CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Biblie ni kitabu cha Mungu ?
Kuna mikono ya watu zaidi ya 40 kila mtu anasema lake ndo maana baadhi ya aya zinapishana mara huyu ni yesu ni Mungu alikufa msalabani ,Yule anasema hakuna binadamu atakufa kwa dhambi za mwingine.
Bible ni ya kutunga na haikidhi uhalisia ndo maana inafanyiwa manipulation ya baadhi ya sheria..
Mna agano la kale na jipya hapa mmefanya update kama..
Swali hutowezka kujibu hata uende vatican👇👇
Nionyeshe wapi yesu alisoma bible au alipewa kitabu kinaitwa bible?
QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.
QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN
1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????
2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????
JIBU NI SHETANI.
SITAMANI WAKRISTO JIJIFANANISHE NA HILO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.