Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Sasa hapo kuna mkanganyiko gani?Mtoa post
Inaonekana unaiamini quaran sana na unaamini haina mkanganyo
Soma quaran 19:1
Njoo utuambie maana yake ili tujue kuwa quaran ya mudy mwarabu imenyooka.
Bible ni kama fumbo, fumbo lenye kumfanaya binadamu kuujua ukweli uliomo ndani yake
View attachment 3599530
Ona picha hii kwenye hii video, ni Taswira ya Biblia kwa njia ya picha. Mtandao tata kabisa wa uhusiano uliopo ndani ya Biblia.
Kitabu kilichoandikwa kwa miaka zaidi ya 1500 na watu zaid ya 40, ndiyo kinafanana hivi!
Kushoto kwenda kulia ni chapter moja moja Kuanzia Mwanzo hadi Ufunuo.
Hiyo mistari (arcs, upinde) ni mistari inayounganisha maandiko yake kwa kufuatilia marejeleo yake:
Yaani andiko hili lilinukuliwa hapa au kutimiza unabii uliotolewa katika kitabu au mstari huu wa awali. Zaidi ya marejereleo 63,700!
View: https://youtu.be/2VZLH35sPjo?si=Clg1ylcNwF9fWinR
Kinafanana wakati humo kuna watu wametaja idadi tofauti kwa matukio sawaView attachment 3599530
Ona picha hii kwenye hii video, ni Taswira ya Biblia kwa njia ya picha. Mtandao tata kabisa wa uhusiano uliopo ndani ya Biblia.
Kitabu kilichoandikwa kwa miaka zaidi ya 1500 na watu zaid ya 40, ndiyo kinafanana hivi!
Kushoto kwenda kulia ni chapter moja moja Kuanzia Mwanzo hadi Ufunuo.
Hiyo mistari (arcs, upinde) ni mistari inayounganisha maandiko yake kwa kufuatilia marejeleo yake:
Yaani andiko hili lilinukuliwa hapa au kutimiza unabii uliotolewa katika kitabu au mstari huu wa awali. Zaidi ya marejereleo 63,700!
View: https://youtu.be/2VZLH35sPjo?si=Clg1ylcNwF9fWinR
umenipa maelezo mengi ila haujajibu swali nililo ulizaBiblia Ina vitabu 73 agano la kale lina vitabu 46 pamoja na vitabu 7 vya deuterokanoni na maudhui ya ziada ya deuterokanoniki katika vitabu 2 agano jipya Lina vitabu 27 ili uilewe DINI ni lazima ujifunze fasihi teule ya uandishi Kisha theolojia level 1-7, ili uilewe theolojia ni lazima ujifunze falsafa, ili uielewe falsafa ni lazima ujifunze saikolojia na ili uisimike DINI ni lazima utumie saikolojia pumbazi a.k.a ujasusi wa vita ya akili na hisia baada ya kufundishwa Kitu kiitwacho mantic, sayansi ya lugha, historia ya Dini, utawala + occultism (elimu ya siri hii ni kwa viongozi wa juu katika DINI/forbidden knowledge) mtu huyu anakuwa kwenye level ya 7 ya walimwengu hivyo utambuzi wake ni tofauti na mbumbumbu ambaye akiambiwa habari ya bustani ya Eden ama Yesu alizaliwa bila sex ama alipaa anachukua kama ilivyo😁 Ila hawa wabobezi ndio wanakuwa mawakala wa kupotosha umati wa Dunia yetu wakihakikishiwa mkate/good life.
Biblia haina mkanganyiko wowote. Mkanganyiko upo kwenye akili yako. Umechanganyikiwa akili, ndiyo maana hujitambui. Ninyi si mmefanywa kuwa marafiki wa shetani na ì, unadhani shetani atakubali akuache ubakie na akili timamu wakati anataka akupeleke jehanamu bila ya weqe kujitambua?
Pia inasema:"Mwe tayari siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu, lakini kwa upole na hofu." 1 Petro 3:15
Na tena:"Mtumishi wa Bwana hana budi kushindana; bali awe mpole kwa watu wote." 2 Timotheo 2:24
"Kila mtu na awe mwepesi wa kusikia, si mwepesi wa kusema, wala wa hasira." Yakobo 1:19
"Jaribuni mambo yote; lishikeni lililo jema." 1 Wathesalonike 5:21
Kwani mtoa mada haupendi mafundisho mazuri ya kwenye Biblia ?
Kama hili
Mathayo (Mat) 19:19
Waheshimu baba yako na mama yako, na, Mpende jirani yako kama nafsi yako.
