Kwanza aliyemfanya Lucifer aasi sio yeye mwenyewe, hapana, bali ni Kiumbe alieumbwa kabla ya Adamu ndie aliezua mbalaa.
Mwanadamu ujue ni creation project 2.0..so creation project ya kabla ndio ilileta mbalaa, mpaka wa kuwavuta malaika baadhi na viumbe wengineo kwenye uasi.
Shetani mkuu sio lucifer, no, lucifer anatumika tuu ki project ya uasi kama chambo ya kumvuta mwanadamu kwenye dhambi.
So, majaribu anayopata mwanadamu ni kutoka kwa kiumbe older zaidi ya mwanadamu, ambaye ameshakula hukumu, na ndio alieomba battle la challenge na Mungu dhidi ya mwanadamu.
So, Mungu anaposema sali, okoka, au umuabudu yeye, anamaanisha kuwa ishinde dhambi, ishinde nafsi yako dhidi ya mwanadamu mwenzako aliyeumbwa kabla yako...maana huyu alipanda daraja la uasi na kuwa juu sana kiasi cha kutaka kumchallenge Mungu..kisa tuu kaupata umilele...or maybe more..i don't know.
Hapa hauwezi elewa kama haujui vingi, na utaniona kama chizi vileee..