Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

Binadamu Haja umbwa.

Mungu Hayupo.
MKUU NAKUKUMBUSHA TU.RELIGION ILIZAA THEOLOGY,,,,THEOLOGY IKAZAA PHILOSOPHY NA PHILOSOPHY IKAZAA SCIENCE...kwa hio bila dini watu wasingejua chochote kuhusu science iliopo leo na kingine science ni mawazo ya binadamu mwenye safari ya kujitambua,,kutambua mazingira yake na kazi kubwa na makini alioifanya MUNGU creation...LAKINI DINI NI MAWAZO YA MUNGU AMBAYO BINADAMU AMEFELI KUYAELEWA MAANA AMESHINDWA KUYAELEWA.
 
NI KWAMBA OPTION YOYOTE AMBAYO WANGECHAGUA INGEATHIRI VIZAZI VYOTE HATA NA HIO AMBAYO MABAYA YASINGEWEZEKANA.NA WACHAGUZI WA KWANZA WA OPTION NDIO HAO HAO WAWILI...SASA BINADAMU WOTE WAMEZALIWA KATIKA HIO OPTION YA PILI LAKINI MUNGU NI MWINGI WA REHEMA NA AMBAE MAARIFA YAKE HAYAPIMIKI AMEWEKA BACKDOOR YA KUTENGENEZA BAADHI YA MAMBO HATIMAE BAADA YA KUFA NA KURUDIA ILE OPTION YA KWANZA LAKINI KATIKA MWILI MWENGINE.NA KATIKA ULIMWENGU HALISI.
Kwa nini sisi binadamu wengine tusio husika na uzembe wa Adamu na Hawa turithi uzembe wao?

Kwani tulikuwepo nao wakila tunda?

Huoni kwamba hatuna "free will" tuko programmed na huyo huyo Mungu kurithi uzembe usio tuhusu wa Adamu na Hawa?

Huyo Mungu yuko Fair kweli na ana Rehema kweli?
 
MKUU NAKUKUMBUSHA TU.RELIGION ILIZAA THEOLOGY,,,,THEOLOGY IKAZAA PHILOSOPHY NA PHILOSOPHY IKAZAA SCIENCE...kwa hio bila dini watu wasingejua chochote kuhusu science iliopo leo na kingine science ni mawazo ya binadamu mwenye safari ya kujitambua,,kutambua mazingira yake na kazi kubwa na makini alioifanya MUNGU creation...LAKINI DINI NI MAWAZO YA MUNGU AMBAYO BINADAMU AMEFELI KUYAELEWA MAANA AMESHINDWA KUYAELEWA.
Kama Dini ni mawazo ya Mungu.

Je ni dini ipi?
Maana kuna dini nyingi sana hapa duniani, kila dini iki amini Mungu wa dini yao ndio wa ukweli na Mungu wa dini nyingine si wakweli.

Mungu gani huyo mwenye Dini nyingi zinazo tofautiana mitazamo na imani?
 
Mbona Kuna maeneo mengi tu iliyokuwa sehemu ya ardhi bahari imeshaimeza.

Kuna Visiwa vilikuwepo Sasa vimemezwa na bahari.

Watu wa visiwa vya Vanuatu wapo hatarini ardhi yao kumezwa na bahari.

Sasa huo mstari una maana ya watu duni wa kale walivyokuwa wanatafsiri mazingira ila sio kweli kwa maana ya kuntu.
PROOF NI BAHARI ZOTE UKIANGALIA BASI UTATAMBUA HILO ALILOSEMA MUNGU NI LA KWELI.HILO LA VISIWA KUZAMA LITAKUWA NI VISIWA VICHACHE NA AMBAVYO VINAWEZA KUJA KURUDI NA KUWA VISIWA TENA.KUTOKANA NA NATURE NA MAZINGIRA YAKE,,,MAANA KAMA KIMEZAMA UNAWEZA KUTA HAKIKUWA KISIWA.HATARI YA VANUATU HIO ARHI YAO WANAIHARIBU WENYEWE KUTOKANA NA SHUGHULI ZA KIBINADAMU NDIO MAANA ZANZIBAR KOKOTO NA MCHANGA WANACHUKUA BAGAMOYO
 