Honour thy father and thy mother: and, Thou shalt love thy neighbour as thyself.
haikuanza na Yesu. Ilikuwepo tayari katika Kutoka 20:12 na pia Qur'an imeamrisha kuwafanyia wema wazazi (Qur'an 17:23-24)."Waheshimu baba yako na mama yako"
pia ilikuwepo kabla ya Yesu katika Mambo ya Walawi 19:18."Mpende jirani yako kama nafsi yako"
Hilo pia ndilo fundisho kuu la Qur'an: kumuabudu Mungu Mmoja bila kumshirikisha na kumfanya Yesu kuwa ni Mungu wakati yeye mwenyewe anasema Bwana Mungu wetu . Huko ni kujichanganya"Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja."
— Marko 12:29
Uliloulizwa hujalijibu , hata hivyo mimi nakujibu kwa hicho ulichokiandikaBiblia Ina vitabu 73 agano la kale lina vitabu 46 pamoja na vitabu 7 vya deuterokanoni na maudhui ya ziada ya deuterokanoniki katika vitabu 2 agano jipya Lina vitabu 27 ili uilewe DINI ni lazima ujifunze fasihi teule ya uandishi Kisha theolojia level 1-7, ili uilewe theolojia ni lazima ujifunze falsafa, ili uielewe falsafa ni lazima ujifunze saikolojia na ili uisimike DINI ni lazima utumie saikolojia pumbazi a.k.a ujasusi wa vita ya akili na hisia baada ya kufundishwa Kitu kiitwacho mantic, sayansi ya lugha, historia ya Dini, utawala + occultism (elimu ya siri hii ni kwa viongozi wa juu katika DINI/forbidden knowledge) mtu huyu anakuwa kwenye level ya 7 ya walimwengu hivyo utambuzi wake ni tofauti na mbumbumbu ambaye akiambiwa habari ya bustani ya Eden ama Yesu alizaliwa bila sex ama alipaa anachukua kama ilivyo😁 Ila hawa wabobezi ndio wanakuwa mawakala wa kupotosha umati wa Dunia yetu wakihakikishiwa mkate/good life.
Na Paulo aliandika:"Ninakushukuru Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga." Mathayo 11:25
Kama ni lazima mtu ajifunze occultism, elimu za siri, saikolojia ya vita ya akili na ngazi nyingi za falsafa ili aelewe dini, basi kwa nini Yesu aliwahubiria wavuvi, wakulima na watu wa kawaida?"Si wengi wenye hekima kwa jinsi ya mwili walioitwa." 1 Wakorintho 1:26
Hakuna sababu ya uwepo wa maagano mbalimbali Mpaka karne ya tatu au mwishoni mwa karne ya pili biblia haikuwa na sura wala verses zilizopangwa kama leo wala hakukuwa na maagano yaani agano la kale wla jipya ila yamewekwa na vikao maalumu..hivi unajua sababu kwanza ya kuwepo agao jipya na la kale kwenye biblia?
BIBLIA ni Kitabu cha Historia ya Ulimwengu huu.
Ukweli wa ulimwengu huu.
View attachment 3599523
Vitabu 66. Waandishi 40. Miaka 1,500.
Lakini ni simulizi moja, sauti moja, ujumbe mmoja!
Hakuna kitabu kingine duniani kinachofanana na hiki! HAKUNA!
Miunganiko hii 63,779 si jambo la ustadi wa kawaida tu! Haiwezekani kuratibiwa kwa usahihi huo wote! ! ! !
Isipokuwa kama Mwandishi wake ni Mungu Mwenyewe.
View attachment 3599524
Hii si sanaa! ! Ni ramani ya kuona ya Biblia.
Kila mstari ulio chini unawakilisha sura moja.
Kadiri mstari unavyokuwa mrefu, ndivyo sura hiyo inavyounganishwa na mistari mingi zaidi!
Mikunjo iliyo juu inaunganisha mistari ya Biblia kupitia unabii, ishara, au mada zinazofanana.
Rangi zinaonyesha umbali kati ya mistari inayounganishwa: Rangi za baridi zinaonyesha mistari iliyo karibu, Rangi za joto zinaonyesha mistari iliyo mbali zaidi.
Unachokiona si jambo la bahati nasibu.
Ni alama ya kipekee ya Mwandishi wa Kimungu.
