na wenzio nilishawaambia.

Huku kukusanya vitabu vyenu kuweka kweny jalada moja au kitabu kimoja ndo mwanzo wa kuharibu..

Niambie vitabu vya Mungu vipo vingapi ?
 
Unajua bible imeandikwa agano la kale na jipya unalijua hilo?
Huo ndio ushahidi?

Nimekuambia UNIPE USHAHIDI wa Biblia Iliyobadilishwa.

Naona unajizungusha-zungusha.

LETA HAPA USHAHIDI WA BIBLIA ILIYOBADILISHWA.
 
Mshamba nn unaliza swali mara ngapi ? soma huko juu na wenzio nilishawaambia.

Huku kukusanya vitabu vyenu kuweka kweny jalada moja au kitabu kimoja ndo mwanzo wa kuharibu..

Niambie vitabu vya Mungu vipo vingapi ?
Na utapanick sana tu.

Nakuuliza. BIBLIA NI NINI?
 
Huo ndio ushahidi?

Nimekuambia UNIPE USHAHIDI wa Biblia Iliyobadilishwa.

Naona unajizungusha-zungusha.

LETA HAPA USHAHIDI WA BIBLIA ILIYOBADILISHWA.
Unajua siku ya sabato ? kwa nini mnatofautiana katika mkanisa siku ya sabato?

kwenu torat mnasema ni agano la kale na halina kitu lilikuwa kwa wana israel tu ...sasa kata torat mnasoma tu kama kumbukumbu je yesu alishushwa katika jamii gani na nyie ni wa wapi ( yaani wewe je wewe ni mwanaisreal)
 
Na utapanick sana tu.

Nakuuliza. BIBLIA NI NINI?
Ebu soma huko juu naona unakurupuka na kurudi nyuma walimu wako wote washakaa kimya 😅😅😅.

Bible ni mkusanyiko wa vitabu vingi kuvifanya kuwa kimoja ...Hata nichukue kitabu cha biology , chemistry ,physics nikuunganisha pamoja vikawa kitabu kimoja ni Bible .

Kwa maana hiyo Bible haipo kweny vitabu vya Mungu vinavyojulikana sema mmekusanya vitabu zaidi ya 50 hata vingine hujui vimetoka wapi ndo mnasema Biblia ndo maana kuna ukinzani baina ya masimulizi yenu
.
 
Unajua siku ya sabato ? kwa nini mnatofautiana katika mkanisa siku ya sabato?

kwenu torat mnasema ni agano la kale na halina kitu lilikuwa kwa wana israel tu ...sasa kata torat mnasoma tu kama kumbukumbu je yesu alishushwa katika jamii gani na nyie ni wa wapi ( yaani wewe je wewe ni mwanaisreal)
Hao wanaotofautiana siku ya Sabato Wamebadilisha Biblia?

Nimekutaka unioneshe BIBLIA ILIYOBADILISHWA kwa ushahidi.

BIBLIA imebadilishwa wapi? Na kina nani wamebadilisha? Origino ilikuwaje na hiyo iliyobadilishwa imekuwaje?

Hebu Acha blah blah...unatia aibu. JIBU SWALI.
 
Angalia vitabu vilivyopo kweny agano la kale na la sasa then jiulize agapo la kale lilikuwa na vitabu sawa na vya sasa then niambie hivyo vitabu vimetoka wapi?
 
Ebu soma huko juu naona unakurupuka na kurudi nyuma walimu wako wote washakaa kimya [emoji28][emoji28][emoji28].

Bible ni mkusanyiko wa vitabu vingi kuvifanya kuwa kimoja ...Hata nichukue kitabu cha biology , chemistry ,physics nikuunganisha pamoja vikawa kitabu kimoja ni Bible .

Kwa maana hiyo Bible haipo kweny vitabu vya Mungu vinavyojulikana sema mmekusanya vitabu zaidi ya 50 hata vingine hujui vimetoka wapi ndo mnasema Biblia ndo maana kuna ukinzani baina ya masimulizi yenu
.
Kwanza hapa unazungumzia Mungu yupi?