MKUU NAKUKUMBUSHA TU.RELIGION ILIZAA THEOLOGY,,,,THEOLOGY IKAZAA PHILOSOPHY NA PHILOSOPHY IKAZAA SCIENCE...kwa hio bila dini watu wasingejua chochote kuhusu science iliopo leo na kingine science ni mawazo ya binadamu mwenye safari ya kujitambua,,kutambua mazingira yake na kazi kubwa na makini alioifanya MUNGU creation...LAKINI DINI NI MAWAZO YA MUNGU AMBAYO BINADAMU AMEFELI KUYAELEWA MAANA AMESHINDWA KUYAELEWA.
MKUU NAKUKUMBUSHA TU.RELIGION ILIZAA THEOLOGY,,,,THEOLOGY IKAZAA PHILOSOPHY NA PHILOSOPHY IKAZAA SCIENCE...

Huu uongo umeutoa kwenye kitabu gani?
Chanzo kipi?

Labda naomba unisaidie
Theology ni nini?
Philosophy ni nini?
Religion ni nini?
 
Kwa nini sisi binadamu wengine tusio husika na uzembe wa Adamu na Hawa turithi uzembe wao?

Kwani tulikuwepo nao wakila tunda?

Huoni kwamba hatuna "free will" tuko programmed na huyo huyo Mungu kurithi uzembe usio tuhusu wa Adamu na Hawa?

Huyo Mungu yuko Fair kweli na ana Rehema kweli?
SASA JE KAMA TUNGEKUWA KWENYE HUO ULIMWENGU AMBAO MABAYA HAYAWEZEKANI NI MEMA TU NA HAKUNA TABU MARADHI WALA KIFO JE UNGEDAI FREE WILL YA KUTAKA KUYAONJA MABAYA YALIO OPTION YA PILI AU UNGESHUKURU KWA KUISHI KWENYE MEMA TU? SWALA LA KUWA PROGRAMMED SIWEZI LISEMEA ILA TUMEPEWA FREE WILL YENYE LIMITATION.
 
MKUU NAKUKUMBUSHA TU.RELIGION ILIZAA THEOLOGY,,,,THEOLOGY IKAZAA PHILOSOPHY NA PHILOSOPHY IKAZAA SCIENCE...

Huu uongo umeutoa kwenye kitabu gani?
Chanzo kipi?

Labda naomba unisaidie
Theology ni nini?
Philosophy ni nini?
Religion ni nini?
KWA NINI UNATAKA UKWELI KWA MTU UNAEMWONA MWONGO??
 
Kama Dini ni mawazo ya Mungu.

Je ni dini ipi?
Maana kuna dini nyingi sana hapa duniani, kila dini iki amini Mungu wa dini yao ndio wa ukweli na Mungu wa dini nyingine si wakweli.

Mungu gani huyo mwenye Dini nyingi zinazo tofautiana mitazamo na imani?
KWENYE HILI SITAKI NIVUTIE UPANDE WANGU KWA SASA ILA WEWE KAMA NI MTANZANIA LAZIMA UMEZALIWA FAMILY YA KIDINI KWA HIO RUDI KWENYE MISINGI YA FAMILIA YENU NA UJIFUNZE DINI YAKO NA USOME NA DINI NYENGINE ILI UJIRIDHISHE KATIKA KUUTAFUTA UKWELI.KILA KITU HUTAFUTWA MKUU SIO UKWELI TU HATA MKE.
 
Ukweli Hauendani na imani wala Dini.

Ukweli una endana na uthibitisho, proofs, evidences, facts na Logic.

Msingi wa Dini na imani ni kutokuwa na uhakika na Hazina ukweli wowote zaidi ya dhana za kufikirika zisizo na uthibitisho.
 
PROOF NI BAHARI ZOTE UKIANGALIA BASI UTATAMBUA HILO ALILOSEMA MUNGU NI LA KWELI.HILO LA VISIWA KUZAMA LITAKUWA NI VISIWA VICHACHE NA AMBAVYO VINAWEZA KUJA KURUDI NA KUWA VISIWA TENA.KUTOKANA NA NATURE NA MAZINGIRA YAKE,,,MAANA KAMA KIMEZAMA UNAWEZA KUTA HAKIKUWA KISIWA.HATARI YA VANUATU HIO ARHI YAO WANAIHARIBU WENYEWE KUTOKANA NA SHUGHULI ZA KIBINADAMU NDIO MAANA ZANZIBAR KOKOTO NA MCHANGA WANACHUKUA BAGAMOYO
Chanzo kwamba wanaharibu wenyewe?
 