View attachment 3599527
Biblia Ina vitabu 73 agano la kale lina vitabu 46 pamoja na vitabu 7 vya deuterokanoni na maudhui ya ziada ya deuterokanoniki katika vitabu 2 agano jipya Lina vitabu 27 ili uilewe DINI ni lazima ujifunze fasihi teule ya uandishi Kisha theolojia level 1-7, ili uilewe theolojia ni lazima ujifunze falsafa, ili uielewe falsafa ni lazima ujifunze saikolojia na ili uisimike DINI ni lazima utumie saikolojia pumbazi a.k.a ujasusi wa vita ya akili na hisia baada ya kufundishwa Kitu kiitwacho mantic, sayansi ya lugha, historia ya Dini, utawala + occultism (elimu ya siri hii ni kwa viongozi wa juu katika DINI/forbidden knowledge) mtu huyu anakuwa kwenye level ya 7 ya walimwengu hivyo utambuzi wake ni tofauti na mbumbumbu ambaye akiambiwa habari ya bustani ya Eden ama Yesu alizaliwa bila sex ama alipaa anachukua kama ilivyo😁 Ila hawa wabobezi ndio wanakuwa mawakala wa kupotosha umati wa Dunia yetu wakihakikishiwa mkate/good life.
Kwani mtoa mada haupendi mafundisho mazuri ya kwenye Biblia ?
Kama hili
Mathayo (Mat) 19:19
Waheshimu baba yako na mama yako, na, Mpende jirani yako kama nafsi yako.
Honour thy father and thy mother: and, Thou shalt love thy neighbour as thyself.
Biblia Ina vitabu 73 agano la kale lina vitabu 46 pamoja na vitabu 7 vya deuterokanoni na maudhui ya ziada ya deuterokanoniki katika vitabu 2 agano jipya Lina vitabu 27 ili uilewe DINI ni lazima ujifunze fasihi teule ya uandishi Kisha theolojia level 1-7, ili uilewe theolojia ni lazima ujifunze falsafa, ili uielewe falsafa ni lazima ujifunze saikolojia na ili uisimike DINI ni lazima utumie saikolojia pumbazi a.k.a ujasusi wa vita ya akili na hisia baada ya kufundishwa Kitu kiitwacho mantic, sayansi ya lugha, historia ya Dini, utawala + occultism (elimu ya siri hii ni kwa viongozi wa juu katika DINI/forbidden knowledge) mtu huyu anakuwa kwenye level ya 7 ya walimwengu hivyo utambuzi wake ni tofauti na mbumbumbu ambaye akiambiwa habari ya bustani ya Eden ama Yesu alizaliwa bila sex ama alipaa anachukua kama ilivyo😁 Ila hawa wabobezi ndio wanakuwa mawakala wa kupotosha umati wa Dunia yetu wakihakikishiwa mkate/good life.
BIBLIA ni Kitabu cha Historia ya Ulimwengu huu.
Ukweli wa ulimwengu huu.
View attachment 3599523
Vitabu 66. Waandishi 40. Miaka 1,500.
Lakini ni simulizi moja, sauti moja, ujumbe mmoja!
Hakuna kitabu kingine duniani kinachofanana na hiki! HAKUNA!
Miunganiko hii 63,779 si jambo la ustadi wa kawaida tu! Haiwezekani kuratibiwa kwa usahihi huo wote! ! ! !
Isipokuwa kama Mwandishi wake ni Mungu Mwenyewe.
View attachment 3599524
Hii si sanaa! ! Ni ramani ya kuona ya Biblia.
Kila mstari ulio chini unawakilisha sura moja.
Kadiri mstari unavyokuwa mrefu, ndivyo sura hiyo inavyounganishwa na mistari mingi zaidi!
Mikunjo iliyo juu inaunganisha mistari ya Biblia kupitia unabii, ishara, au mada zinazofanana.
Rangi zinaonyesha umbali kati ya mistari inayounganishwa: Rangi za baridi zinaonyesha mistari iliyo karibu, Rangi za joto zinaonyesha mistari iliyo mbali zaidi.
Unachokiona si jambo la bahati nasibu.
Ni alama ya kipekee ya Mwandishi wa Kimungu.
View attachment 3599527
Mi ninachojua MUNGU yupo.
Amri kumi zipo na zinajidhihirisha zenyewe.
Katika zote amri kuu ni UPENDO.
hayo mambo mengine yoooooooooooteee yapo hapo kwenye herufi kubwa hiii ya mwisho baaasi.
Ninaona kama hadithi za sungura, mf. Uumbaji wa kumfinyanga mtu kwa kutumia udongo, tena alianza na mwanaume, ni kwa nini asifinyange mwanaume na mwanamke kwa wakati mmoja? Ni kwa nini aliwadhalilisha wanawake? Eti mwanamke ni ubavu tu wa mwanaume! "Sidanganyiki " tumedanganywa kuwa "imani huhamisha mlima".Hivi kweli akili zenu zimefungwa na kufuli la Wazungu mpaka mmeshindwa kuona ukweli ulio wazi? Yaani hapa duniani hakuna kitu kinachochanganya na kuvuruga akili za watu kama hiki kitabu cha Wazungu!,
Yaani Biblia!.