Mungu Alah au Mungu Jehovah?

Kwa sababu mungu alah yeye vitabu vyake alishapoteza.

Unazungumzia mungu yupi kwanza hapa?
 
Angalia vitabu vilivyopo kweny agano la kale na la sasa then jiulize agapo la kale lilikuwa na vitabu sawa na vya sasa then niambie hivyo vitabu vimetoka wapi?
Nimekuambia LETE USHAHIDI HAPA.

Sio unanituma nikaangalie...wewe uliyesha-angalia WEKA USHAHIDI HAPA.

Wewe si umeshaangalia na una ushahidi?
Sasa Weka Ushahidi hapa wa Biblia iliyobadilishwa.
 
Kwanza hapa unazungumzia Mungu yupi?

Mungu Alah au Mungu Jehovah?

Kwa sababu mungu alah yeye vitabu vyake alishapoteza.

Unazungumzia mungu yupi kwanza hapa?
😅😅😅jehovah ndo kidude gani si maana tu mlivyokariri labda una maanisha Dajjal ? si misemo tu

jehovah ndo huyo mweny utatu

Jaribu kusoma ndo uje maana hata Mungu humjui naona .
 
[emoji28][emoji28][emoji28]jehovah ndo kidude gani si maana tu mlivyokariri labda una maanisha Dajjal ? si misemo tu

jehovah ndo huyo mweny utatu

Jaribu kusoma ndo uje maana hata Mungu humjui naona .
Ukishamaliza kujichekelesha, urejee swali langu.

Nimekuuliza... huyu mungu unayemzungumzia hapa ni Yehova au ni Alah?
 
Nimekuambia LETE USHAHIDI HAPA.

Sio unanituma nikaangalie...wewe uliyesha-angalia WEKA USHAHIDI HAPA.

Wewe si umeshaangalia na una ushahidi?
Sasa Weka Ushahidi hapa wa Biblia iliyobadilishwa.
Nakuuliza maswlai hujibu yaani hujui chochote😅😅😅.

Agano la kale vitabu 39
Agano jipya vitabu 27

Huoni tofauti😅😅?

Katika agano jipya kuna vitabu 13 kati ya 27 vya paulo huyo ndo mwanzilishi wa huuu ukristo uko italy na uingereza .
 
Hoja yako ipo wapi?
Tunajua nusu ya pedophile Muhammad aliibonya na katoto Aisha
Swali nusu ya Allah , Allah alikuwa anaipokea vipi ? Jibril alikuwa anampelekea au ilikuwaje?

Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....
 
Ukishamaliza kujichekelesha, urejee swali langu.

Nimekuuliza... huyu mungu unayemzungumzia hapa ni Yehova au ni Alah?
Screenshot_20230521-162034.png
 
Tunajua nusu ya pedophile Muhammad aliibonya na katoto Aisha
Swali nusu ya Allah , Allah alikuwa anaipokea vipi ? Jibril alikuwa anampelekea au ilikuwaje?

Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....
Mbona huelweki jamani 😅.

👇
Alikuwa anaambiwa naona unaumia sana ukiambiwa Qur an i
 
Nakuuliza maswlai hujibu yaani hujui chochote[emoji28][emoji28][emoji28].

Agano la kale vitabu 39
Agano jipya vitabu 27

Huoni tofauti[emoji28][emoji28]?

Katika agano jipya kuna vitabu 13 kati ya 27 vya paulo huyo ndo mwanzilishi wa huuu ukristo uko italy na uingereza .
Mimi hunitoi kwenye reli kirahisi.

Nimekutaka unioneshe BIBLIA ILIYOBADILISHWA.

Biblia ILIYOBADILISHWA iko wapi? Ilibadilishwa na nani?
Ilibadilishwa lini?
Biblia iliyobadilishwa iko wapi nikitaka kuiona?
 
Back
Top Bottom