KWA NINI UNATAKA UKWELI KWA MTU UNAEMWONA MWONGO??
Ni vizuri kuudadavua uongo na kuonyesha ukengeuka wako.

Kama umedai Religion imeanza kabla ya phylosophy na Theology basi twataka tujue maana ya kila Moja.

Then tutarudi kwenye mada kuu
 
Ulimwengu wa roho ndio ulimwengu halisi ambapo kunaishi viumbe vya kiroho visivyo na mwili kama wanyama wote walio duniani,,yaani anga,,ardhini na kwenye maji.
Viumbe vya kiroho no vipi hivyo..?

Roho ni kitu gan!?
 
SIJASEMA ALIFELI ACTIVATION ILA NI BINADAMU ALICHAGUA OPTION KATI YA MBILI ZILIZOWEKWA.KAMA BIBLIA NI HADITHI LABDA UNIJUZE HADITHI NYENGINE YENYE KUJULIKANA NA KUHESHIMIWA NA VIZAZI KWA VIZAZI VYA DUNIA YOTE.
ROHO INATHIBITISHWA KWA WEWE KUIJUA NAMNA YA KUFUMBULIWA MACHO YAKO ILI YAONE ULIMWENGU HALISI WA KIROHO,,NA ZIPO OPTION ZA KISHIRIKINA NA NYINGINE ZA KIDINI.UTACHAGUA.

Thibitisha kama kweli roho ipo.
SIJASEMA ALIFELI ACTIVATION ILA NI BINADAMU ALICHAGUA OPTION KATI YA MBILI ZILIZOWEKWA
Inawezekana vipi Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote akaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?
KAMA BIBLIA NI HADITHI LABDA UNIJUZE HADITHI NYENGINE YENYE KUJULIKANA NA KUHESHIMIWA NA VIZAZI KWA VIZAZI VYA DUNIA YOTE​
Umewahi skia The Iliad na "Odyssey",
Hujaskia Ramayana na "Mahabharata",
Umewahi skia Epic of Gilgamesh (hapa hata biblia imecopy na kupaste)
Hujaskia hadithi nzuri ya Shahnama?
ROHO INATHIBITISHWA KWA WEWE KUIJUA NAMNA YA KUFUMBULIWA MACHO YAKO ILI YAONE ULIMWENGU HALISI WA KIROHO,,NA ZIPO OPTION ZA KISHIRIKINA NA NYINGINE ZA KIDINI.UTACHAGUA.
Kwamba macho yangu hayaoni!?

Unaelewa kuwa Hapo umehubiri tu wala hujathibitisha chochote.

Thibitishaje ulimwengu wa roho upo kweli ili nijue sio hadithi za kutungwa tu na watu.
 
MKUU NAKUKUMBUSHA TU.RELIGION ILIZAA THEOLOGY,,,,THEOLOGY IKAZAA PHILOSOPHY NA PHILOSOPHY IKAZAA SCIENCE...kwa hio bila dini watu wasingejua chochote kuhusu science iliopo leo na kingine science ni mawazo ya binadamu mwenye safari ya kujitambua,,kutambua mazingira yake na kazi kubwa na makini alioifanya MUNGU creation...LAKINI DINI NI MAWAZO YA MUNGU AMBAYO BINADAMU AMEFELI KUYAELEWA MAANA AMESHINDWA KUYAELEWA.
Ambae huyo Mungu hujaweza kuthibitisha uwepo wake.
 
Kama Dini ni mawazo ya Mungu.

Je ni dini ipi?
Maana kuna dini nyingi sana hapa duniani, kila dini iki amini Mungu wa dini yao ndio wa ukweli na Mungu wa dini nyingine si wakweli.

Mungu gani huyo mwenye Dini nyingi zinazo tofautiana mitazamo na imani?
Tena wenzao wana maMungu mengi wao wanako kamoja tu.
 
Mungu Baba
Mungu Mwana
Mungu Roho Mtakatifu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Roho Mtakatifu ndio nini ?

unaweza kunionyesha ??

🥲🥲
 
Back
Top Bottom