Inakuwaje Mungu aliyeumba mbingu na ardhi, mwenye akili na mamlaka, aandike kitabu halafu ATUCHANGANYE kiasi hiki? Hivi mnamfanya Mungu ni mwandishi wa hadithi za abunuasi au ni nini? Mnataka kutuambia Mungu ni mbabaishaji kiasi hicho?
Angalia huu upuuzi! Wasabato wamekomalia kuishika siku ya Jumamosi, wanakuambia ukigusa kazi siku hiyo wewe ni dhambi! Dakika hiyo hiyo, wengine wanakuambia, "Acheni ushamba, Jumamosi ilikuwa ya Wayahudi, sasa hivi ni Jumapili, siku ya kufufuka!" Halafu wanakuja wengine wajuaji zaidi wanakuambia, "Ah, Sabato haihitaji siku, Sabato iko moyoni!"
Hivi mnatufanya sisi ni watoto wadogo? Mungu gani huyo anayetoa maelekezo ya siku ya kuabudu halafu kila mtu anaelewa chake? Hiki kitabu cha Wazungu kimejaa mkanganyiko kiasi kwamba hata mkipewa miaka elfu moja, hamtakaa muelewane! Ni machafuko matupu!...
Hapa ndipo kichekesho kikubwa na cha kusikitisha kilipo! Ili uelewe hiki kitabu kinachojichanganya, unaambiwa mpaka umuite ROHO MTAKATIFU aje akueleweshe!....
Yaani Mungu atupe mwongozo wa maisha, halafu wakati huo huo tumuite Roho atueleweshe? Kwani hicho kitabu kimeandikwa kwa lugha ya majini?..
Huyo Roho anayewaambia Wasabato wasile nguruwe, ndiye huyo huyo anayewaambia wa Jumapili wale nguruwe. Huyo ni Roho Mtakatifu? au ni roho ya kuchanganyikiwa iliyopandikizwa na Wazungu ili kutuvuruga akili..
Biblia hiyo hiyo inatumika na watu wanaopiga marufuku kucheza kanisani, wakisema ni fujo.
Halafu Biblia hiyo hiyo ndiyo inayotumiwa na wengine kuruka sarakasi, kupiga ngoma na mayowe utadhani wako disko, wakisingizia Daudi alicheza mpaka nguo zikaanguka!.......
Hivi huu si ni uwendawazimu? Kitabu gani hicho ambacho hakina msimamo? Leo kinaruhusu, kesho kinakataza! Huu ni mtego wa Wazungu wa kutuvuruga akili ili tu.
Utasikia mchungaji anasema, Roho ameniambia ukitumia maji haya ya baraka, unakanyaga mapepo! Biblia hiyo hiyo inatumika kuhalalisha biashara ya maji, mafuta, na vitambaa vya upako utadhani mko sokoni! Hivi Mungu amekuwa muuza maduka ya jumla?..
Mwingine anakuja na mstari wake, anasema "Roho anasema panda mbegu ya milioni moja ndiyo ufunguliwe! Maskini anatoa mpaka senti ya mwisho akitegemea muujiza, huku mchungaji akinunua gari la kifahari kwa kutumia Biblia hiyo hiyo!
Huu ni uhuni! Inakuwaje Mungu aandike kitabu ambacho kinampa nafasi tapeli yeyote kujiita Mtumishi wa Mungu halafu anatumia ujanja wa maneno kuwapokonya watu haki zao? Huu mkanganyiko ndio unazalisha hawa manabii wa uongo wanaochipuka kila kona....
Hebu niulizeni Inakuwaje Mungu aliye mmoja, mwenye akili timamu, aandike kitabu ambacho kinashindwa kutoa msimamo mmoja kuhusu mambo ya msingi?
Huyu anasema kusuka nywele ni chukizo, yule anasema ni urembo wa uumbaji..
Hivi huyo ni Mungu au ni mchezo wa kuigiza wa Wazungu? Huwezi kuwa na kitabu ambacho kinasema NDIYO na HAPANA kwa wakati mmoja! Huku ni kutuona sisi kama hatuna akili!..
Geukia upande wa pili uone wenzenu walivyojipanga. Kurani haina hizi sarakasi za kijinga!.
Kwenye kitabu cha Waarabu, sheria ni msumeno inakata pande zote! Hakuna cha tajiri, hakuna cha maskini, hakuna cha nabii wa uongo wa kujitungia tafsiri.
Kimepangika, kimeeleweka, na hakihitaji upako wa ziada kuelewa kuwa dhambi ni dhambi!..
