Biblia: Kitabu cha Mkanganyiko au Neno la Mungu?

sawa ukianzisha huo mjadala usisite kuniita
 
Thibitisha Quran ni ukweli.

Thibitisha vitabu vingine si vya kweli.
 
Thibitisha Quran ni ukweli.

Thibitisha vitabu vingine si vya kweli.

Si lazima kuthibitisha vitabu vingine ni vya uongo ili Qur'an iwe ya kweli.


Biblia inasema Yesu hakuja kuitangua Torati bali kuitimiliza (Mathayo 5:17), na pia alisema bado kuna mengi ya kufundishwa baadaye (Yohana 16:12–13).

Qur'an inasema imeteremshwa kuthibitisha vitabu vilivyotangulia na kuwa kipimo juu yake (Qur'an 3:3, 5:48).

Kwa hiyo swali si “thibitisha vitabu vingine ni vya uongo,” bali je, Qur'an ni ufunuo kutoka kwa Mungu au la? Hilo ndilo jambo la kuthibitishwa kwanza.
 
Wewe unatetea tu, upande wako wa Quran.

Hata mkristo atatetea tu, upande wake wa Biblia.
 
Mkuu nimekupm
 
Usisome biblia kama kitabu cha hadithi wewe kenge, hutaelewa kitu. Yale ni mambo ya kiroho tafsiri yake hueleweka kiroho. Mnakurupukaga tu kuleta contradiction kwa mambo msiyoyaelewa mukhtadha wake. Biblia ina falsafa zake, kuilewa ni mpaka uwe na ufahamu wa kiroho
 
Kwani biblia na quran siyo vitabu vya hadithi za kale zilizopewa uungu wakati ni ukoloni wa kawaida wa kimila?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…