Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

Allah anapenda nini ?

Watu wanafanya ibada kwa miungu wengi tofauti tofauti na kila mungu wao anakua na sifa zake na vitu anavyopenda.
Allah anapoenda kuombwa. Anapenda kuabudiwa.

Sasa hoja yako ipo wapi hapo ? Kwahiyo hao miungu wakipenda yao kuna badilisha maana ya Ibada niliyo itoa ?
 
Nashukuru sana, umeniongezea kitu kikubwa,. Ni kama naendelea kuelewa, kuhusu mwili Kuna mtu alielezea sana kwa Nini Malaika wakija Dunian wanaonekana kama sisi, na akasisitiza ni lazima iwe hivo coz ni kanuni ya kiulimwengu wetu chochote kinachoingia kuwa ktk maumbo yake,ie njiwa, mtu, nk, ilikuwa just here in JF
Nieleweshe zaidi,, pale "kwa mfano wetu"nilijua Mungu alimaanisha jinsi tunavopanga(nafikili hiii ndio kazi ya kinafsia KULINGANA na nilivokuelewa,. Huo mpango utakavokuwa , kwa mfano kinafsia napanga kununua ndege, ,,in vision najiona mwenyewe nikirusha ndege akati Bado hata sijanunua ,au naiona ndege yangu kichwani, Naweza kuwa sahihi nikisema utendaji wa roho uko zaidi katika taswira !? Najua ufanano wetu na Mungu uko hapa, waswahili wanasema aliwazalo mjinga humtokea, maneno yanaumba, je kauli zote hizi zinadhihirisha nguvu ya roho tuliyonayo ambayo imechagizwa na mawazo ya kinafsia!?

Na je Naweza fungua jicho la tatu bila ya kumuasi Mungu!?
Nashukuru kwa maalifa,
 
Allah anapoenda kuombwa. Anapenda kuabudiwa.

Sasa hoja yako ipo wapi hapo ? Kwahiyo hao miungu wakipenda yao kuna badilisha maana ya Ibada niliyo itoa ?
abudu na ibada ni msamiati mmoja.

ndio najua anataka kuabudiwa.

nini maana ya ibada ( kuabudu) ?
 
Kama lazima kuwepo na chanzo na Mungu pia lazima awe na chanzo.

Maana huwezi kusema binadamu ana chanzo na Mungu Hana chanzo.

Hapo utakuwa una ji contradict na msimamo wako wa kwamba LAZIMA kuwe na chanzo.
Apo unakimbia swali mkuu we nijibu kama hajaumbwa ametikeaje??chanzo chake nini
 

Akijibu ni tagg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…