Kama kitabu chako kinakufanya ubishane na jirani yako kila siku badala ya kukuleta kwenye toba ya kweli, basi hicho ni kitabu cha kuvuruga watu! Amkeni! Mungu hawezi kuwa mwandishi wa machafuko. Acheni kufuata hadithi za Wazungu zinazohitaji sarakasi za kiroho kueleweka.
Tafuteni neno lililonyooka ambalo halitupi nafasi ya kutoroka dhambi kwa kutumia visingizio vya kijinga!
Hebu tuchambue huu upuuzi mliolishwa, mnaambiwa ni "Neno la Mungu" wakati limejaa sarakasi ambazo hata mtoto wa chekechea anaziona.
Kule Mambo ya Walawi 11:7, Biblia hiyo hiyo inasema: "Na nguruwe... huyu ni najisi kwenu." Msimamo uko wazi, sivyo?
Lakini ruka mpaka Matendo 10:15, utamsikia huyo huyo "Mungu" wa Wazungu akimwambia Petro: "Vilivyotakaswa na Mungu, usiviite wewe najisi!" Sasa hapa ndipo mnapopigwa changa la macho! Wasabato wanashikilia Mambo ya Walawi, Walokole wanashikilia Matendo. Hivi Mungu alisahau alichokiandika mwanzo au alibadilisha gia angani? Hii ni vurugu!
Mithali 20:1 inasema: "Mvinyo ni mshihaki, kileo ni fujo!" Inakemea ulevi mazima.
Lakini nenda 1 Timotheo 5:23, Paulo anakuambia "Usinywe maji tu, bali tumia mvinyo kidogo kwa ajili ya tumbo lako!"..
Yaani hapa ndipo mtego wa Wazungu uliponasa akili zenu mazima. Mungu anageuka kuwa kinyonga asubuhi anasema hivi, jioni anageuka kule, halafu ninyi mnasimama madhabahuni na kusema Bwana asifiwe! Asifiwe kwa lipi? Kwa kuwavuruga akili?...
Hebu tazameni huu usanii mwingine Biblia inakuambia kwenye Wagalatia 2:16 kuwa mwanadamu hahesabiwi haki kwa matendo ya sheria, bali ni kwa imani tu.
Yaani, hata uwe jambazi vipi, ukiamini tu basi milango ya mbinguni iko wazi!.....
Lakini kabla hujakaa sawa, mwandishi mwingine anakuja juu kwenye Yakobo 2:24 anasema, "Mwaona kwamba mwanadamu huhesabiwa haki kwa matendo, wala si kwa imani peke yake."
Sasa mnataka kutuambia nini? Huyo Mungu wenu ana matatizo ya kusahau au alikuwa anajikata kauli mwenyewe? Huku mnaambiwa "fanya kazi upate thawabu," huku mnaambiwa "kazi ni bure, amini tu.
Mtu anajiishi anavyotaka akitegemea "neema," huku mwingine anajitesa kwa sheria akitegemea "matendo," na wote wanatumia kitabu kimoja! Huu ni uwendawazimu wa hali ya juu! Yani hapa Wazungu walipokuwa wakiandika hiki kitabu walituvuruga sana, hawakwenda direct kama Waarabu..
Wazungu wanawaimbisha kila siku "Mungu ni upendo," "Mungu ni mwema." Haya, fungueni hiyo Biblia yenu muone ukatili uliopindukia!
Kwenye 1 Samweli 15:3, huyo anayeitwa Mungu anatoa amri ya kikatili: "Nenda ukawapige Waamaleki... uwaue mwanamume na mwanamke, mtoto mchanga na anyoyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda."
Hivi huyu ndiye Mungu mnavyotuaminisha ana huruma? Mtoto mchanga anayeuawa ana kosa gani? Halafu dakika mbili mbele, anawaambia "Usiue." Huu ni ulingo wa machafuko! Leo anasema penda adui yako, kesho anasema fyeka hata watoto wachanga. Kama huu siyo mkanganyiko wa akili, basi ni nini?...
Mababu zetu walijua kuna Muumba mmoja, na huyo Muumba hakuleta vitabu vya kuwafanya watu wapigane mapanga eti kwa sababu huyu amekula nguruwe au yule amesali Jumamosi.
Kwetu, Mungu alionekana kwenye matendo, kwenye mvua, kwenye ardhi, na kwenye uhai hakuwa mungu wa nadharia zinazopingana!....
Ninaona kama hadithi za sungura, mf. Uumbaji wa kumfinyanga mtu kwa kutumia udongo, tena alianza na mwanaume, ni kwa nini asifinyange mwanaume na mwanamke kwa wakati mmoja? Ni kwa nini aliwadhalilisha wanawake? Eti mwanamke ni ubavu tu wa mwanaume! "Sidanganyiki " tumedanganywa kuwa "imani huhamisha mlima".
