yevgeny prizogny
Member
- Nov 20, 2022
- 94
- 155
MKUU NAKUKUMBUSHA TU.RELIGION ILIZAA THEOLOGY,,,,THEOLOGY IKAZAA PHILOSOPHY NA PHILOSOPHY IKAZAA SCIENCE...kwa hio bila dini watu wasingejua chochote kuhusu science iliopo leo na kingine science ni mawazo ya binadamu mwenye safari ya kujitambua,,kutambua mazingira yake na kazi kubwa na makini alioifanya MUNGU creation...LAKINI DINI NI MAWAZO YA MUNGU AMBAYO BINADAMU AMEFELI KUYAELEWA MAANA AMESHINDWA KUYAELEWA.Binadamu Haja umbwa.
Mungu Hayupo.