Na pia:“Na hakika tumewatukuza wana wa Adam...” (Qur’an 17:70)
Hii inaweka msingi wa usawa wa utu (dignity), si ubora wa jinsia moja juu ya nyingine.“Enyi watu, hakika tumewaumba kutokana na mwanamume na mwanamke...” (Qur’an 49:13)
Kuhusu kauli ya Biblia ya “ubavu wa mwanaume,” hiyo ipo katika Mwanzo 2:21-22, lakini hata ndani ya Ukristo wenyewe kuna tafsiri nyingi—wengine wanasema ni lugha ya mfano ya uhusiano na mshikamano, si udhalilishaji.“Na hamkupewa elimu ila kidogo.” (Qur’an 17:85)
Mkuu naomba kesho tuwe na mjdala kama utakuwa vizuri sasa hivi nina lala ila nikiamka tutaanzaMagwiji wa Udanganyifu
Jerome hakuwa peke yake katika uwazi wake. Askofu Eusebius, aliyekuwa mtangazaji rasmi wa Constantine, aliliita Sura ya 32 ya Kitabu chake cha 12 cha Evangelical Preparation kwa jina hili:
“Jinsi Ambavyo Inaweza Kuwa Halali na Inafaa Kutumia Uongo Kama Dawa, na Kwa Faida ya Wale Wanaotaka Kudanganywa.”
Eusebius anajulikana sana kwa kuhusishwa na maandishi mengi yenye madai yasiyo sahihi; lakini yeye mwenyewe anatupa onyo katika historia yake maarufu:
“Tutaingiza katika historia hii kwa ujumla matukio yale tu ambayo yanaweza kuwa na manufaa kwanza kwetu wenyewe na baadaye kwa vizazi vijavyo.”
– Eusebius, Historia ya Kanisa, Juzuu ya 8, Sura ya 2.
Clement wa Alexandria alikuwa miongoni mwa Mababa wa kwanza wa Kanisa kutofautisha kati ya “ukweli wa kawaida wa kibinadamu” na ukweli wa juu zaidi wa imani:
“Si kila jambo la kweli ndilo Ukweli wenyewe; wala ukweli unaoonekana kuwa kweli kwa maoni ya wanadamu haupaswi kupewa nafasi juu ya Ukweli wa kweli, yaani ule unaotokana na imani.”
– Clement (amenukuliwa na M. Smith, Clement of Alexandria, uk. 446)
John Chrysostom, mwanatheolojia wa karne ya tano na aliyewahi kuwa askofu wa Constantinople, naye alisema:
“Je, unaona faida ya udanganyifu? ...Kwa maana thamani ya udanganyifu ni kubwa, mradi tu hauletwi kwa nia mbaya. Kwa kweli kitendo cha aina hii hakipaswi kuitwa udanganyifu, bali ni aina ya usimamizi mzuri, werevu na ustadi, wenye uwezo wa kutafuta njia pale ambapo rasilimali zimekosekana, na kuziba mapungufu ya akili ...Na mara nyingi ni muhimu kudanganya, na kufanya manufaa makubwa sana kwa njia ya mbinu hii, ilhali yule aliyefuata njia ya moja kwa moja amemletea madhara makubwa mtu ambaye hakumdanganya.”
– Chrysostom, Kitabu cha Kuhusu Ukuhani (Treatise On The Priesthood), Kitabu cha 1.
Hakuna shida. Pumzika kwanza. Kama Biblia inavyosema katika 1 Petro 3:15, tuwe tayari kutoa majibu kwa kila aulizaye. Ukiamka tutaendelea na mjadala. Usiku mwema.Mkuu naomba kesho tuwe na mjdala kama utakuwa vizuri sasa hivi nina lala ila nikiamka tutaanza
TAtizo hujasoma biblia mwanzo Hadi mwisho , ungesoma usinge andika hata huu Uzi ,Hivi kweli akili zenu zimefungwa na kufuli la Wazungu mpaka mmeshindwa kuona ukweli ulio wazi? Yaani hapa duniani hakuna kitu kinachochanganya na kuvuruga akili za watu kama hiki kitabu cha Wazungu!,
Yaani Biblia!.
Inakuwaje Mungu aliyeumba mbingu na ardhi, mwenye akili na mamlaka, aandike kitabu halafu ATUCHANGANYE kiasi hiki? Hivi mnamfanya Mungu ni mwandishi wa hadithi za abunuasi au ni nini? Mnataka kutuambia Mungu ni mbabaishaji kiasi hicho?
Angalia huu upuuzi! Wasabato wamekomalia kuishika siku ya Jumamosi, wanakuambia ukigusa kazi siku hiyo wewe ni dhambi! Dakika hiyo hiyo, wengine wanakuambia, "Acheni ushamba, Jumamosi ilikuwa ya Wayahudi, sasa hivi ni Jumapili, siku ya kufufuka!" Halafu wanakuja wengine wajuaji zaidi wanakuambia, "Ah, Sabato haihitaji siku, Sabato iko moyoni!"
Hivi mnatufanya sisi ni watoto wadogo? Mungu gani huyo anayetoa maelekezo ya siku ya kuabudu halafu kila mtu anaelewa chake? Hiki kitabu cha Wazungu kimejaa mkanganyiko kiasi kwamba hata mkipewa miaka elfu moja, hamtakaa muelewane! Ni machafuko matupu!...
Hapa ndipo kichekesho kikubwa na cha kusikitisha kilipo! Ili uelewe hiki kitabu kinachojichanganya, unaambiwa mpaka umuite ROHO MTAKATIFU aje akueleweshe!....
Yaani Mungu atupe mwongozo wa maisha, halafu wakati huo huo tumuite Roho atueleweshe? Kwani hicho kitabu kimeandikwa kwa lugha ya majini?..
Huyo Roho anayewaambia Wasabato wasile nguruwe, ndiye huyo huyo anayewaambia wa Jumapili wale nguruwe. Huyo ni Roho Mtakatifu? au ni roho ya kuchanganyikiwa iliyopandikizwa na Wazungu ili kutuvuruga akili..
Biblia hiyo hiyo inatumika na watu wanaopiga marufuku kucheza kanisani, wakisema ni fujo.
Halafu Biblia hiyo hiyo ndiyo inayotumiwa na wengine kuruka sarakasi, kupiga ngoma na mayowe utadhani wako disko, wakisingizia Daudi alicheza mpaka nguo zikaanguka!.......
Hivi huu si ni uwendawazimu? Kitabu gani hicho ambacho hakina msimamo? Leo kinaruhusu, kesho kinakataza! Huu ni mtego wa Wazungu wa kutuvuruga akili ili tu.
Utasikia mchungaji anasema, Roho ameniambia ukitumia maji haya ya baraka, unakanyaga mapepo! Biblia hiyo hiyo inatumika kuhalalisha biashara ya maji, mafuta, na vitambaa vya upako utadhani mko sokoni! Hivi Mungu amekuwa muuza maduka ya jumla?..
Mwingine anakuja na mstari wake, anasema "Roho anasema panda mbegu ya milioni moja ndiyo ufunguliwe! Maskini anatoa mpaka senti ya mwisho akitegemea muujiza, huku mchungaji akinunua gari la kifahari kwa kutumia Biblia hiyo hiyo!
Huu ni uhuni! Inakuwaje Mungu aandike kitabu ambacho kinampa nafasi tapeli yeyote kujiita Mtumishi wa Mungu halafu anatumia ujanja wa maneno kuwapokonya watu haki zao? Huu mkanganyiko ndio unazalisha hawa manabii wa uongo wanaochipuka kila kona....
Hebu niulizeni Inakuwaje Mungu aliye mmoja, mwenye akili timamu, aandike kitabu ambacho kinashindwa kutoa msimamo mmoja kuhusu mambo ya msingi?
Huyu anasema kusuka nywele ni chukizo, yule anasema ni urembo wa uumbaji..
Hivi huyo ni Mungu au ni mchezo wa kuigiza wa Wazungu? Huwezi kuwa na kitabu ambacho kinasema NDIYO na HAPANA kwa wakati mmoja! Huku ni kutuona sisi kama hatuna akili!..
Geukia upande wa pili uone wenzenu walivyojipanga. Kurani haina hizi sarakasi za kijinga!.
Kwenye kitabu cha Waarabu, sheria ni msumeno inakata pande zote! Hakuna cha tajiri, hakuna cha maskini, hakuna cha nabii wa uongo wa kujitungia tafsiri.
Kimepangika, kimeeleweka, na hakihitaji upako wa ziada kuelewa kuwa dhambi ni dhambi!..
Kama kitabu chako kinakufanya ubishane na jirani yako kila siku badala ya kukuleta kwenye toba ya kweli, basi hicho ni kitabu cha kuvuruga watu! Amkeni! Mungu hawezi kuwa mwandishi wa machafuko. Acheni kufuata hadithi za Wazungu zinazohitaji sarakasi za kiroho kueleweka.
Tafuteni neno lililonyooka ambalo halitupi nafasi ya kutoroka dhambi kwa kutumia visingizio vya kijinga!
Hebu tuchambue huu upuuzi mliolishwa, mnaambiwa ni "Neno la Mungu" wakati limejaa sarakasi ambazo hata mtoto wa chekechea anaziona.
Kule Mambo ya Walawi 11:7, Biblia hiyo hiyo inasema: "Na nguruwe... huyu ni najisi kwenu." Msimamo uko wazi, sivyo?
Lakini ruka mpaka Matendo 10:15, utamsikia huyo huyo "Mungu" wa Wazungu akimwambia Petro: "Vilivyotakaswa na Mungu, usiviite wewe najisi!" Sasa hapa ndipo mnapopigwa changa la macho! Wasabato wanashikilia Mambo ya Walawi, Walokole wanashikilia Matendo. Hivi Mungu alisahau alichokiandika mwanzo au alibadilisha gia angani? Hii ni vurugu!
Mithali 20:1 inasema: "Mvinyo ni mshihaki, kileo ni fujo!" Inakemea ulevi mazima.
Lakini nenda 1 Timotheo 5:23, Paulo anakuambia "Usinywe maji tu, bali tumia mvinyo kidogo kwa ajili ya tumbo lako!"..
Yaani hapa ndipo mtego wa Wazungu uliponasa akili zenu mazima. Mungu anageuka kuwa kinyonga asubuhi anasema hivi, jioni anageuka kule, halafu ninyi mnasimama madhabahuni na kusema Bwana asifiwe! Asifiwe kwa lipi? Kwa kuwavuruga akili?...
Hebu tazameni huu usanii mwingine Biblia inakuambia kwenye Wagalatia 2:16 kuwa mwanadamu hahesabiwi haki kwa matendo ya sheria, bali ni kwa imani tu.
Yaani, hata uwe jambazi vipi, ukiamini tu basi milango ya mbinguni iko wazi!.....
Lakini kabla hujakaa sawa, mwandishi mwingine anakuja juu kwenye Yakobo 2:24 anasema, "Mwaona kwamba mwanadamu huhesabiwa haki kwa matendo, wala si kwa imani peke yake."
Sasa mnataka kutuambia nini? Huyo Mungu wenu ana matatizo ya kusahau au alikuwa anajikata kauli mwenyewe? Huku mnaambiwa "fanya kazi upate thawabu," huku mnaambiwa "kazi ni bure, amini tu.
Mtu anajiishi anavyotaka akitegemea "neema," huku mwingine anajitesa kwa sheria akitegemea "matendo," na wote wanatumia kitabu kimoja! Huu ni uwendawazimu wa hali ya juu! Yani hapa Wazungu walipokuwa wakiandika hiki kitabu walituvuruga sana, hawakwenda direct kama Waarabu..
Wazungu wanawaimbisha kila siku "Mungu ni upendo," "Mungu ni mwema." Haya, fungueni hiyo Biblia yenu muone ukatili uliopindukia!
Kwenye 1 Samweli 15:3, huyo anayeitwa Mungu anatoa amri ya kikatili: "Nenda ukawapige Waamaleki... uwaue mwanamume na mwanamke, mtoto mchanga na anyoyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda."
Hivi huyu ndiye Mungu mnavyotuaminisha ana huruma? Mtoto mchanga anayeuawa ana kosa gani? Halafu dakika mbili mbele, anawaambia "Usiue." Huu ni ulingo wa machafuko! Leo anasema penda adui yako, kesho anasema fyeka hata watoto wachanga. Kama huu siyo mkanganyiko wa akili, basi ni nini?...
Mababu zetu walijua kuna Muumba mmoja, na huyo Muumba hakuleta vitabu vya kuwafanya watu wapigane mapanga eti kwa sababu huyu amekula nguruwe au yule amesali Jumamosi.
Kwetu, Mungu alionekana kwenye matendo, kwenye mvua, kwenye ardhi, na kwenye uhai hakuwa mungu wa nadharia zinazopingana!....
TAtizo hujasoma biblia mwanzo Hadi mwisho , ungesoma usinge andika hata huu Uzi ,
Kwangu Mimi kupitia biblia napata muongozo wa maisha , napata majibu ya matatizo yetu ya Kila siku.
Nikitabu kizuri sana ukijariwa kukielewa , Mimi Kila siku lazima nisome & kuchota madini humi.
Kwa hiyo tujadili hoja na ushahidi, si kiasi cha kurasa tulizosoma."Jaribuni mambo yote; lishikeni lililo jema." (1 Wathesalonike 5:21)
Biblia haina mkanganyiko wowote. Mkanganyiko upo kwenye akili yako. Umechanganyikiwa akili, ndiyo maana hujitambui. Ninyi si mmefanywa kuwa marafiki wa shetani na ì, unadhani shetani atakubali akuache ubakie na akili timamu wakati anataka akupeleke jehanamu bila ya weqe kujitambua?
“To be right in everything, we ought always to hold that the white which I see, is black, if the Hierarchical Church so decides it.